Habari wadau, leo nimeona nifanye kushare na nyinyi kidogo kuhusu uchaguzi wa magari hasa linalokuja suala la bei.
Ni wazi bei za magari hazifanani, mfano Rav 4 latest model na Vanguard latest bei zao hasifanani lakini ukifuatilia utakuta unalipa pesa zaidi bila kujua.
Nitazungumzia...
Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
Baada ya kimya kwa muda mrefu kwa changamoto za hapa na pale za kidunia nina mshukuru mungu kunipambania na kunipa afya njema na kurudi imara.
Wakurugenzi wangu mim ni kijana wa kitanzania ambae makazi yangu ni jiji la Dar es Salaam ombi langu kubwa natafuta gari la kupeleka hesabu kwa boss...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza wapi alipo Dereva wake Adam Bakari ambaye alikuwa naye wakati aliposhambuliwa kwa kupigwa Risasi na watu wasijulikana mwaka 2017 Jijini Dodoma.
Akizungumza Leo mei 9,2023 Jijini Dodoma Lissu amesema Dereva...
• Mtoto wa kiume unasuka bado unapanda daladala we ni hanifha.
• Unapaka brich afu unapanda daladala we ni kichaa unayejitambua kidogo.
• We una kitambi /mnene bonge nyanya afu bado unapanda daladala unasumbua vimbaumbau we kanunue gari yako binafsi ili ujinafasi.
• Kijana ukihisi huwezi...
Wanajeshi saba waliuawa Jumapili baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Tillaberi magharibi mwa Niger, jeshi la Niger limesema.
Wanamgambo wa kiislamu hufanya mara kwa mara mashambulizi katika eneo hilo.
Gari lililokuwa limebeba bidhaa za wanajeshi lilikanyaga bomu...
Pamezuka ubishi kuhusu wimbo wa "Superwoman" wa Phina na "Superwoman" wa Zuchu. Kuna mjadala mkali sana kuhusu wimbo upi umetulia kusikiliza ukiwa safarini.
Nimeamua kuileta hii mada hapa jukwaani pengine tunaweza kupata majibu sahihi.
Hii ni Superwoman ya Phina:
Hii ni Superwoman ya...
Wakuu, leo asubuhi nimechukua gari yangu niliyokuwa nimeilaza kwenye parking moja ya kulipia. Cha kushangaza nimetembea njia nzima gari ina muungurumo mbaya na haina nguvu kama nilivyoizoea.
Kuna nyuzi zilishaletwa humu kuhusu gari kuibiwa masega na muungurumo kubadilika.
Je, kuna namna...
Hellow african
Mimi naishi na shemeji yangu dada yangu yupo india ni doctor uko india sasa shule wakati zimefunguliwa dada alisema shemeji anipeleke shule na gari yake ile BMW ya 2009
Sasa siku ilipofika shemeji kagoma kunipeleka anataka nipande daldala mimi sitaki leo nimerudi kutoka shule...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeahidi kupeleka gari Wilaya ya Kahama kwa ajili ya kurahisisha utendaji kazi Ofisi ya Uhamiaji (Immigration) Kahama-Shinyanga kutokana na msongamano mkubwa wa Wahamiaji Kahama.
Hayo yamejiri baada ya Mbunge...
This is mei dei. Happy birthday dear workers world wide.
Kwa wasiojua siku hii inazingatiwa na international labour organization- ILO.
Niende kweny point yangu. Nilianza kuhangaikia maisha long ago. Age is so so so going fast. Nyumba yangu ya kupunzikia sio kulala. Ninayo. Watoto yesu...
Karibu Tairiyako General Enterprise
Call/WhatsApp :+255621560797
Tunapatikana Arusha na Dar es Salaam
EMAIL:Tairiyako@tairiyako.com
obedimollel20@gmail.com
Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana.
UPDATE
Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
TAARIFA iliyotolewa leo na Ofisi ya Rais - TAMISEMI imesema kuwa gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri wa ofisi hiyo lilikuwa ni gari binafsi na sio la Serikali kama ilivyotajwa na baadhi ya baadhi ya mitandao ya kijamii.
Dk Dugange alipata ajali usiku wa Aprili 26, 2023 wakati...
Habari za humu members,naombeni msaada katika hili nimejichanga hela kidogo nna mil.12 net.Sasa nataka kufanya maamuzi ya kupata usafiri wangu wa kwanza kabisa (sijawahi miliki gari)nataka gari ndogo tu itakayo nisaidia kwenye mishe zangu za hapa mjini.naombeni mawazo kwenye maamuzi yangu haya...
Tunatoa huduma ya kukagua gari kama mtu anataka kununua mathalani kwa magari used.
Hii ni kwa gari ndogo tu.
Gharama ya kukagua huwa ni kuanzia Tsh. 150,000/=. mpaka 250,000/= kulingana na aina ya gari. Pia kama tutakagua gari na ikawa na shida na hujaichukua, unaweza kutuletea gari nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.