Naomba ushauri wa aina ya bati ya kuchaguala?

albab

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
1,034
1,999
Habari wadau,

Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa.

Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi

BATI ZA RANGI
Wengi wanashauri ALAF, SAWA ila bei yake iko juu sana 39 (bati ya kawaida ya rangi) na pia nimekutana na wadau wanasema uaminifu sasa ni 00 kwani WAPO walozitumia na sasa ni nyeupe na walinunua kwa mawakala trusted.

KIBOKO anaaminika kiasi kwani anaingia na kutoka sokoni kwa ubora

BATI ZA KAWAIDA
SIMBA DUMU wengi wanazisifia sana ila mafundi wanaelezea changamoto ya migongo ya mwisho kuacha uwazi. (390k kwa bando)

ROOFING
Mpaka sasa sijapata changamoto yoyote ya bati hizi zinatokea Uganda na wengi wanazisfia mafundi wakiwemo 400k kwa bando

Ziada:
ANDO
Huyu ni mgeni sokoni anaonekana ni bora (hamna ushahidi mana Hakuna reference) ila serikali kamuamin kampa tenda ya ikulu Dodoma (sio sababu mana 10% hua inahusika pia) bei yake sasa maaaaaaaa bati moja la migongo ya kawaida anauza 49k🚶

Niende WAPI

KARIBUNI.
 
Weka bati yoyote iliyo chini ya uwezo wako. Hata hivyo simba dumu ndiyo bora la kati. Siyo ghali siyo rahisi
 
Habari wadau,

Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa.

Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi

BATI ZA RANGI
Wengi wanashauri ALAF, SAWA ila bei yake iko juu sana 39 (bati ya kawaida ya rangi) na pia nimekutana na wadau wanasema uaminifu sasa ni 00 kwani WAPO walozitumia na sasa ni nyeupe na walinunua kwa mawakala trusted.

KIBOKO anaaminika kiasi kwani anaingia na kutoka sokoni kwa ubora

BATI ZA KAWAIDA
SIMBA DUMU wengi wanazisifia sana ila mafundi wanaelezea changamoto ya migongo ya mwisho kuacha uwazi. (390k kwa bando)

ROOFING
Mpaka sasa sijapata changamoto yoyote ya bati hizi zinatokea Uganda na wengi wanazisfia mafundi wakiwemo 400k kwa bando

Ziada:
ANDO
Huyu ni mgeni sokoni anaonekana ni bora (hamna ushahidi mana Hakuna reference) ila serikali kamuamin kampa tenda ya ikulu Dodoma (sio sababu mana 10% hua inahusika pia) bei yake sasa maaaaaaaa bati moja la migongo ya kawaida anauza 49k🚶

Niende WAPI

KARIBUNI.
Mkuu ANDO is the best ever, mkuu nimeezekea naelekea mwaka wa 2.
Lakini aliye nielekeza anayo zaidi ya miaka 7 rangi ni mpya mda wote.
Jamaa wapo poa sana.
 
Sky Eclat nimeenda ANDO bati ya geji 30 migongo midogo 49k (geji 30) yani wao wenyewe wanakiri ni ngumu kwa mtanzania wa kawaida kuchukua hizo bati..... Zaidi ya 10k kwa bati za alaf kwa geji na muundo sawa
 
Habari wadau,

Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa.

Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi

BATI ZA RANGI
Wengi wanashauri ALAF, SAWA ila bei yake iko juu sana 39 (bati ya kawaida ya rangi) na pia nimekutana na wadau wanasema uaminifu sasa ni 00 kwani WAPO walozitumia na sasa ni nyeupe na walinunua kwa mawakala trusted.

KIBOKO anaaminika kiasi kwani anaingia na kutoka sokoni kwa ubora

BATI ZA KAWAIDA
SIMBA DUMU wengi wanazisifia sana ila mafundi wanaelezea changamoto ya migongo ya mwisho kuacha uwazi. (390k kwa bando)

ROOFING
Mpaka sasa sijapata changamoto yoyote ya bati hizi zinatokea Uganda na wengi wanazisfia mafundi wakiwemo 400k kwa bando

Ziada:
ANDO
Huyu ni mgeni sokoni anaonekana ni bora (hamna ushahidi mana Hakuna reference) ila serikali kamuamin kampa tenda ya ikulu Dodoma (sio sababu mana 10% hua inahusika pia) bei yake sasa maaaaaaaa bati moja la migongo ya kawaida anauza 49k

Niende WAPI

KARIBUNI.
Sorry mkuu, hiyo Simba Dumu bando kwa Tshs 390k, zinakuwa bati ngapi
 
Sky Eclat nimeenda ANDO bati ya geji 30 migongo midogo 49k (geji 30) yani wao wenyewe wanakiri ni ngumu kwa mtanzania wa kawaida kuchukua hizo bati..... Zaidi ya 10k kwa bati za alaf kwa geji na muundo sawa
Kwa kijijini tulitumia haya
1629490478602.png
 
Tafuta bati za wachina zinaitwa DRAGON ni nzuri na bei yake ni rafiki
Dragon amegawanya bati zake kwa grade tatu tofauti (bati ya geji na muundo sawa) kuitambua ipi ni ipi ni MTIHANI na wafanyabiashara wanatumia room hiyo kutupiga.... Labda uweke uzoefu wako Pia hapa
 
ndo bei ni kubwa sana aseeee bati 48k migongo midogo HAPANA
Wanauza kwa square meter
 
Back
Top Bottom