Wakuu, leo asubuhi nimechukua gari yangu niliyokuwa nimeilaza kwenye parking moja ya kulipia. Cha kushangaza nimetembea njia nzima gari ina muungurumo mbaya na haina nguvu kama nilivyoizoea.
Kuna nyuzi zilishaletwa humu kuhusu gari kuibiwa masega na muungurumo kubadilika.
Je, kuna namna unaweza kugundua masega yameibiwa kwa kuangalia sehemu iliyokatwa? au kuna namna wanaweza kuyaiba bila kuacha alama yoyote?
Wajuvi karibuni kwa ufafanuzi.