EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,716
Nawasalimu wanajamvi
kama heading inavosema nikitumia dawa zenye content gani sitakiwi kabisa kupiga pombe? Maana kwenye muvi sometimes tunaona wazungu wanakunywa baadhi ya dawa wanasukumia la pombe tena pombe kali (Najua wanaigiza)
Tukija kwenye uhalisia Nyie wataalamu mliotumia muda wenu kusoma masomo magumu ili kutunusuru naombeni ushauri. Kuna dawa wanasema ukitumia pombe zinapunguza ufanisi wa kutibu tatizo.
Mi nazungumzia zile dawa ambazo ikiwa nimejisahau nikapiga Ulabu naenda kukutana na JPM very soon ndio nataka mniorodheshee hizo.
NB: Kama sio mtaalamu wa afya usijaze seva soma coments huenda ukajifunza kitu
Karibuni MDs