Habari za Leo wakuu,
Baada ya kuwashawishi kwa muda mrefu hatimae jamaa zangu wamekubali kujiunga na CCM.
Hivyo wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yeyote.
Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari
picha chini inaonesha jumla ya gharama kwa baadhi ya gari tulizoagiza kwa mwaka huu 2021. Hivyo ukihitaji kumiliki gari yako kutoka nje inaweza kugharim wastani wa gharama hizo hapo chini.
Sasa ni wakati wa benki kujitanua zaidi na kila mmoja ajitahidi kuwa na akaunti ya benki, japo na wao wana makato Ila haya ya simu ni makubwa mno, yaani kusafirisha milioni wanakata 31,000 kutuma na kutoa.
Sasa nitahamia Benki, au nitasafirisha pesa kwa Gari yaani basi, pia tujitahidi kujiunga...
Habari zenu wakuu
Samahani, nilikuwa nataka kujua gharama za kupata hati ya kusafiria (passport)
Na endapo taratibu zote zikakamilika, huchukua muda gani mpaka kutoka.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Kutokana na Majigambo ya Serikali hii mara tumepandisha madaraja na kulipa mabilioni ya nyongeza sasa yameanza kuleta madhara kwa mfano sasa chakula cha samaki ya zamani ilikuwa elf 8 sasa ni elfu 10 yaaninongezeko la 20% .Ukiuliza wanasema kodi kuongezeka lakini serikali kulipa wafanyakazi...
Serikali imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi na kuzifanya ziwe karibu na wananchi.
Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Afya Prof. Abel Makubi amesema...
Wasalaaaam wakuu,
Nina imani ninyi wote ni wazima wa afya, bila kupoteza muda niende kwenye mada tajwa hapo kama inavyojieleza, katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wengi wakiume na kike katika nchi yetu la kutafuta ajira na tenda mbalimbali na hili linasababishwa...
TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72.
Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko...
Wadau ebu leo tujadili ili kwanini kusafirisha maiti ni gharama kubwa mno kuliko kusafiri mtu ukiwa mzima na ikiwa maiti inakuja tu kama cargo na mtu unakaa ata vip lakini uwezi kuwa na gharama za maiti yaani nabaki najiuliza sipati jibu.
Natamani inchi yangu ijifunze kuangalia kipaumbele cha kero!
Ni kweli kabisa gharama za kuingiza umeme hazitakiwi kuwa kubwa namna ile kutokana na mazingira kwamba Luku na miundo mbinu si Mali ya mteja Bali ni Mali ya mtoa huduma!
Lakini kutokana na mipangilio mibovu, pamoja na kuwepo ile...
Waziri wa Afya niombe uimulike hii hospital iliyopo mkoa wa pwani! Gharama za huduma ni kubwa mnoo! Mfano ukaenda pale kutibiwa gharama ya kujiandikisha ili umwone daktari ni Tsh 5000/= halafu anayehudumia ni intern.
Gharama za kupima malaria (MRDT) ni tsh 6000. Hapo bado huduma nyingine, bado...
Habari wadau wa ufugaji
Naomba kujua gharama za kufuga kuku wa nyama idadi 500 kuanzia siku ya kwanza mpaka hadi kufikia mwezi kwa mtu ambaye anafanya shughuli hizo au alishawahi kufanya kwakipindi kisichopungua miezi 8 iliyopita.
Nije moja kwa moja kwenye mada,
JKT walitangaza vijana waliomaliza kidato cha SITA kujiunga na mafunzo ya JKT kwa MJIBU WA SHERIA.
JKT walitoa maelekezo vitu wanavyopata kuwa navyo watoto, ajabu unamnunulia Mtoto hivo vifaa walivyotaja wao, baada ya Mtoto kufika kambini anakutana na vitu...
Nimetafakari gharama wanazoziingia wazazi kuwapeleka watoto ex form six JKT. Ni kubwa na mzigo usio na sababu ya msingi kwa wazazi masikini. Si chini ya laki mbili (200,000 Ths) kwa uchache. Hizi ni hela nyingi kwa mzazi wa vipato vya chini huko vijijini anaye-strugle kupata ada ya shule za...
Kuwa na mwanamke asiyependa gharama ni ndoto ya kila Mwanaume katika sanaa ya kudeti. Kwa kawaida wanawake aina hii hawana drama wala stress lakini je ni muhimu kweli kuwa nao?
Hebu jiweke katika hii hali: uko na mwanamke ambaye ukifika nyumbani tu ashakuandalia kila kitu, hakuulizi kwa nini...
Mambo ni vipi?
Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hivi
Huyu manzi nafahamiana naye tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call.
Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo...
Kama kichwa cha habari kinavyo eleza hapo juu! Hivi hiki chuo si serikali jaman? Kozi ya mwezi mmoja laki nne.
Wanyonge wanasaidiwaje maana wengi hawana uwezo huo wa kumudu hzo gharama.
To design and install video recording studio
Installation of an acoustic wall to improve silence in the range of 60-70dB
Installation of ceiling panels to improve silence in the range of 60-70dB
Installation of LED lighting
Installation of air-conditioning system
Painting and decorations...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.