Ukaguzi wakati wa kununua gari.

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,327
9,328
Tunatoa huduma ya kukagua gari kama mtu anataka kununua mathalani kwa magari used.

Hii ni kwa gari ndogo tu.

Gharama ya kukagua huwa ni kuanzia Tsh. 150,000/=. mpaka 250,000/= kulingana na aina ya gari. Pia kama tutakagua gari na ikawa na shida na hujaichukua, unaweza kutuletea gari nyingine na hatutakutoza gharama nyingine.

Cha msingi kabla ya kuja kwetu kagua gari uridhike nayo, fanya kabisa na test drive ikiwezekana.

Baada ya hapo ndio unaweza kuja Ofisini,

Hapo tutakuwa na vipimo kadhaa.

1. Fully system Diagnosis (Hii inaonesha kama kuna faulty ya umeme kwenye mifumo ya engine, gearbox, abs, n.k. Pia itaonesha kama gari iliwahi kupata ajali)

2. Compression Test (Hii inaonesha afya ya engine kuanzia piston, rings, intake na exhaust valves kama ziko sawa. Gari ikifeli hii test ni vema kuachana nayo maana ukichukua muda si mrefu unaweza kujikuta unaenda kufungua engine na kuoverhaul au kununua engine nyingine).

3. Engine Oil pressure test. Asije akakudanganya mtu kwamba ukifungua mfuniko wa oil huku umewasha gari ukaona Oil inaruka basi pressure ipo. Hii kitu kuna muda haina uhalisia. Njia sahihi ya kupima pressure ni kwa kutumia gauge.

4. Transmission Oil pressure test. Hapa tunatest kama Gearbox yako inaweza kutengeneza pressure at idle na ukiwa unaendesha. Gari ikifeli test hii pia basi jiandae kununua gearbox muda wowote.

5. Smoke leak test. Hii tunatest kama engine yako ina leak kwenye pipes za hewa.

6. Battery and Alternator tests Hapa tunatest kama alternator ni nzima na inafua umeme vizuri pia kwa battery tunatest kama ni nzima au inakaribia kubadilishwa.

7. Fuel pressure test, Hapa tunatest kama fuel pump inazalisha pressure ya kutosha, pia tunatest kama fuel pressure regulator inafanya kazi inavyotakiwa.

8. Coolant leak test. Hapa tunatest kama gari inaleak coolant mahali. Iwe kwenye rejeta au hoses zake. Na tunakuonesha ni wapi coolant inaleak.

Hizi ni baadhi tu lakini zipo tests za aina nyingi.

Simu/Whatsapp 0621221606 au 0688758625.

Ofisi ipo Sinza kijiweni.
 
Unaweza kujua km gari wameroll back mileage?
 
Kwa hivyo vipimo hapo juu magari mengi yatashindwa kufikia vigezo.
Umekuja na msaada mkubwa Sana hasa Kwa MTU anayetaka kununua used za hapa bongo
Kuna test ikifeli mfano Compression test au Transmission Oil pressure test hiyo gari ni ya kuachana nayo ila ukikuta gari.

Ila test zilizobaki vitu vingi vinarekebishika na gharama ni za kawaida tu, Kikubwa ni kuwa aware.
 
File gani?

Unavyonunua gari/ import kuna documents nyingi utapewa mara nyingi huwa zinaletwa na Dhl. Kunakua na bill of lading, car inspection report, na taarifa nyingi kuhusian na gari. Kwenye hizo docus utaona gari imenunuliwa ina km ngapi.

Shida ya wabongo unanunua gari kwa mtu huombi file la gari/nyalaka. Kwa mtu aliyefanya importation hizo nyalaka zote mpaka payments zote anakua nazo.
 
Wakishachezea Km hiyo Car Inspection report wanaichoma moto.

Hutokaa upewe.

Watakupa documents zote isipokuwa hiyo...
 
Back
Top Bottom