Gharama za kupima Covid-19

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
725
1,000
Wakuu tafadhalini

Naomba munijuze bei gani kupima Covid-19 kwa raia wa kawaida na maeneo yanayotoa huduma ya upimaji ya Coronavirus
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,915
2,000
Ukifanya booking (https://pimacovid.moh.go.tz/#/booking) utapata invoice ya kulipia TShs. 230,000/= ambayo hii inaingia Serikalini moja kwa moja kama zile tozo za miamala.

Harafu ukienda kupima kwenye kituo cha afya (let say Agha Khan, IST etc), utalipia the so called "service fee/charges".

Hii inaweza kuwa $60 kwa private hospitals.

Sina uhakika zile designated vituo vya Serikali wanacharge ngapi na efficiency yao ipoje linapokuja suala zima la managaement ya sample na speed ya kuzipeleka maabara ya Taifa.
 
chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
725
1,000
Ukifanya booking (https://pimacovid.moh.go.tz/#/booking) utapata invoice ya kulipia TShs. 230,000/= ambayo hii inaingia Serikalini moja kwa moja kama zile tozo za miamala.

Harafu ukienda kupima kwenye kituo cha afya (let say Agha Khan, IST etc), utalipia the so called "service fee/charges". Hii inaweza kuwa $60 kwa private hospitals. Sina uhakika zile designated vituo vya Serikali wanacharge ngapi na efficiency yao ipoje linapokuja suala zima la managamement ya sample na speed ya kuzipeleka maabara ya Taifa.
Mkuu shukran, kwa maelezo ulionipa. Ila inamaana ukienda kupima kama Agakhan, jumla ya qarama inasimama tzsh290,000?
 
Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
1,959
2,000
IST ni sh 230,000 jumlisha sh 161,000 ambayo nadhani ndio ghali zaidi ya vituo vyote.
 
Terace

Member
Jun 13, 2017
74
125
Chukua hii;
1.
Fanya booking (https://pimacovid.moh.go.tz/#/booking) hapa utachagua pia kituo cha afya/hospital utapoenda kufanyia hiyo kipimo.
Nakushauri chagua kituo/hospital yeyote ya Serikali mfano Amana but mostly angalie ww wapi ni karibu kwako.

2.
Utatumiwa SMS na email kwy contacts ulizoorodhesha hapo juu note kuwa Halotel sijui kwa nn hawapati sana SMS toka kwa hizi system za Government,so better with Tigo, Voda or Airtel. SMS ama email ulotumiwa inacontrol number kalipie upendavyo Bank/Mobile Money
Gharama ya kulipia hii Control# ni Tsh 230,000/= tu.

3.
Nenda kapime kwy kituo kama ulivobook...but jitahidi iwe kabla ya saa 6 mchana maana sample hupelekwa maabara kuu kila siku mchana kuanzia saa sita. Kama ni kituo cha Serikali hakuna malipo ya ziada na wala huna haja ya kutoa rushwa maana no need isipokuwa kama utapenda mTip mhudumu sio mbaya isipokuwa peleka pua likachokonolewe na koo pia.

Mara nyingi unakoenda kupima huomba SMS ama email kuverify uliwachagua wao nadhani wana% flani maybe

Ukishapima results utapata within 24hrs kupitia email yako. Utaiprint na ndio hiyo utaonyesha pale Airport ama ur point of departure. Wapo watu wa afya ambao wataiverify ama authenticate kama ni OG.

Nimeongelea kwa mtu aliye Dar, sijui kwa mikoa mingine.
 
Nimekupata, shukran mkuu
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
8,435

Uko vizuri,mwandiko mzuri maelezo mazuri ,ujengewe sanamu asiyekuelewa huyo ni ameamua
 
chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
725
1,000
Acha kuwa na wasiwasi wa kupima wewe kula chanjo upite vile. U apima halafu hakuna tiba wala mwili haujakustua kivyovyote vile?
Mkuu ni kweli, sio mimi ni mwenza wangu mwenye mafua, so ana wasiwasi wakuambukiza wengine kama ni hii kitu Coronavirus
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom