TAMISEMI: Gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri Dugange lilikuwa binafsi na siyo la Serikali

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,103
16,150
TAARIFA iliyotolewa leo na Ofisi ya Rais - TAMISEMI imesema kuwa gari lililohusika katika ajali ya Naibu Waziri wa ofisi hiyo lilikuwa ni gari binafsi na sio la Serikali kama ilivyotajwa na baadhi ya baadhi ya mitandao ya kijamii.

Dk Dugange alipata ajali usiku wa Aprili 26, 2023 wakati akiendesha gari yake binafsi Jijini Dodoma ambapo kwa sasa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Benjamini Mkapa.
dugande.png
 
Back
Top Bottom