gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Majan

    Ni maeneo gani ambayo huwezi kuambiwa karibu tena?

    Nidesturi ya sehemu nyingi kuambiwa "KARIBU TENA" baada yakupatiwa huduma fulani lakini maneo haya kamwe huwezi kuambiwa karibu tena nakama utaambiwa hivyo basi utahisi unatakiwa NUKSI ama UCHURO baadhi yamaeneo hayo ni: (1):-MORTUARY (2):-KWAMUUZA MAJENEZA (3):-GEREZANI Ongeza na wewe sehemu...
  2. T

    Nani anajua Taifa linapita nyakati gani kwa sasa?

    Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii nikutokana na kiti kutamani kukaa kwenye kiti Sasa hili limezuwa sintofahamu hasa ikizingatiwa...
  3. Ramon Abbas

    Nchi ya Israel ina sera gani kuhusu mtu mweusi kiujumla?

    Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi? Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje? Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi? Nawasilisha
  4. Mkogoti

    Kuuliza si ujinga: wale wahudumu bungeni wana Elimu Kiasi gani?

    Habari za humu Wadau!? Kama mada inavyosema ni kuwa wale wahudumu bungeni wanapenda kuvaa sana vikoti mara leo nyekundu, mara siku nyingine bluu naomba kuuliza wana elimu kiasi gani? Form four au ni mpaka chuo, Na je ni kusomea kuwa mhudumu wa bunge au ni connection zako, naomba kujua...
  5. M

    Kulikuwa na sababu gani Simba kutangaza hadharani mambo ya ndani ya Jonas Mkude?

    Taasisi zote imara na kubwa huwa zina Mambo yao ya ndani ambayo ni ssiri! Kuna Siri kubwa na ndogo! Hata ktk familia usiri ni muhimu sana! Hii husaidia kujenga uimara na heshima kwa taasisi! Juzi tumesikia sakata la Simba naMchezaji wao Mkude .Kuwa eti anapelekwaa Hositali akapimwe (whatever)...
  6. Equation x

    Unatumia njia gani kuzuia watu wasichafue jengo lako ambalo halijakamilika (pagale)

    Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika? Iliniuzunisha sana wakuu, nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Fedha ya matumizi ya kawaida kuwa kubwa kuliko ya matumizi ya maendeleo ina maana gani?

    BAJETI ina matumizi mengi ya kawaida kuliko Matumizi ya maendeleo ya nchi? Hivyo kweli tutaendelea nchi yetu kiuchumi? Bajeti aliyotoa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Mwigulu ili ipitishwe na Wabunge ni bajeti mbaya haifai kupitishwa Wabunge. Tunamuomba Waziri wa Fedha na Mipango Dkt...
  8. Zoe Closet TZ

    Ni changamoto gani unaipata kwa fundi wako wa nguo?

    Salam kwenu wapendwa. Karibu sana kwenye page yetu ya Zoe Closet Tz, kwa kweli hili swali huwa najiuliza mara zote na sijawahi pata jibu, mafundi wa nguo shida inakuwaga nini? Ofisi yetu inadeal na nguo za kike za kushona na za kawaida, na tunaelewa kushona nguo ni kazi yenye challenge kama...
  9. M

    Kuna tatizo gani Umoja wa Vijana wa CCM

    Miaka ya huko nyuma Umoja huu wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ulisifika sana kwa kuandaa viongozi bora , wenye weledi na uongozi, wenye maarifa, uzalendo na nchi yao, wachapa kazi na wenye misingi ya haki, utu na maadili ya kutosha mfano wa ni pamoja na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi...
  10. Khalifavinnie

    Mtu huyu ni wa aina gani?

