gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. osmaney

    JamiiForums Tanzania Ni Funzo Gani Kubwa Ulijifunza / Unajifunza Kutoka Kwa Wazazi wako

    Habari Wana JamiiForums! Poleni na harakati za utafutaji wa riziki, hongereni pia. MUNGU awajalie katika utafutaji wenu. Hili ni jukwaa la elimu, kama mada inavyojieleza, naomba tupate elimu kidogo kupitia wazazi wetu. Karibuni
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wetu na nchi za kiarabu una tija? Una uhusiano na gani watawala wa regime hii?

    Hizi habari zimeanza kusikika Sana,hizi safari za masharikk ya mbali zimeibuka Sana,Ni ipi tija?Wakina Benjamini na John waliziona hizi fursa ambazo wenzetu wanaziona leo? #HABARI Waziri wa Nishati January Makamba, amewasili nchini Saudi Arabia kwa mwaliko wa Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia...
  3. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Nini sababu za Facebook kublock account ya mtumiaji

    Habari za humu wadau natumaini ni wazima kwa ambao awapo vizuri kiafya ama majanga tuendelee kuwaombea heri wamalize mwaka huu salama Jukwaa hili sijaingia muda mrefu sana nilipata mambo mengi kupitia hapa ya kiufundi kipindi nafanya blogs nawashukuru wote ambao siku mliekuwa mnatoa michango...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ni fedhea Viongozi wa CCM kuandaa zoom meeting kuwajadili machinga. Ni Machinga gani ana muda wakuingia zoom kushiriki mjadala?

    Nimeana Zungu na wengine wameitisha mkutano kupitia Zoom kujadili kadhia ya machinga kuondolewa baadhi ya maeneo kwa lengo lakutaftiwa maeneo mengine. Swali ninalotaka kujiuliza, hiki kiburi cha hawa viongozi kwenda Zoom kuwajadili machinga wanakitoa wapi? Kwamba walishindwa kuwatetea Bungeni...
  5. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni/toleo gani la simu ni nzuri kwa badget ya 300k?

    Nahitaji simu angalau yenye unafuu kwa ajili ya dogo. Badget ni kama inavyosomeka hapo juu.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu anakuona sema Ukweli Wewe uko Kundi ( Daraja ) lipi ( gani ) hapa?

    Ufuatao ni mtiririko wa Ufaulu wa Kitaaluma ( Chuo Kikuu ) kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza ( Bachelor Degree ) na tabia ya Mhusika katika Jamii na hata Maisha yake ya baadae..... 1. FIRST CLASS G.P.A Hawa huwa ni Watu wenye Akili nyingi ila katika Maisha ya Mtaani ndiyo huwa Wafeliji wakubwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba kama hii inaweza kuuzwa bei gani?

    Nahitaji kujua tathmini ya kuuza nyumba hii. Ina vyumba 2 na sebule pamoja na jiko, master bedroom ni self, chini Kuna tiles na juu Kuna gypsum board pia imepigwa rangi za kisasa ndani na nje na dirisha zote ni aluminum. Msaada tafadhali.
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumpa mtoto smart phone?

    Smart phone na social media haviepukiki katika dunia ya leo. Moja ya faida ni kuelimisha, kuna binti wa miaka 10 aliweza kuandaa period pack yake kabla hata ya kupevuka kutokana na uwelewa alioupata kutoka kwenye Internet. Hii ni moja ya faida chanya za social media. Watoto wanapata habari...
  9. Molleli

    JamiiForums Tanzania Ni mnyama gani huyu jamani?

    Wanavodai eti ni kibwengo!!! Na anaeelewa sifa za kibwengo anifafanulie please!! Kwa mimi nimeona ni kama editing tu za wananzengo.
  10. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani hapa Tanzania biashara ya boda boda inalipa na hamna wizi wa Pikipiki?

