gari

  1. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inakimbia sana!

    Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee. Gari yenyewe ujue ni gari gani basi? Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kweli tuna Dereva asiyeaminika wa Gari yetu TZ 1961, ila kwa Makondakta hawa 'Walafi ' anaowaamini atatutumbukiza tu Gari Mtoni tukafe

    Bahati mbaya GENTAMIYCINE nayajua Majina ya Makondakta kwa Herufi zao za mwanzo za Majina yao ya mwisho ( ubini ) pekee. Ni Kondakta A, Kondakta K, Kondakta N, Kondakta K, Kondakta M, Kondakta N, Kondakta C, Kondakta S, Kondakta M na Kondakta A. Kwa Nguvu Kubwa ya Ushawishi na hata Ubabe (...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa

    Gari inauzwa bei TSH.21,000,000/-TU ipo kwenye hali nzuri sana ilikua inasafirishiwa mikate tu ,mwenyewe kapatwa na shida ya ghafla anauguliwa ,ukihitaji kuiona ipo maeneo ya kigamboni maelezo zaidi mawasiliano,0768496151/0777496161.
  4. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    Gari gani zuri dogo dogo la kufanyia mizunguko hapa mjini Ukinzingaria mambo kama ya ulaji wa mafuta na pia urahisi wa kujipenyeze, vipuli etc
  5. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Gari ni hitaji la lazima kwetu wanaume

    Ukiwa na Gari kuna mahitaji mengine hugharamiki nayo wala nini.
  6. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanashauri usivute gari lenye Automatic Gearbox ukipata break down, badala yake upakie kwenye Flatbed Truck

    Huu uzi nilitamani ningepata Automatic Gearbox mbovu nikaufanyia video. Kwa maana ninaamini kwa njia hiyo wote mngenielewa vizuri. Hata hivyo nitajitahidi kuelezea kwa kadri nitakavyoweza. Hebu iangalie hii picha vizuri. Hii ni cross section ya Gearbox ya automatic. 99% gearbox za automatic...
  7. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  8. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kuendesha hizi gari tano, KAJITAFUTE!

    1. Suzuki Carry Hii inaingizwa kwenye list kutokana na ubora wa engine yake. S. Carry ni gari ambayo engine yake iko very robust. Inachanganya kwa upesi sana. Huwa naifananisha engine hii kama engine ya piki piki ya mashindano iliyofungwa kwenye gari. 2. Mitsubishi Pajero Mini Ukishasikia gari...
  9. Franchesco1346

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kununua, iwe na engine ndogo

    Habari za kazi wadau, Naomba kama utakuwa unauza au unarafiki anauza gari nzuri iwe engine ndogo na neat condition. Gari inayohitajika iwe kati ya Premio new model, Allion, Vits New model, spacio new model, Raum au Ractis. Budget ni 7.5M hadi 8M Nitumie picha na location. Asanteni sana na...
  10. Exile

    JamiiForums Tanzania Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

    Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali. Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo. Hakuna mwanamke...
  11. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Kama ulishuhudia uwepo wa gari hizi utotoni we ni mkongwe.

  12. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Milioni 20 inatosha gari Afrika Kusini?

    Heshima zenu wakuu! Nimesoma nyuzi kadhaa humu za magari ya South nikajiridhisha kuwa S. A. ni kati ya maeneo sahihi kuchukulia gari, hasa kama unataka kulifuata mwenyewe huko. Naombeni ushauri! Kwa bajeti ya milioni 20, naweza kupata gari dogo kutoka South kwa ajili ya kutumia kwenye...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari used (Saloon car)

    Salaam wakuu, Nahitaji gari ndogo kwa ajili ya matumizi na mizunguko midogo midogo hapa mjini Dar es salaam. Napendelea zaidi Spacio, Premio, Allex, Runnex, Raum, Ractic na Rumion. Bajeti yangu ni TZS 6M. Tuwasilisane kupitia namba 0622078182.
  14. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?

    Je Serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria? Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je, watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliyetwaa Urais wa Samia aurejeshe...
  15. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ajali gari ya IT Mdaula

    Mwenye taarifa ya ajali ya gari ya IT iliyotokea Mdaula nmesikia ilikuwa na abiria wa 5 hajatoka hata mmoja, nilikutana na foleni kubwa hapo saa 10 alfajiri
  16. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Unanua Gari Unakosa Parking unaamua Kulilaza Sheli

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Umetafuta vipesa vyako kwa kudunduliza hatimaye ukanunua ki Spacio chako au Ki - Ist halafu mwisho wa siku unaamua kwenda kukilaza Sheli!. Hakuna mtu mwenye wivu na kagari kako lakini nakutahadharisha ya kwamba Sheli si sehemu salama!. Ni vema...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wakazi: Niliwahi kulala kwenye gari miezi miwili baada ya kufukuzwa home

    Wakazi Rapa namba mbili nchini amesema hamna wakati mbaya ambao hawezi kusahau maishani mwake Kama siku alipofukuzwa nyumbani kwao. Amesema hayo alipokuwa akiongea na mtangazaji gwiji Jabir Saleh. " Nilizinguana na mshua nilipomaliza form 4, baba akaniambia niondoke home, kwa hiyo...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Misafara ya Nyerere mpaka Mkapa haikuwa na gari za wagonjwa kama ilivyo kwa Marais waliofuatia?

    Katika hi mada yangu (huu Uzi wangu) leo kipaumbele changu kikubwa kitakuwa ni kusoma tu comments zenu ili nami GENTAMYCINE niwe mjuvi wa mambo mengi hasa yale yaliyojificha/yaliyofichwa.
  19. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Gari la mafuta linawaka moto muda huu maeneo ya Ubungo

    Mliopo maeneo ya Ubungo na Kimara kibo, tupeni update ya hapo maana wengine wanakimbilia hatari. === Lori linalosafirisha Mafuta limepinduka na kusababisha Moto mkubwa katika maeneo ya Ubungo jirani na Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi cha Kibo jijini Dares Salaam. Jeshi la Zimamoto limefika...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Niliwahi Kushauri hapa kwa kuja na Thread kuwa Ndugu msipende Kusafiri pamoja katika Gari / Basi Moja nikapuuzwa

    Najua kuwa Kifo hakichagui, ila Kupunguza athari yake Kijamii inawezekana kama tu ukiwa makini. Hivi kwa mfano Ndugu mpo 30 mnatoka Dar es Salaam kwenda Shughulini Mkoani Dodoma kwanini nyote mpande Gari / Moja? Kwani mkijigawa Watu Watano Watano mpande Gari / Basi tofauti tofauti kwenda huko...
Back
Top Bottom