gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Rais Samia: Polisi angalieni upya taratibu zenu za upelelezi, kuwaweka watu mahabusu muda mrefu ni gharama kwa Serikali

    Rais Samia ameliagiza jeshi la polisi kuhakikisha linakamilisha upelelezi kwa haraka na kuwaachia huru watuhumiwa ambao kesi zao hazina mashiko. Rais amesema hivi sasa idadi ya wafungwa inakaribiana kuwa sawa na idadi ya mahabusu. Kadhalika Rais Samia amemtaka IGP Sirro kuhakikisha hawatumii...
  2. TTCL Customer Care

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (T-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  3. chiembe

    China, Marekani na Ulaya walitozana sana kufikia hapo. Maendeleo ni gharama, serikali isigeuke nyuma!

    Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania. Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi...
  4. Freiston

    Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda? Siri ni hii

    Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi? Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri waishi kama mashetani. Hivyo chochote kile ambacho kingefanyika kumnyonya huyu mnyonge kisingeruhusiwa...
  5. olele

    Naomba kufahamishwa gharama ya Kujenga msingi

    Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake unaweza kugharimu bei gani? kaniambia mil 12 kidogo nizimie. Ambao mmejenga naombeni mnijuze mlitimia...
  6. Bullshit

    Gharama za kufungua kampuni

    Hello JF members Wenye ujuzi tusaidiana katika hili kitaalam zaidi. Nataka kuendesha biashara mfumo wa kampuni au kuanzisha kampuni 3. Moja itajihusisha na maswala ya mavazi (yaani maswala yote kuhusu mavazi) Nyingine itajihusisha na maswala ya chakula (Grocery and food) Ya mwisho...
  7. moyafricatz

    Kurejewa upya kwa gharama za upimaji wa UVIKO-19 kwa wasafiri nchini Tanzania

    Tarehe 11 Agosti, 2021 Dare es Salaam. Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa UVlKO-19 Duniani, ambapo Tanzania ilipata kisa cha kwanza cha mgonjwa wa UVlKO-19 tarehe 16 Machi 2020, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo upimaji wa wasafiri wanaoingia na...
  8. moyafricatz

    Binti amlalamikia mpenzi wake kwa kumvalisha pete ya shilingi elfu 23,000

    MDADA - "Hi Nimevalishwa pete ya uchumba mwezi wa 6. Nilifurahi sana sababu sikutegemea. pete haina hata miezi 2 imeanza kupata kutu. Hata marafiki zangu chuo wameanza kunicheka kuwa nimevalishwa pete fake. Kuna rafiki wa mchumba wangu nimeongea nae ameniambia pete yangu ni ya elfu 23...
  9. Analogia Malenga

    Kenya: Gharama za maisha kupanda kutokana na ongezeko la tozo

    Kuanzia Oktoba Mosi vitu ambavyo vipo katika orodha ya kulipa tozo zitaongezeka bei nchini #Kenya kutokana na ongezeko la tozo kwa asilimia 4.97 Mamlaka ya Mapato ya Kenya(KRA) imetangaza kuongeza tozo ili kufidia mfumko wa bei uliojitokeza mwaka wa fedha 2020/21 Vitu zinazotarajiwa kupanda...
  10. World Logistics Company

    Ushauri: Usiagize chochote nje ya nchi bila kujua gharama halisi za kodi na ushuru utakaolipia

    Moja ya changamoto kubwa wanayokutana nayo wateja wetu ni kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao halafu kukutana na kodi/ushuru mkubwa wa kutoa mzigo pale Bandarini, Uwanja wa Ndege au mipakani. Bei za viwandani (supplier) zinazowekwa mitandaoni huwa ni rahisi na zinavutia kuagiza. Mfano bei za...
  11. B

    Kiwanda cha kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku? Hizi 'exaggerations' zitatuua

    Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana? Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu...
  12. mirindimo

    Wanadiplomasia na wataalamu naomba mnisaidie gharama za daraja kama hili tafadhali

    Naombeni makadirio yenu ili niingize kwenye bajeti unahisi kama hichi kidaraja kitagharimu kiasi gani ?
  13. swahibu ramadhani

    Nyumba (Muundo wa L) ya vyumba 2 na sebule inaweza kugharimu kiasi gani?

    Ndugu zangu Mimi nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule vyenye meter 4 lakini choo Cha public ni Cha nje. Muundo wa nyumba ni wa(L) Inaweza kugalimu shingapi mpaka kuamia. Msaada please.
  14. mdukuzi

    Msaada: Gharama ya kwenda na kurudi Israel

    Naomba kujua gharama ya kwebda na kurudi Israel kwa safari ya wiki moja, nauli ,chakula na malazi .
  15. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kuondoa matumizi ya nguvu na gharama kuua Upinzani nchini, Bunge litengeneze Sheria hizi

    1. Vyama vyote vya siasa ni mali ya serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo Nchi ina jukumu la kuvilea, kuvilinda na kuvipa nafasi ya kushiriki kazi za kimaendeleo ya nchi kwa ujumla. 2. Baraza la usalama na Deep state Viwe na jukumu la kuweka mfumo wa uongozi wa kila chama na uteuzi...
  16. chrisbleez

    Nimepata mbinu mpya ya kupunguza gharama ya tozo za miamala

    Bila shaka Mungu ni mwema na ninawasalimu kwa jina la jamuhuri. Nimeona nishee nanyi wenzangu katika kuwahabarisha kuhusu huduma tajwa hapo juu[emoji115] Katika kusheherekea na kufurahia ushindi wa simba hapo jana niliona nipombeke kidogo[emoji38]ndipo nikajikuta mzigo kama unakata hivi...
  17. B

    Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama

    Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita. Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu walio na wito kamili. Kama ile iendayo uzimani, ina vikwazo vingi. Kipi ambacho kamanda Mbowe...
  18. Bemendazole

    SoC01 Mapendekezo ya uboreshaji wa mfumo wa mabasi ya Mwendo kasi ili kuongeza ubora wa huduma na kupunguza gharama za uendeshaji

    MAPENDEKEZO YA MABORESHO YA MFUMO WA UENDESHAJI WA MABASI YA MWENDO KASI Mabasi yaendayo haraka ni mradi uliobuniwa kurahisisha huduma za usafiri kwa wakazi wa majiji makubwa yenye msongamano mkubwa wa magari na watu. Tangu kuanzishwa kwa huduma hii kumekuwepo na changamoto za kimiundombinu...
  19. S

    Hadi sasa hakuna mkakati wa matumizi ya bima ya afya na mpango kuwasaidia wagonjwa wa Corona kupunguza gharama za matibabu

    Kama tunavyojua kuwa wimbi la tatu la ugonjwa wa korona linatupiga ipasavyo na japokuwa serikali inaendelea kupokea misaada ya fedha kutoka WHO na mashirika mengine lakini cha ajabu hakuna mikakati yoyote ya kupunguza gharama za mgonjwa wa Korona. Kwa mfano dozi moja ya korona mpaka sasa si...
  20. Shujaa Mwendazake

    Bei Kandamizi: Waziri Kalemani azuia gharama za umeme za Sh. 2,000 hadi 3,700 badala ya Sh.100 kwa unit moja

    Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani amefanya ziara kisiwa cha Maisome Mwanza na kuagiza kampuni binafsi inayosambaza Umeme katika kisiwa hicho kutoza bei elekezi ya Serikali ya Umeme Vijijini ya Tsh 100 kwa unit moja badala ya Tsh 2,000/- mpaka 3,700/- iliyokuwa ikitozwa. My Take: Inaonekana kama...
Back
Top Bottom