gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Paula kaenda kusomea kitu gani huko Uturuki?

    Katika pita pita zangu huko Insta, nimeona Paula Kajala yuko uturuki kimasomo. Hivi huyu form 4 si alifeligi au kaenda kusomea mambo gani huko uturuki?
  2. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Huwa unapata wazo gani unaposikia online business

    Uzi tayari. Mana utaambiwa ni hela unatengeneza huku umekaa tu
  3. Saa kumi na moja

    JamiiForums Tanzania Simu gani inajaa chaji mapema zaidi ya hii

    Simu gani inajaa chaji mapema zaidi duniani kuliko hii
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani Africa kusini mwa sahara inaonyesha matumaini ya kuondokana na ushithole?

  5. Ileje

    JamiiForums Tanzania Somo gani tunajifunza Watanzania kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia

    Watanzania tuna jambo la kujifunza na kuchukua hatua sahihi hivi sasa kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia. Tusijifanye vipofu hatuoni ukweli uliopo. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliopo hivi sasa ni wa muda tu kama katiba ya Serikali ya Muungano haitafanyiwa...
  6. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

    Nianzie kwangu. Kwa kweli hadi leo sijaweza kuikariri kisawasawa saa inayosoma kwa masaa 24. Yaani bado inanisumbua kila uchao.
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Je, kujaladia madaftari lilikuwa jambo muhimu kiasi gani enzi za uanafunzi wako?

    Kuna jambo nimelikumbuka wakati nafanya mazungumzo na wafanyakazi wenzangu leo. Tulikuwa tukijikumbusha visanga na mambo mbalimbali ya miaka ya nyuma wakati tukisoma. Ni kuhusu kujaladia madaftari. Hii kwa walimu wengi ilikuwa ni sharti muhimu; yaani akiingia darasani anaweza kuamua tu kukagua...
  8. Red Giant

    JamiiForums Tanzania USSR/ Urusi wana legacy gani Afrika?

    USSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa na Mobutu akawatimua wa Soviets. Hapa karibuni, waasi na wababe wa kivita walijaa karibu CAR yote...
  9. love life live life

    JamiiForums Tanzania Ni lugha gani iliyoharibiwa babel na uhusiano wake na Antarctica?

    Hili ni swali nililojiuliza mara kadhaa huko nyuma. Katika pita pita zang kwenye vitabu mbali mbali nimekuta mara kadhaa sio mara moja ikitajwa kuwa haikuwa lugha ya kawaida watu wali wasiliana mind to mind(telepathy) mtu aliweza kutambua fikra za mtu mwingine. Hii haikuwa muujiza bali...
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kuna hasara gani kama Taifa tunazipata kwa kutokuwa na sera ya uraia pacha au "Special Status" inaweza kuwa mbadala?

    Habari wadau...! Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel. Karibuni tujadili.
  11. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ana maana gani kusema Rais Samia atakuwa Rais hadi 2030?

    Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Shaka alisema Jumapili ya leo kuna jambo zito Rais Samia atalifanya. Ni jambo gani hilo? Au alitudanganya?

    Katibu mwenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka A. Shaka na siku chache baadaye mwanamama Ditopile waliutangazia umma kuwa Jumapili hii tutege macho na masikio Ikulu, maana Mhe Rais atakuja na jambo zito Sana Mimi nasubiria bila kuchoka, natamani mhe Rais amalize haraka shughuli anayoifanya pale Dodoma...
  13. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Ni PC gani nzuri chini ya 1M inayoweza ku-run Adobe premier pro na games chache?

    Any help Gurus ??
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania DR. Sengati, RC Shinyanga hivi ulikuwa na matatizo gani kuelewa?

    Kuna watu huwa wamesoma sana lakini ni wagumu kuelewa. Huyu Dr Sengati ana matatizo gani? Kaonywa lakini haelewi! Hawa ndio tunaita thick headed!
  15. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Twende na Paka kauzu, unaukumbuka msemo gani unaoendana na huyu paka?

    Weka kauli yoyote ambayo uliwahi kuiona inayoendana na huyu paka kauzu
  16. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan anamwambia nani kazi iendelee na ni kazi gani hiyo?

    Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara kwa mara. Sasa kuna maswali yafuatayo: Kwa kuzingatia lugha ni kwamba kazi hiyo si zaidi ya moja...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Chuo gani bora kwa uandishi wa Habari ukanda wa Africa mashariki

    Habari zenu wakuu, Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT. Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja hadi nyingine?

    Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine? Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama. Msaada kwenye tuta.
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya mke wangu ina maana gani?

    Hello watanzania wenzangu! Ebana kabla ya kwenda kwenye point naomba nidiklee interest kuwa mimi nimeoa,nina mtoto mmoja and I am responsible father for 100%. Sasa bana, mimi ni mzee wa tungi ingawa sio wale wa kunywa hadi kubebwa,na nakunywa bia tu sio hizi double kick. So last weekend wife...
  20. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa asili wa Zanzibar ni watu gani?

    Maana miaka ya 1800 Sultani alianzisha kilimo cha karafuu Zanzibar. Biashara hii na ile ya utumwa ilikuwa ya pesa nyingi. Mwishowe akaamua yeye mwenyewe kuhamia Zanzibar. Hapo waarabu kibao kutoka Oman wakahama naye. Wakaanzisha mashamba ya karafuu na kuweka watumwa kibao kufanya kazi. Hata...
Back
Top Bottom