Nina kipato kwa mwezi nataka gari wewe unaleta kujua. Wengine hawataki ushauri ni maelekezo

anti-Glazer

JF-Expert Member
Apr 13, 2023
291
478
This is mei dei. Happy birthday dear workers world wide.

Kwa wasiojua siku hii inazingatiwa na international labour organization- ILO.

Niende kweny point yangu. Nilianza kuhangaikia maisha long ago. Age is so so so going fast. Nyumba yangu ya kupunzikia sio kulala. Ninayo. Watoto yesu namshukuru, ninawo. Kwa kifupi before turning 55 walau niendeshe kagari. Najiona incomplete kwa kukosa usafiri japo wa kuoshea kitaa.

Kuna Wana saikolojia wananiambia na kwa sababu wanajua kazi yangu, inadaiwa ninaongezea bajeti hivyo sitamudu kuisimamia gari. Sasa nashangaa, who are you forcing me?

My life my time my age, kakipato kadogo kwa mwezi nataka gari wewe unaleta kujua. Wengine hawataki ushauri ni maelekezo.
 
kama upo desperate sana kula chuma hicho kiwe mtumba waweza pata kwa milioni na nusu

images
 
Back
Top Bottom