    Wakuu tuje kila mtu na Tafiti zake ili tupate mwanga na kumsaidia ambaye anaweza akahitaji kufanya biashara ya boda boda. Ni Mkoa gani, Wilaya, Kata, Kijiji au sehem gani mtu unaweza ukawekeza kwa biasahra ya pikipiki ya Mkataba na ukapata pesa zako bila wasiwasi na usiwe na hofu ya kuibiwa...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

    Huku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?
  12. polokwane

    JamiiForums Tanzania NMB hiyo tozo ya serikali mliyotuma SMS mnakata kwenye account zetu ni kiasi gani, asilimia ngapi?

    Kuna sms inatumwa na NMB kuwa wanakata tozo ya serikali kuanzia September 8 hadi Oktoba 10 ya miamala cha ajabu hawasemi wanakata Tsh ngapi au asilimia ngapi sasa kupitia hili watu wasije ibiwa pesa zao bank kwa kigezo tozo maana sasa tozo zimezidi. Mliotumiwa SMS kama hii na mna ufahamu na...
  13. je parle

    JamiiForums Tanzania Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

    LEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO: Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti. Ujumbe huo. Watanzania inafika point huna pakupumua kila sehemu tozo bank tozo kwenye...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ukibahatika kuwa Rais wa Tanzania unatakiwa Uwaongoze Watanzania katika Mfumo gani Bora kati ya hii ifuatayo?

    1. Kwa Kufuata Katiba? 2. Kwa Nidhamu na Utu? 3. Kwa Kuwazidishia Madeni IMF na WB? 4. Kwa Kuwadanganya kama Watoto? 5. Kiupole ila Moyoni ukiwa Mnafiki? 6. Kwa Kubambikia Wapinzani Kesi? 7. Kwa Jicho la Huruma la Wine? Nasubiri majibu nikijiandaa kuwa Rais.
  15. zink

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikupelekea mpaka ukajiunga na mtandao wa jamiiforum

    Nakumbuka mwaka 2016 kipindi icho nikiwa kidato cha 3 nilipata demu flani hivi na kusema ukweli nilitokea kumpenda sana huyu mwanamke, kiasi kwamba nikawa namchunguza maana nilihisi uwenda akawa anatoka na wadau wengine, hali hii ilinipelekea nikawa nagoogle sana kuhusu dalili za mwanamke...
  16. ZENITH

    JamiiForums Tanzania Huko mbinguni tutakuwa katika umri gani?

    Sote waislamu na wakristu tunaamini katika maisha baada ya kifo.Pia kwa sisi wakristu tunaambiwa mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa,which means hakutakuwa na kuzaana. Sasa najaribu kujiuliza,huko mbinguni kutakuwa na marika(umri) tofauti yaani watoto vijana na wazee,au sote tutakuwa na rika...
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kati ya Pharmacy, Shop na Haircut salon ni biashara gani inayoweza kumletea mtu mafanikio ya haraka na ya uhakika?

    Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zang kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni biashara gani mtu akifanya ataweza kufikia au hata kukaribia ndoto zake za ki maisha haraka haraka? Hasa kwa mkoa wa Dar es Salaam. Kama kawaida natanguliza shukran kwa wote watakaochangia, na hata...
  18. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Je, hukumu ya Sabaya ina mtazamo gani juu ya kesi ya Mbowe?

    Wakuu kuhusu kilichotokea huko kwa kwa Sabaya ni kama mlivosikia, swali ni je hukumu hiyo imetolewa kama kuwafumba macho Watanzania ili itakapotolewa (mvua) hukumu kwa Mbowe ionekane kwamba imetenda haki? Kwa hukumu hiyo ya Sabaya inaleta taswira gani kwa hukumu ijayo ya Mbowe?
  19. Planeti

    JamiiForums Tanzania Mchongo wa kuvuta Shisha unastimu gani wakuu

    Huwa nikienda clubs mbalimbali nakuta wajomba wanaburudika na hii mimoshi.. Sielewagi wanapata stimu gani.. Natamani siku Moja nijaribu lakini sielewi km ndo nitakuwa Mraibu au laa.. Sasa watumiaji wa hii bidhaa mje mtupe mrejesho kuhusiana na gari Moshi hilii
  20. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Haya mawe ni madini aina gani? naomba mnisaidie kuchunguza

    Habari jf? naomba mnisaidie kutambua kama hii ni mawe ya madini ama la? kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua
Back
Top Bottom