gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni "Kutengeneza Kick" kwa gharama zetu; Bando za Data mlitudanganya, tuondoleeni kabisa hii Sheria ya Tozo

    Nilipomsikia Mh Mwigulu kuwa wameagizwa na Mama kuangalia upya Tozo za miamala kuwa zinatia shaka ghafla nimekumbuka suala la Bando za data kupunguzwa kipindi kile na Mh Ndugulile. Zilipopunguzwa ziliibuka sarakasi nyingi na maneno yakawa ni mengi. Hatimaye Mama Samia akaagiza zirudishwe na...
  2. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    Mkazi wa makabe anayeitwa Grace amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mpenzi wake ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai. Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bibi anasema "Tusiilaumu serikali kwa tozo mpya, bali tubadili mfumo wa kuhifadhi na kutumiana pesa"

    Nimefuatilia mijadala mbali mbali kuhusu ongezeko la gharama na tozo mpya za miamala ya kifedha kwa upande huduma wa mitandao ya simu za mkononi. Mjadala umekuwa mkubwa sana kwenye mitandao mbalimbali. Wananchi wanalalamikia ongezeko la tozo hizi huku kiasi kikubwa cha makato (tozo) hizo...
  4. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Visa vya Bima: Wenye magari wanayachoma moto ili walipwe

    Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu tutumieni nafasi hii adhimu ya kupanda gharama za miamala kuwataka wanawake waijie pesa tunapoishi ili iwe win-win event

    Huu ndiyo ukweli, jana nimemla mmoja baada ya kumwambia siwezi kumtumia pesa maana makato ni makubwa mno. Naye akasema aje ili aichukue personaly na akapelekewa moto. Tutumieni nafasi hii kuwala hawa mamluki wa Lucifer.
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nimeshakatwa 120,000/= gharama za kutuma na ya kutolea ndani ya saa 20, tunakomoa wananchi?

    Kweli lengo ni kukusanya kodi ama kuna mtu anahujumiwa? Kweli wanaaminini wananchi tutaikubali hali hii kikondoo?
  7. ze farmer

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kukwepa gharama za mitandao

    Binafsi. Natumia mbinu zifuatazo: 1. Sipigi simu ovyo unless kuwe na ishu ya msingi 2. Situmi hela kabisa kwa mitandao pia itokee dharura sana 3. Luku sijui nini naenda kununua physically kwa wakala 4. Hi mambo ya simu banking nimetoa kabisa 5. Nikitaka 50,000 natoka 400,000 mpunga naweka home...
  8. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za CPA kwa aliyemaliza degree

    Nina Kijana wangu nahitaji kumsomesha CPA amemaliza degree ya Uhasibu wa umma amenieleza Jumla ni 3,650,000/= Naomba wajuzi mnisaidie
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Serikali imepandisha sana gharama za kutuma na kupokea hela kwa simu, ole wake mtu aniambie tuma na ya kutolea

    Pongezi kwa bunge la kijani la Mwendazake kwa kuyafanya maisha ya Mtanzania yawe magumu kila kukicha.
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yoyote

    Habari za Leo wakuu, Baada ya kuwashawishi kwa muda mrefu hatimae jamaa zangu wamekubali kujiunga na CCM. Hivyo wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yeyote.
  11. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania Car4Sale PDF: Jumla ya Gharama za Kuagiza Baadhi ya Magari kwa Mwaka 2021

    Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari picha chini inaonesha jumla ya gharama kwa baadhi ya gari tulizoagiza kwa mwaka huu 2021. Hivyo ukihitaji kumiliki gari yako kutoka nje inaweza kugharim wastani wa gharama hizo hapo chini.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sasa tuhamasike, kuwa na akaunti za Benki ni rahisi. Miamala ya simu gharama hazivumiliki

    Sasa ni wakati wa benki kujitanua zaidi na kila mmoja ajitahidi kuwa na akaunti ya benki, japo na wao wana makato Ila haya ya simu ni makubwa mno, yaani kusafirisha milioni wanakata 31,000 kutuma na kutoa. Sasa nitahamia Benki, au nitasafirisha pesa kwa Gari yaani basi, pia tujitahidi kujiunga...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Afrika wanapenda kuvaa nguo za label ya gharama tofauti na Matajiri Wazungu

    Mzee Bozi Boziana amevaa track suit ya Christian Dior lakini Bill Gate, Mark Zuckerbergs hata Jeff wa Amazon huvaa nguo za kawaida sana.
  14. nusuhela

    JamiiForums Tanzania Gharama za hati ya kusafiria (passport) zipoje?

    Habari zenu wakuu Samahani, nilikuwa nataka kujua gharama za kupata hati ya kusafiria (passport) Na endapo taratibu zote zikakamilika, huchukua muda gani mpaka kutoka. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  15. K

    JamiiForums Tanzania Majigambo ya Serikali hii yameongeza gharama za maisha

    Kutokana na Majigambo ya Serikali hii mara tumepandisha madaraja na kulipa mabilioni ya nyongeza sasa yameanza kuleta madhara kwa mfano sasa chakula cha samaki ya zamani ilikuwa elf 8 sasa ni elfu 10 yaaninongezeko la 20% .Ukiuliza wanasema kodi kuongezeka lakini serikali kulipa wafanyakazi...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujenga kiwanda cha kuzalisha chanjo ya Covid-19

    Serikali imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi na kuzifanya ziwe karibu na wananchi. Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Afya Prof. Abel Makubi amesema...
  17. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa ajira na tenda isiwe chanzo cha utapeli na kuingizana gharama zisizokuwa na msingi

    Wasalaaaam wakuu, Nina imani ninyi wote ni wazima wa afya, bila kupoteza muda niende kwenye mada tajwa hapo kama inavyojieleza, katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wengi wakiume na kike katika nchi yetu la kutafuta ajira na tenda mbalimbali na hili linasababishwa...
  18. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Msaada: Makadirio ya tofali na gharama kwa ujumla

    Kwa ramani hiyo wakuu, inaweza gharimu tsh ngapi mpaka naingia?
  19. polokwane

    JamiiForums Tanzania Gharama za umeme zimepanda lini? Tsh.10,000 kwa unit 72 badala ya 82 imekuwaje?

    TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72. Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko...
  20. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini kusafirsha mwili au maiti toka nchi za nje Ni gharama kubwa sana

    Wadau ebu leo tujadili ili kwanini kusafirisha maiti ni gharama kubwa mno kuliko kusafiri mtu ukiwa mzima na ikiwa maiti inakuja tu kama cargo na mtu unakaa ata vip lakini uwezi kuwa na gharama za maiti yaani nabaki najiuliza sipati jibu.
Back
Top Bottom