gari

  1. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Free Advanced engine service gari 5 tu. Wati wa

    Mod naomba futa hii thread maana nmeipost bahati mbaya kabla kuna vitu sijakamilisha kuandika.
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wanne wadaiwa kufariki dunia baada ya Noah kusombwa na maji ikijaribu kuvuka barabara iliyofunikwa na maji

    Hii ni ile noah iliyozama ilikuwa na watu sita wawili wamepona, watatu wamepatikana wamefariki, mtoto mmoja hajaonekana sijui kapelekwa na maji hadi wapi ======= Watu wanne wamepoteza Maisha na wengine wawili kunusurika kufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya NOAH T 499 DMY kusombwa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu real motor auction japan kama kuna mtu ameshawai agiza gari kwao

    Naomba kujua hii company hipo kwel au
  4. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania AC ya gari inanitesa sana

    Habari wakubwa na wadogo . Nataka kuuliza hii hali ninayoisikia pindi inapowasha AC ndani ya dk 10 tu mwili wote unaanza kuishiwa nguvu na kuanza kuhisi kutapika pia tumbo linachefuka hii imeanza tokea nianze kutembea na boss pamoja kwa gari yake mpaka ananishangaa why nakuwa na hali kama hiyo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yanga wafanyiwa figisu, wapewa gari bovu Nigeria

    Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Gari ya Kipanya iwe usafiri rasmi wa Rais Samia

    Heri ya idd ndugu zangu. Tanzania ni moja ya nchi chache Sana duniani ambazo tunatengeneza Magari halafu official state car bado tunatumia gari za nchi nyingine. Viongozi wakuu wa nchi za Marekani, ujerumani, Japan na Uingereza viongozi wao wanatumia kampuni za nyumbani. Bibi la Bibi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi amshukuru Rais Samia kwa kuwapatia gari la kusimamia elimu Jimboni

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameishukuru Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Jimbo lake la Muhambwe gari kwa ajili ya usimamizi wa maendeleo ya elimu ya sekondari. Gari hilo limeshakabidhiwa Jimboni tayali kwa usimamizi wa elimu...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

    Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda. Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza gari aina ya Impleza

    Habari, Sifahamu sana hizi gari aina ya Impleza ila mke wangu mdogo anazifahamu, nimeona kwenye picha ni gari ndogo kiumbo. Niyeyehariniambia ana.zipeda sana nafikiliya nimuwagizihe Naomba kufahamishwa agent mzuri wa magari
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mshindi wa kampeni ya SimBanking akabidhiwa gari aina ya Toyota Crown

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Kimweri (mwenye kanzu) akimkabidhi mshindi wa kampeni ya Benki ni SimBanking, Mayani Yahaya Hassan mkazi wa Dodoma funguo ya gari baada ya kuibuka kidedea katika droo iliyochezwa mapema mwezi huu. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Benki ya CRDB ambao walishiriki...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shilole: 'V8 ndio gari ya Heshima sio Range Rover gari ya Kitoto hiyo'

    Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki. Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja “v8 new model” ndio gari ya heshima kwake na akiongeza kwa sema Gari aina ya Range Rover ni za kitoto. DOZEN SELECTION
  12. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

    Samaleko! Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
  13. The Eric

    JamiiForums Tanzania Nauza gari yangu Suzuki Escudo

    Salaam wakuu, ~ Hii hapa Suzuki Escudo, Earth Road. ~ Gari ni manual transmission, Gear. ~ Fuel consumption 1400cc. ~ Engine safi. ~ Tyre ziko poa fowl. ~ Seat za watu tano. ~ Gari ni imara sana. ~ Gari ipo moshi. ~ Bei ni shilingi 4,900,000 fixed. Gari ni yangu mwenyewe na haina kipengele...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Gari za Ubalozi naziona zinasambaza Zawadi za Vifurushi Misikitini leo tafadhali zigawiwe Kiusawa na si kwa Upendeleo

    Zinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani. Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko. Japo Mimi ni Mkristo (tena wa...
  15. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Umening'iniza rozari au tasbihi kwenye gari lako lakini hupishi wenzio, huo ni urembo?

    Unakuta kwenye gari imening'inia rozari au tasbihi kuonesha mwenye gari - labda kama ni mwajiriwa - ana mtukuza Mungu ambaye anamtaka ampende jirani yake. Jirani ni mtu yeyote aliye karibu yako. Sasa inakuwaje umkatarie mtumiaji mwingine wa barabara kuingia barabara kuu au kutoka barabara kuu...
  16. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Dereva wa gari okoa uhai kwa kufuata sheria za barabarani

    Kuna sheria za barabarani zinazowaongoza madereva wa vyombo vya moto na baridi, pamoja na watembea kwa miguu. Ili kuokoa uhai, hasa wa watembea kwa miguu, ni vyema madereva kuzingatia kusimama kwenye alama ya pundamilia pale wavuka kwa miguu wanapokuwepo, hata akiwa mmoja. Na hii ni lazima...
  17. J

    JamiiForums Tanzania WanaSimba wenzangu kuringia sana kiwango cha Jean Baleke, ni kama mtu kuringia gari la mkopo

    Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo Kuringa sana ni kama mtu anateringia gari la mkopo kama vile ni lake Huku tukijisahaulisha ukweli mchungu...
  18. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Nikinunua gari Zanzibar

    Msaada wakuu,nataka ninunue gari used iliyosajiliwa zanzibar,ije bara,ya mwaka 2004,cc 1490,bei mil 5,,ushuru tra sh ngapi,na usafirishaji sh ngapi,mpaka naanza kutumia dar baada ya kusajili..
  19. Heci

    JamiiForums Tanzania Hallo Mbinguni, Nataka gari

    Kabla huja comment chochote tega sikio kwenye hii audio clip niliyo attach.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Tinted za kimarekani kwenye gari tunazipenda lakini zinahitaji uvumilivu tu kwakweli

    Tuseme tu ukweli! Ka tinted! ni kaugonjwa ketu wengi! Sina maana huu uzi niwakuwatambia hapana; siyo lazima niwe na kagari ili kuifurahia tinted, bali hata napopewa lift tu madhila, kero na utamu wa tinted huwa unaonekana! Tinted ni kilevi kama vilevi vingine visivyolewesha! Kupenda kunywa...
Back
Top Bottom