gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Gharama za matibabu katika hospitali zetu: Napendekeza tuangalie kwa macho yote

    Wadau, nimekuwa mhanga wa gharama za matibabu hali iliyonisukuma kuandika mada hii. Aidha, nimeguswa kwa masikitiko kauli mbalimbali za viongozi wetu katika suhala la afya nchini. Nategemea na ukoo wangu, ivyo, sinashaka mnafahamu ninavyosumbuka. Hali hii inanifanya kuwaza kipi bora kufanywa...
  2. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Tozo ya uzalendo inatakiwa isizidi gharama za muamala, iwe 'fixed', iwe na muda maalum na iwe hiari

    Haya ni maoni yangu juu ya hii tozo ya uzalendo (Ingawaje hili jina limekaa fyongo sana, kwa nini unitoze kwa sababu mimi ni mzalendo?): Serikali hasa wizara husika inapaswa kuweka benchmark/fixed rate ambayo kila mzalendo atakatwa kiwango sawa bila kujali kiwango cha muamala anaofanya...
  3. strategist22

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja Dar?

    Hello habari, Naomba kujulishwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja DAR. Na utaratibu mwingine kama upo. Asante. Heri ya mwezi mpya. Ukawe mwezi wa mafanikio.
  4. Mparee2

    JamiiForums Tanzania TRA iangalie gharama za kupitisha Parcel Posta, zinaua Shirika

    Kwa ajili ya kufufua shirika letu la posta Napendekeza kuwe na mfumo rahisi na unaoeleweka wa ukokotoaji wa gharama za kupitisha parcel ndogo ndogo mf: Mtu akiagiza simu moja kwa ajili ya matumizi alipie gharama za posta na 18% VAT kusiwe na gharama nyingine Kwa sasa unaweza...
  5. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu

    Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU. Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili. Gharama za maisha zinapanda kila...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi angalieni upya taratibu zenu za upelelezi, kuwaweka watu mahabusu muda mrefu ni gharama kwa Serikali

    Rais Samia ameliagiza jeshi la polisi kuhakikisha linakamilisha upelelezi kwa haraka na kuwaachia huru watuhumiwa ambao kesi zao hazina mashiko. Rais amesema hivi sasa idadi ya wafungwa inakaribiana kuwa sawa na idadi ya mahabusu. Kadhalika Rais Samia amemtaka IGP Sirro kuhakikisha hawatumii...
  7. TTCL Customer Care

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania China, Marekani na Ulaya walitozana sana kufikia hapo. Maendeleo ni gharama, serikali isigeuke nyuma!

    Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania. Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi...
  9. Freiston

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda? Siri ni hii

    Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi? Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri waishi kama mashetani. Hivyo chochote kile ambacho kingefanyika kumnyonya huyu mnyonge kisingeruhusiwa...
  10. olele

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa gharama ya Kujenga msingi

    Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani? kaniambia mil 12 kidogo nizimie. Ambao mmejenga naombeni mnijuze mlitimia...
  11. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufungua kampuni

    Hello JF members Wenye ujuzi tusaidiana katika hili kitaalam zaidi. Nataka kuendesha biashara mfumo wa kampuni au kuanzisha kampuni 3. Moja itajihusisha na maswala ya mavazi (yaani maswala yote kuhusu mavazi) Nyingine itajihusisha na maswala ya chakula (Grocery and food) Ya mwisho...
  12. moyafricatz

    JamiiForums Tanzania Kurejewa upya kwa gharama za upimaji wa UVIKO-19 kwa wasafiri nchini Tanzania

    Tarehe 11 Agosti, 2021 Dare es Salaam. Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa UVlKO-19 Duniani, ambapo Tanzania ilipata kisa cha kwanza cha mgonjwa wa UVlKO-19 tarehe 16 Machi 2020, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo upimaji wa wasafiri wanaoingia na...
  13. moyafricatz

    JamiiForums Tanzania Binti amlalamikia mpenzi wake kwa kumvalisha pete ya shilingi elfu 23,000

    MDADA - "Hi Nimevalishwa pete ya uchumba mwezi wa 6. Nilifurahi sana sababu sikutegemea. pete haina hata miezi 2 imeanza kupata kutu. Hata marafiki zangu chuo wameanza kunicheka kuwa nimevalishwa pete fake. Kuna rafiki wa mchumba wangu nimeongea nae ameniambia pete yangu ni ya elfu 23...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Gharama za maisha kupanda kutokana na ongezeko la tozo

    Kuanzia Oktoba Mosi vitu ambavyo vipo katika orodha ya kulipa tozo zitaongezeka bei nchini #Kenya kutokana na ongezeko la tozo kwa asilimia 4.97 Mamlaka ya Mapato ya Kenya(KRA) imetangaza kuongeza tozo ili kufidia mfumko wa bei uliojitokeza mwaka wa fedha 2020/21 Vitu zinazotarajiwa kupanda...
  15. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Usiagize chochote nje ya nchi bila kujua gharama halisi za kodi na ushuru utakaolipia

    Moja ya changamoto kubwa wanayokutana nayo wateja wetu ni kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao halafu kukutana na kodi/ushuru mkubwa wa kutoa mzigo pale Bandarini, Uwanja wa Ndege au mipakani. Bei za viwandani (supplier) zinazowekwa mitandaoni huwa ni rahisi na zinavutia kuagiza. Mfano bei za...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku? Hizi 'exaggerations' zitatuua

    Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana? Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu...
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia na wataalamu naomba mnisaidie gharama za daraja kama hili tafadhali

    Naombeni makadirio yenu ili niingize kwenye bajeti unahisi kama hichi kidaraja kitagharimu kiasi gani ?
  18. swahibu ramadhani

    JamiiForums Tanzania Nyumba (Muundo wa L) ya vyumba 2 na sebule inaweza kugharimu kiasi gani?

    Ndugu zangu Mimi nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule vyenye meter 4 lakini choo Cha public ni Cha nje. Muundo wa nyumba ni wa(L) Inaweza kugalimu shingapi mpaka kuamia. Msaada please.
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama ya kwenda na kurudi Israel

    Naomba kujua gharama ya kwebda na kurudi Israel kwa safari ya wiki moja, nauli ,chakula na malazi .
  20. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Kuondoa matumizi ya nguvu na gharama kuua Upinzani nchini, Bunge litengeneze Sheria hizi

    1. Vyama vyote vya siasa ni mali ya serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo Nchi ina jukumu la kuvilea, kuvilinda na kuvipa nafasi ya kushiriki kazi za kimaendeleo ya nchi kwa ujumla. 2. Baraza la usalama na Deep state Viwe na jukumu la kuweka mfumo wa uongozi wa kila chama na uteuzi...
Back
Top Bottom