gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kukadiria gharama za ujenzi

    Habari wakuu . Nataka kuanza ujenzi ule wa mdogomdogo atleast by the end of the year niwe nimepaua na kuweka grill kwenye madirisha na milango ya nje. Ramani ina ukubwa wa m 15 x m 14 na ni nyumba ya vyumba 4, vyumba 2 ni self contained na vikolombwezo vyake vyote. Uwanja ni tambarare na...
  2. Alvin Slain

    JamiiForums Tanzania Ni bidhaa gani unazoweza kuziuza ×1,000 kwa siku moja?

    Habari wanabodi. Ni bidhaa aina gani unazoweza kuziuza mara 1000 kwa siku? Gharama ya hizo bidhaa isizidi 2,000 kushuka chini. Karibuni kwa michango yenu.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu

    Habari wanandugu, kwa mafundi naomba kujua gharama zao za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu.
  4. davetz28

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gharama za fundi kujenga nyumba ya vyumba vitatu kuanzia msingi hadi kwenye beam

    Nawasalimu wanajamvi wote,hongereni kwa majukumu ya kujenga taifa. Leo nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kipino gani kinatumika kupata bei ya ujenzi wa nyumba? Nimempata fundi aniinulie boma kuanzia msingi hadi kwenye hatua ya lenta,mahesabu yake aliyopiga ni shs 500 KWA tofari moja gharama...
  5. Hajto

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kuweka tiles kwa chumba kimoja

    Habari zenu jamani, Napenda kujua gharama za kupiga tiles,Nyumba ipo katika mazingira ya uswahilini. Je, gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani chumba kina square mita 9
  6. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kataka mwekezaji Mtwara arudishiwe hela alizonunulia Transfoma. Nami TANESCO wanirudishie gharama zangu

    Katika hali ya kufurahisha na Rais wetu kuendelea kuwatendea wananchi wake haki, Mh. Dr. John Joseph Magufuli amelitaka shirika la Umeme nchini (TANESCO) kumlipa Tsh. 27 Million mwekezaji wa kiwanda cha kubangua korosho kilichopo Mtwara vijijini Hata baada ya kutompa ushirikiano wa kumfikishia...
  7. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

    Hapa nitaelezea Sababu za msingi zinazosababisha majengo yanayofanana kujengwa kwa gharama tofauti. Tuzungumzie mchoro wa nyumba ya vyumba vitatu vya Kulala kimoja kati ya hivyo ni master bedroom, sitting room, dining, kitchen ,public toilet na store. Mchoro aliununua ndugu anaitwa Juma, baada...
  8. Viol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwani mahari gharama gani?

    Tuambizane basi posa/mahari huwa ni kiasi gasi kwa kabila yenu?maana suala la kuoa huwa huwezi kukwepa utaratibu wa kikabila. Mnapokea viumbe wanaohema wangapi kama mbuzi, kuku, ng'ombe, kondoo? Kabila langu dume la ng'ombe mmoja (hata awe mdogo), ndama mmoja,kondoo wawili. Inavyoonekana...
Back
Top Bottom