Sorry. Unaposema inaweza kuwa zaidi ya 150,000/, ina maana unaongelea kuhusu rushwa?Tshs 150,000/= hizi ni gharama za serikali!
Inachukua mda gani kuipata,inategemea na wewe mwenyewe unaitaka kwa matumizi gani, kwa kawaida huchukua week tatu hadi mwezi mmoja! Kama una emergency ya mgonjwa,ndani ya siku moja tu,unapata passport yako,lakini gharama itakua zaidi ya hiyo Tshs 150,000/=
Nilikua napitia kwenye tovuti ya serikali, nimeona yenye gharama kubwa ni sh 50,000.Tshs 150,000/= hizi ni gharama za serikali!
Inachukua mda gani kuipata,inategemea na wewe mwenyewe unaitaka kwa matumizi gani, kwa kawaida huchukua week tatu hadi mwezi mmoja! Kama una emergency ya mgonjwa,ndani ya siku moja tu,unapata passport yako,lakini gharama itakua zaidi ya hiyo Tshs 150,000/=
Gharama yake ni 150000 tu.Hati ya kimataifa mkuu
Kwani kinachoangaliwa ni pesa au ni kukidhi vigezo, inamaana mtu hata kama hajakidhi vigezo kama anahela kubwa anapewa chapchap siyoTshs 150,000/= hizi ni gharama za serikali!
Inachukua mda gani kuipata,inategemea na wewe mwenyewe unaitaka kwa matumizi gani, kwa kawaida huchukua week tatu hadi mwezi mmoja! Kama una emergency ya mgonjwa,ndani ya siku moja tu,unapata passport yako,lakini gharama itakua zaidi ya hiyo Tshs 150,000/=
Hata mimi bei hiyo niligongana nilipotembelea kwenye hiyo siteNilikua napitia kwenye tovuti ya serikali, nimeona yenye gharama kubwa ni sh 50,000.
Kwanini wameweka geresha.???
Wahuni sana hawa watu
Big noKigezo mojawapo cha kupata passport ni ugonjwa! Ukiwa na Cheti cha dakitari kinasema unapaswa kwenda nje kwa ajiri ya matibabu,basi unapata passport!
Ili uweze kuwahi matibabu yako nje,inabidi upate passport haraka,haraka yenyewe ni kwamba, siku ambayo unahitaji hiyo passport, kumbuka kuna kazi nyingine zinaendelea,sasa ili waache hizo kazi na wafanye kazi yako,inakubidi sasa uweke pesa zaidi ya hiyo Tshs 150,000=
Nadhani utakua umenielewa sasa
Kukataliwa wapi, na nani?Jamani nataka kuuliza je kwa mfano mtu akishafanya finger print pamoja na kupiga picha je ombi linaweza kukataliwa ?
Gharaza yake ni 150000 tu.
Itaongezeka kulingana na vielelezo vyako vikipunguwa. Mfano cheti cha kuzaliwa
Hati ya kiapo cha wazazi.
Nenda stationary kuna wanapotuma maombi ya passport online.
Utalipia 20000/ sh Utapata risiti ya malipo.
Utamalizia 130000 siku utakayo wasilisha maombi migration.
Kama kuna cha ziada utapata maelekezo uhamiaji
Hivi naweza kupata passport hata kama sina safari? Lengo kuna online registration zinataka uwe na passport ndo upate huduma iliyo advanced zaidi...Gharaza yake ni 150000 tu.
Itaongezeka kulingana na vielelezo vyako vikipunguwa. Mfano cheti cha kuzaliwa
Hati ya kiapo cha wazazi.
Nenda stationary kuna wanapotuma maombi ya passport online.
Utalipia 20000/ sh Utapata risiti ya malipo.
Utamalizia 130000 siku utakayo wasilisha maombi migration.
Kama kuna cha ziada utapata maelekezo uhamiaji
Rushwa wapi we kima. Fika ofisin ukaulize gharama zinapandaje.Sorry. Unaposema inaweza kuwa zaidi ya 150,000/, ina maana unaongelea kuhusu rushwa?