gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Alichohoji Profesa Muhongo ni kama bei ya umeme itakuwa nafuu kuanzia siku ya kwanza au baada ya kurudisha gharama za uwekezaji?

    Leo baadhi ya wabunge wamemshukia Profesa Muhongo na kudai ni heri darasa la saba Msukuma na Kibajaji kuliko PhD holder. Naye Spika Ndugai akasema ni vema maprofesa wakawa wanajipanga vizuri kabla ya kuongea kuepukuka changamoto za akina Kibajaji kwani uprofesa ni muhimu kwenye kufundisha na...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

    Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana. Asema lengo la Serikali ni kutumia vyanzo vyote ili mradi vilete umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa mwananchi Asema umeme...
  3. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mazishi ya Hayati Magufuli tuambiwe ni kiasi gani cha pesa kilichotumika kwenye shughuli nzima

    Kwa jinsi hii shughuli ya msiba inavyoendeshwa inaonyesha wazi kuna mabilioni ya fedha yanapotea kwa kutumia mgongo wa kumzika kiheshima Rais Magufuli. Kuna wengine bila shaka wanatumia fursa hii kupiga pesa, pesa ambazo kwa namna moja au nyingine zingesaidia mambo mengi mno MF madawa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nilichoelewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu

    Nilicho elewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu Ukiigawanya hiyo pesa kwa Watanzania milioni 60 Trillion 1.28 ÷ milioni 60 1,280,000,000,000 ÷ 60,000,000 = 21333 Kila mtanzania atapata elfu 21. Sasa kazi kwenu mziuze ndege zetu au mtafute bodi ya wakurugenzi yenye wataalamu wa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Gharama za mafuta zapanda April 2021

    Habarini wanajamvi, katika pita pita zangu nimeona gharama za mafuta hapa nchini kwetu Tanzania( Aprili 2021). Kwangu mimi naona zinazidi kupanda tu.Kiukweli mimi sio mtaalamu wa mambo haya lakini naombeni watu watueleweshe inakuaje mafuta yanapanda bei. Sambamba na nini kifanyike bei iwe...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa walio Dar es Salaam tu: Hili ndilo suluhisho la uhakika kukabiliana na gharama zilizopanda za internet

    Kama upo Dar maeneo ya Kariakoo, Mjini posta, Msasani, Peninsular, Upanga, Kinondoni ya Morocco, Mikocheni, Masaki, O'bey, n.k Kuna fiber za kutosha kama zuku, Raha, Gofiber, n.k Fibre ni internet ya waya, unavutiwa waya hadi sehemu ulipo nyumbani kwako, ni internet ya waya lakini kuna kifaa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Gharama za msafara wa Rais wa Awamu ya Tano zinaweza kulingana na gharama za safari za nje za Rais wa Awamu ya Tatu

    Nimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na msafara wa watu wachache ila walikuwa pia na safari za nje na ukilonganisha hizi gharama za ndani na...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

    Wakazi 8 wa Mererani Wilaya Simanjiro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kukejeli na kushangilia kifo cha Rais John Magufuli. Rais John Magufuli amefariki Machi 17 kwa matatizo ya moyo na atazikwa Machi 26, Chato, Mkoani Geita. Taifa lipo katika maombolezo ya siku 21...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Gharama za kujenga reli SGR zitarudi baada ya muda gani kabla ya faida?

    Kuwa na reli ya kisasa inayokwenda kasi ni jambo la kiunchumi na kijamii/huduma. Lakini kutokana na hali yetu ya kiuchumi kuwa sio nzuri linafaa liwe la kiuchumi zaidi kuliko kihuduma. Yaani reli ya SGR lazima ituongezee mapato kuliko tutoa huduma, maana tanzania hatujaifikia luxury hiyo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania PUMZI/UHAI: Kitu cha gharama kubwa zaidi kinachothibitisha ukuu wa MUNGU; Tuitumie vizuri hapa duniani

