Msiba gani umekuumiza sana huu mwaka 2021?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Tokea mwaka uanze ndo kwanza tuko mwezi wa 7 ila tokea January mpk sasa kuna misiba mingi imetokea. Kwa upande wako taarifa za kifo cha nani mtu maarufu zilikuhuzunisha na kukusikitishasana huu mwaka 2021?
 
Mimi huu mwaka msiba ulioniumiza ni wa dada yangu, mjukuu wa Baba wa taifa.

Alikuwa mtu muhimu sana!!

Rest in Pease sister!
images (6).jpg
 
Baba yangu, naona kama ndoto.
Leo siku nzima naliaametimiza miezi miwili kamili Leo.

JPM,Rais kipenzi cha wengi.

John Kijazi,alinitunuku degree yangu,akarahisisha utaratibu wa kupata vyeti,tukaondoka na vyeti papohapo ili ibaki kupambana mtaani.

Prophet TB Joshua nabii aliyeumaliza mwendo, mafundisho yake ni mazuri kujenga kiroho.

Mungu aendelee kuwapumzisha pema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
John Pombe Magufuli...

May the Soul of this Man Rest In Peace Amen...
 
Prof Nkunya! Nakumbuka alivyonipokea 1st year pale UD akaniruhusu nidahiliwe bila ya kuwa na ada. Nililipa kishika uchumba nikaendelea kupeta. Mpaka leo nadaiwa ada pale UD. Najichanga changa nikailipe baada ya kumalizana na lon board mwezi ujao!
 
Back
Top Bottom