Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 628
- 1,648
Habari wadau, leo nimeona nifanye kushare na nyinyi kidogo kuhusu uchaguzi wa magari hasa linalokuja suala la bei.
Ni wazi bei za magari hazifanani, mfano Rav 4 latest model na Vanguard latest bei zao hasifanani lakini ukifuatilia utakuta unalipa pesa zaidi bila kujua.
Nitazungumzia Lamborghini urus kama mfano, hili ni gari la kifahari linalotenhenezwa nchiji Italy, thamani yake kibongo ni takribani milioni 900 mpaka Bilion kwa full options. Lakini ukilichunguza hili gari utagundua halina tofauti na Audi Q8 ambayo thamani yake ni takribani milioni 350 za kibongo. Lamborghini urus imeundwa kwa ku unga unga. Kama ifuatavyo:
Rear steering ni ya VW toureg.
Engine ni ya Audi RS Q8
Wishbones ni za VW toureg
Shock Absorbers ni za Audi
Na part nyingine zimetoka kwenye Porsche Cayenne.
Ifahamike kuwa Volkswagen group ndio wamiliki wa brand zote hapo juu na zingine kibao.
Kibongo bongo mtu ambae hawezi kunua Rav 4 anaweza kuwa na Vanguard kwan ni gari ileile imebadilishwa body tu. Na zingine zipo kibao mnaweza kuongezea.