gari

  1. A

    JamiiForums Tanzania Gari yenye Sunroof Bongo ni mateso

    Kulingana na Hali yetu ya jua na vumbi karibu kipindi chote cha mwaka. Kununua gari yenye Sunroof kwa Bongo ni mateso ya kujitakia.
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu 16 wafariki katika ajali ya gari walipokuwa wakirejea kutoka msibani

    Ajali ya barabarani iliyohusisha lori na daladala kwenye barabara kuu ya Kagadi-Kyenjojo katika halmashauri ya mji wa Nyanseke-Muhorro, wilayani Kagadi. Ajali hiyo pia imewaacha wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya, ambao wote wanaripotiwa kuwa walikuwa wakirejea kutoka mazishi. Kaimu afisa wa...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linachunguza kifo cha mtu mmoja aliyekutwa ameuawa ndani ya gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetangaza kuwa linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Felix Josephat Mgeni (47) anayedaiwa kuuawa na mwili wake kukutwa ndani ya gari ukiwa na baadhi ya vitu vingine vya jinsia ya kike. Akizungumza leo SACP Jumanne...
  4. Bexb

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari raum inayouzwa 5.5M

    Habari ya mchana wajumbe. Ninahitaji gari ya raum ile ambayo kwa hapa nchini tumeipachika jina la new model. Bajeti iliyopo ni 5.5 lakini inaweza kupanda kidogo sana. Kama unalo tafadhali naomba tuwasiliane kwa 0755965775 calls/WhatsApp nije nikague nilipie. Shukrani
  5. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

    Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa. Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Giza limetawala Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho, abiria wanategemea mwanga wa taa za gari

    Taa za Kituo cha Daladala cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho haziwaki na hali ya Giza imetawala eneo hilo na hivyo kuhatarisha Usalama wa mali na abiria wenyewe. Mpishano wa magari unaendelea huku purukushani za watu nazo zikiendelea hivyohivyo. Kwa ninavyowaona vijana ambao...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Na nyie kwenu mnao watu kama hawa?

    Best kama hauna watu kama hawa kwenye ukoo wenu katoe sadaka ya LKUJIMALIZA asikwambie mtu,,,,,,yaani wachaga tunavumilia mengi sanaaaaa Kuna magrp ya ukooo matajiri usiwaguse ati una ndugu yako mgonjwa aisee watakurudisha na vibokoooooooooo Ila itokee yule mgonjwa kafaa best yaan...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kuliko kununua gari used Bongo bora usubiri uagize tu used Japan

    Kwa muda nimejaribu kutafuta hivi vigari vidogo kama IST, Vits , Allex nk Vingi madalali wanauza Mil 10 mpaka 13 almost bei ya kuagiza mil 14 - 16 Japani. Hapo ukishanunua Bongo jiandae tena na mil 2 za kurekebisha gari angalau uweze kutembelea. Kwa ushauri tu usikimbilie kununua gari used...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Gari ya kitenge kuhusishwa na mambo ya bandari ni ujuha! Inaonyesha mmeanza kukosa hoja!

    Simfahamu kitenge kwa namna yoyote ! Lakini wahujumu uchumi waliokuwa wakineemeka na bandari yetu na wale wanaomiliki bandari kavu hapa dar ! Na wanyonyaji wote waliokuwa na maslahi na mfumo wa zamani wa bandari kwa Sasa wanajaribu kuwatumia vibaraka wao wa kwenye tweet na mitandao mbalimbali...
  10. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Uchawa kwa DP World umemlipa Maulid Kitenge? Naona kavuta ndinga

    Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii. Je, uchawa umewalipa...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wananchi Tabata Kisukuru kero yetu kubwa ni kukosa gari la kuzoa taka na uhaba wa maji

    Mimi kero yangu au naweza kusema kero ya watu wengi huku mtaani kwetu Tabata Kisukuru ni kuwa gari la Taka halijaonekana muda mrefu na taka zimejaa kwenye nyumba nyingi mpaka zinanuka na kutengeneza wadudu. Kero nyingine ni kuwa maji ni ya shida sana yaani tunataabika kwelikweli, tupazieni...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mfanyabiashara Aponye afariki kwa ajali ya gari

    Renowned Ugandan businessman Apollo Nyegamehe has died after the car in which he was travelling rammed into a stationary lorry along Mbarara-Kabale highway in Ntungamo District. The ruling National Resistance Movement (NRM) chairperson for Rukiga District who's popularly known as Aponye, died...
  13. big dreamer

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Nissan Dualis inahitajika number E

    Mwenye gari dualis number E anichek PM. Pesa ipo mfuko wa shati NB: Madalali wenye tamaa hapana
  14. Msingida

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha Gari dogo toka Dar es Salaam kupeleka Arusha

    Wadau wa usafirishaji, nina rafiki yangu anataka kusafirisha gari dogo toka Dar kupeleka Arusha kwa magari ya mizigo. Naombeni mwongozo, ni wapi usafiri huo kwa Dar unapatikana? Ni salama kwa gari dogo? litafika limebonyezwa na mizigo mingine? gharama inaweza fika kiasi gani? NB:Lina hitilafu...
  15. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata gari la mizigo linalotoka Morogoro to Moshi.?

    Habari wazee, Nahitaji usafiri ijumaa ijayo nina vitu vichache(vitu vya ndani) vya kusafirisha kutoka Morogoro(mzumbe) kwenda Moshi(himo) siku ya ijumaa ya wiki ijayo ya tarehe 7 mwezi wa 7. Usafiri wa magari ya mizigo inayotoka mikoa yoyote ila inapita morogoro au hata kama gari linaanzia...
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

    Wakuu hii haki kweli? Nimemuajiri kijana wa miaka 24 kama dereva wa gari yangu inayotoa huduma ya usafiri chini ya kampuni ya Bolt imepita miezi nane tangu nimkabizi. Nilimpa maelekezo kuwa afunge kazi saa tano kamili usiku na baada ya hapo alete gari nyumbani. Alifuata maelekezo yangu lakini...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

    Habari za leo waungwana. Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
  18. Ndege Tai

    JamiiForums Tanzania Gari nzuri kwa watu wenye vipato vya kawaida hususani vijana

  19. U

    JamiiForums Tanzania Kodi ya uagizaji gari Japan kuja Tanzania unatisha. Land cruiser Prado bei TZS 40,638,290 (hadi Mwanza via DSM). Kodi + gharama zingine 42,060,235!!

    Mfumo wa kodi ya uagizaji gari (used abroad) toka nje hususani Japan kuingia Tanzania unatisha na kushangaza sana... Mathalani hivi inawezekanaje kodi na gharama zingine pale bandarini ziwe kubwa kuliko bei ya gari yenyewe? Msingi wa kutoza kodi kwa jinsi hii UNAKUWA ni nini eti..? Nimeagiza...
  20. covid 19

    JamiiForums Tanzania Fanya gari lako kuwa la kuvutia kwa kubadilisha muonekano

    Fanya gari lako kuwa la kuvutia kwa kubadilisha muonekano wa gari lako kwa kuweka plate namba za kisasa za 3D. Hii ni fursa adimu ya kuongeza hadhi ya gari lako kwa gharama ndogo na muda mfupi tu. Fanya gari lako kuwa tofauti na wengine, lipende gari lako. Plate namba za 3D zinapatikana hata...
Back
Top Bottom