    Ndugu zangu watanzania kwa wanaoamini MUNGU na wasioamini Ni ukweli ulio wazi kuwa, kinachomfanya binadamu awe hai ni PUMZI yake, bila pumzi maana yake hakuna uhai Mtu kufa maana yake pumzi imefikia ukomo, hata wanasayansi pamoja na ujanja wao wote lakini wameshindwa kabisa kutengeneza pumzi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Habari wakuu, Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu. Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu. Nashukuru sana kwa mchango wenu.
  12. davismwaisemba

    JamiiForums Tanzania Gharama za kukodi mnara

    Habari zenu, Kuna technology mpya ambayo niko kwenye process za kuikamilisha ila ninahitaji kufunga antenna juu ya mnara ili system iwe katika efficiency kubwa. Naomba kwa anayefahamu bei za kufunga antenna zikoje.. Kwa mfano Tigo wakitaka kufunga antenna kwenye mnara wa airtel ni kiasi gani?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Simu nzuri kwa gharama ya laki tatu (300k)

    Habari za weekend, Kwa budget ya Laki tatu (300k) naomba ushauri kwenu ni simu gani nichukue yenye uwezo mzuri wa battery, camera na internal memory kubwa ya kukidhi matumizi ya kawaida.
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya kufuga mbwa kama mlinzi au kama rafiki ni gharama za matunzo

    Mbwa akiwa mlinzi kuna wanaokumbuka kumjengea kennel lakini mbwa wengine wanalala barazani au chini ya mti kwenye kivuli. Mvua ikinyesha anaachwa apambane na hali yake. Kuna wanaokumbuka kununua mifupa butcher au dagaa na kumpikia mbwa chakula. Wengine wanaachwa tu wajiokotezee, unamkuta mbwa...
  15. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kukadiria gharama za ujenzi

    Habari wakuu . Nataka kuanza ujenzi ule wa mdogomdogo atleast by the end of the year niwe nimepaua na kuweka grill kwenye madirisha na milango ya nje. Ramani ina ukubwa wa m 15 x m 14 na ni nyumba ya vyumba 4, vyumba 2 ni self contained na vikolombwezo vyake vyote. Uwanja ni tambarare na...
  16. Alvin Slain

    JamiiForums Tanzania Ni bidhaa gani unazoweza kuziuza ×1,000 kwa siku moja?

    Habari wanabodi. Ni bidhaa aina gani unazoweza kuziuza mara 1000 kwa siku? Gharama ya hizo bidhaa isizidi 2,000 kushuka chini. Karibuni kwa michango yenu.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu

    Habari wanandugu, kwa mafundi naomba kujua gharama zao za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu.
  18. davetz28

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gharama za fundi kujenga nyumba ya vyumba vitatu kuanzia msingi hadi kwenye beam

    Nawasalimu wanajamvi wote,hongereni kwa majukumu ya kujenga taifa. Leo nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kipino gani kinatumika kupata bei ya ujenzi wa nyumba? Nimempata fundi aniinulie boma kuanzia msingi hadi kwenye hatua ya lenta,mahesabu yake aliyopiga ni shs 500 KWA tofari moja gharama...
  19. Hajto

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kuweka tiles kwa chumba kimoja

    Habari zenu jamani, Napenda kujua gharama za kupiga tiles,Nyumba ipo katika mazingira ya uswahilini. Je, gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani chumba kina square mita 9
  20. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kataka mwekezaji Mtwara arudishiwe hela alizonunulia Transfoma. Nami TANESCO wanirudishie gharama zangu

    Katika hali ya kufurahisha na Rais wetu kuendelea kuwatendea wananchi wake haki, Mh. Dr. John Joseph Magufuli amelitaka shirika la Umeme nchini (TANESCO) kumlipa Tsh. 27 Million mwekezaji wa kiwanda cha kubangua korosho kilichopo Mtwara vijijini Hata baada ya kutompa ushirikiano wa kumfikishia...
Back
Top Bottom