Rais Samia Hassan anamwambia nani kazi iendelee na ni kazi gani hiyo?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,468
Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara kwa mara.

Sasa kuna maswali yafuatayo:
  1. Kwa kuzingatia lugha ni kwamba kazi hiyo si zaidi ya moja kwani haisemwi 'kazi ziendelee', je, ni kazi gani hiyo anayoiongelea Mhe. Rais Samia? Je, au ni kazi jumuishi?
  2. Kuna awamu tano kabla ya Mhe. Rais Samia kushika kiti cha Urais, je ni kazi ya awamu ipi inayotakiwa kuendelea? Au awamu zote?​
  3. Je, kuna baadhi ya wananchi wamelengwa hapa au wote?​
Nawakilisha.
 
ECEACACE-E99E-4E94-AF99-0EE12C0F47D3.jpeg
 
Unahofu sana kwa kutafuta tafsiri kwa sababu kunakazi mtu anafanyiwa, nikweli umegungundua lakini umechelewa sana kwa sababu kumbuka mlivyo demka na mama mwanzoni, unyumbu ni tatizo kitu kipo wazi ninyi mna demka tu.
 
Mtangulizi wake alikuwa na kauli mbiu ya HAPA KAZI TU.

Hivyo Kazi iendelee imechukuliwa toka kwenye hapa KAZI tu.
 
Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara kwa mara.

Sasa kuna maswali yafuatayo:
  1. Kwa kuzingatia lugha ni kwamba kazi hiyo si zaidi ya moja kwani haisemwi 'kazi ziendelee', je, ni kazi gani hiyo anayoiongelea Mhe. Rais Samia? Je, au ni kazi jumuishi?
  2. Kuna awamu tano kabla ya Mhe. Rais Samia kushika kiti cha Urais, je ni kazi ya awamu ipi inayotakiwa kuendelea? Au awamu zote?​
  3. Je, kuna baadhi ya wananchi wamelengwa hapa au wote?​
Nawakilisha.
Mtangulizi wake alisema "HAPA KAZI TU" kwa hiyo SSH anaendeleza hizo KAZI zilizokuwa zinafanywa na mtangulizi wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom