Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
USSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa na Mobutu akawatimua wa Soviets.
Hapa karibuni, waasi na wababe wa kivita walijaa karibu CAR yote, eneo la serikali halikuzidi 10%. Rais wao akaomba msaada Urusi.
Kwa ruhusa ya UN warusi wakaenda. Wamesambaratisha wababe wa kivita, leo karibu 90% ya nchi ipo serikalini. Inaonekana hawa jamaa wanajua jinsi ya kustabilize nchi.
Sasa historia na matendo ya hawa jamaa katika Afrika haitajwi sana. Ni mambo gani mengine yalifanywa/ yanafanywa na hawa jamaa barani Africa? Mambo ya maendeleo, kiusalama au kijamii.