Kutokana na Majigambo ya Serikali hii mara tumepandisha madaraja na kulipa mabilioni ya nyongeza sasa yameanza kuleta madhara kwa mfano sasa chakula cha samaki ya zamani ilikuwa elf 8 sasa ni elfu 10 yaaninongezeko la 20% .Ukiuliza wanasema kodi kuongezeka lakini serikali kulipa wafanyakazi vizuri mishahara kuanzai Julai 2021.
Lakini mafuta ya kulam, sabuni nayo yanazidi kupanda kwani maajenti wameongeza gharama kutoka sh 25 elfu hadi elfu 33 kwa katoni la sabuni na vipande nk.
Serikali mlisema mnaajiri watu 44,000 sasa mmeajili watu elf 6..N do maana ninasema muache majigambo yanayosababisha maisha kuwa magumu kwani hata ajira mlizosema hamjatekeleza. Ilitakiwa sasa muwe mmeajili hata elfu 12, Septemba nyingine 12 elfu, Februari nyingine 12 elfu na Juni nyingine 12 elfu hapo tungeona mnajali kuliko sifa za kupandisha mishahara halafu vitu vinapanda ovyo.