Namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja hadi nyingine?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,125
4,168
Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine?

Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama.

Msaada kwenye tuta.
 
Kwa fani hiyohiyo?
 
Hii kitu ngumu sana,na ina mlolongo mrefu labda wao serikal wakuhamishe wenyewe kuna mambo ya

ikama
bajeti
nafasi
 
Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine?

Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama.

Msaada kwenye tuta.
Hii inawezekana na jirani alishabadilisha ..
Cha msingi kuwepo na uhusiano na kile kitengo unachohamia ...
Lkn huchukua muda na kujuana kunahitajika aka connection..

Ny...
 
Back
Top Bottom