USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,895
22,659
Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana.

UPDATE

Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk Festo Ndugage baada ya kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia Ijumaa.

Screenshot_20230428-071316.jpg

=====
UPDATES: 29 Aprili 2023
=====
Polisi Dodoma Wakanusha kuhusu habari zilizosambaa kwamba ajali kuna mtu amekufa. Polisi wamedai Festo alikuwa peke yake kwenye gari. Pia wamedai gari iliyopata ajali ni mali ya Naibu Waziri Festo sio Mali ya Serikali. Majeruhi amelazwa Hospitali ya Benjamini Mkapa Dodoma.

Polisi wamewataka wananchi kuacha kusmabaza taarifa za uongo na kuzua taharuki.

Polisi wamedai wapo Makini hivyo wananchi wasisite kufika Ofisini kwao kupata ufafanuzi wa taarifa zozote wanazotilia shaka

IMG_20230430_100935_992.jpg
 
Very personal !!!!a public servant being unfaithful and unethical by committing extra marital affairs using government vehicle financed by tax payers' money!!
Vere pesono ahahaha

Wana kichaa wasemao hivyo.

  • Gari aliyotumia ni ya kwake au serikali?
  • Ukomo wa serikali kumuhudia naibu waziri ni saa ngapi?
  • Nyumba anayoishi naibu waziri, ni yake binafsi au ya serikali?
n.k

U-pesono unatokea wapi kwenye VIEITEEE yetu?
 
Back
Top Bottom