    Mwenye aibu sana Mpole na mtulivu Mkatili sana na mvumilivu pia Muhuni wa kimyakimya na mchonganishi pia wa siri Mwenye kupendelea sana kutenda mambo yake usiku Mzembe kwa matazamio ya nje ila ni mjanjamjanja sana kiuhalisia Mzungumzaji sanaa ukiwa na ukaribu nae lakini huwa anabadirika...
  11. Ethan Cruz

    Ni jambo/kitu gani ulichofanya kitambo ambacho ungetamani usingekifanya?

    Hivi nijambo gani haswa mybe ulifanya kimakosa au hukudhamiria. Kufanya af latley unajuta dah JAMBO hiLI bora hata nisingefanya 🤔 AU Ni kitu gani ushawahi kufanya, lakini hautafanya tena? :cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:
  12. chiembe

    BAKWATA, huu utaratibu gani? Dodoma kuna Sheikh wa Mkoa, kwanini Sheikh wa Mkoa wa DSM anatuingilia kuja kupiga dua hafla za Serikali?

    Ninajua Sheikh wa Mkoa was Dar es Salaam alizoea kualikwa katika hafla mbalimbali za kitaifa na pengine alikuwa anafaidika kinamna fulani, sasa anaelekea kuvuka mipaka. Mamlaka yake yanaishia Dar es Salaam lakini inaonekana uamuzi was kuhamia Dodoma ulimuumiza sana sasa kaamua kuvamia hafla za...
  13. yuda75

    Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

    MBUNGE wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo ameitaka Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kufanya ukaguzi wa Hifadhi zote za Taifa na kupeleka ripoti bungeni kuhusu watalii wanaotembelea kila hifadhi na kiasi cha pesa kinachoingizwa na kila hifadhi kutokana na utalii huo. Gambo...
  14. Soma Vitabu Tanzania

    Unaingiza kiasi gani cha pesa kwa saa?

    Siku moja Baba alirudi nyumbani akiwa amechelewa kutoka kazini. Alikuwa amechoka huku akiwa amekasirika. Alipofika nyumbani alimkuta mwanae wa miaka mitano akimsubiri mlangoni. Mtoto alipomuona baba yake , alimwambia “ Baba ninaweza kukuuliza swali?” Baba akajibu, “ndio, unaweza ni nini...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo bila kuchelewa?

    Habarini za leo wakuu, Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum. Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila...
  16. Mkogoti

    Je, umelelewa na Mzazi Walimu, maisha yalikuwaje?

    Habari, Wote wazima, okay. Kama mada inavyosema, Je, mmoja wa wazazi wako alikuwa ni mwalimu au ni mwalimu, Je kipindi unasoma Hali ilikuwaje hapo nyumbani!?
  17. hp4510

    Ni gereji gani mzuri Moshi kwa kunyosha magari

    Wakuu igweee Nina gari yangu fuso tani 20 imepata ajari pale mitaa ya Kibaha Sasa nataka kwenda kunyosha na nimeambiwa na watu gereji mzuri ziko Moshi So kwa watu wenye uzoefu tafadhari sana naomba mnisaidie kujua ni gereji ipi ina kiwango kikubwa na mafundi wazuri
  18. M

    Kozi gani huwezi kumshauri mtu asome?

    Thread
  19. MIXOLOGIST

    Tupo katikati ya 2021, je kuna maendeleo kwenye mipango yako?

    Habari wana JF, Mwaka umefika nusu, je una progress vizuri kwenye mipango yako uliyojiwekea au ndiyo hivyo tena tunasubiri mwaka uishe tutoe lawama? Ni wakati mzuri wa kujitathmini. Asanteni
  20. S

    Naomba kujua Sabaya anashikiliwa katika mahabusu gani?

    Wakati tunaambiwa Sabaya anashikiliwa na TAKUKURU kwa mahojiano, binafsi ningependa kujua anashikiliwa katika mahabusu gani? Pili, napenda kuuliza kama sheria inaruhusu TAKUKURU kukamata watuhumiwa na pia kama sheria inawaruhusu kuwaweka ndani mahabusu. Mwisho, hivi kuna vyombo vingine vya...
Back
Top Bottom