gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ni mada gani ya debate hata iweje lazima umshinde mpinzani wako?

    Kuna mada mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingine ukikutana nayo mbele yako hakuna atakaye weza kukupindua. Ni mada gani? Nikiri kuwa 'mabishano/majibizano ya hoja' ni sanaa na katika sanaa hii kuna watu wanakipaji haswa katika hilo. Kuna watu hawezi kuwsshinda inapokuja jambo. Na kuna...
  2. NairobiWalker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya Port of Mombasa na Dar Port gani inahandle cargo nyingi zaidi?

    Nauliza tu swali maanake nimeona vita humu watu wakijibizana sana. Hivi kati ya hizi Port mbili gani inahandle cargo nyingi zaidi?
  3. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu ata-survive kwa muda gani kama kukitokea janga hatari duniani kote..?

    Wakati wowote janga lolote baya linaweza kutokea na kutukumba hapa duniani,kila taifa na jamii itapambana kwa kadri iwezavyo. Najua akina sie huku hatutachukua muda tutapukutika kama pori lililoshika moto!. Mfano wa majanga hayo yanayoweza kutokea ni kama dunia kuangukiwa na kimbuka kikubwa...
  4. KENZY

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake wanapenda mwanaume wa namna gani!

    It's simple wanawake wanapenda mwanamme mpole na mwenye vurugu. Nimemaliza.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nchi gani nyingine maadhimisho ya Siku ya Sheria Mgeni Rasmi huwa Rais?

    JPM ndiyo alikuwa Mwanzilishi wa kucapture siku hii na kuifanya Mahakama iwe chini ya mihimili yote. Yaani nikiona hivi ninashikwa hasira sana. Ninawakumbuka akina Jaji Nyalali na angalau Samata! Yaani, sijui tumelogwa na nani hadi kufuata mfumo usiokuwepo duniani?
  6. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

    Kibatala: Unafahamu hiyo namba hapo Shahidi: naona Meseji Kwenda Kwa Mbowe tu Kibatala: Kwani Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu Shahidi: Nilitumia Mtandao wa Telegram Kibatala: Mtandao Wa Telegram Unapotumia unahitaji Mtandao Shahidi: Ndiyo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania King'amuzi gani kinaonesha Movies za MGM?

    Anayejua Kingamuzi gani naweza kununua nikaona zile Movie za zamani za MGM zenye Nembo ya Simba anijuze. Maana Nazielewa Sana. Najua humu kuna wataalamu hawashindwi kitu.
  8. Michaelchilleh

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam?

    Naomba ushauri kuhusu kusoma Marketing Management ni chuo gani kizuri apa Dar es Salaam kwa hiyo course
  9. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani ukigundua watoto unaolea siyo wa kwako?

    Habari za muda huu wapendwa...bila shaka sote tuwazima wa AFYA. Maisha ya kimapenzi yamejawa changamoto na vitimbi vya kila aina. Mara nyingi wale tuliowapenda na kuwathamini ndio wanaotuletea vunjiko la moyo na maumivu yasiyoisha. Wahenga wanasema kuwa lisemwalo lipo kama halipo laja...
  10. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Kubeba box ndio kazi gani?

    Habari zenu wa kuu. Naomba nisiwachoshe, kunajambo nataka kulijua maana nimekua nikilisikia kwa muda mrefu kutoka kwa wenzetu waliopo ughaibuni, kuwa kazi ambayo ni kimbilio kwa wanaoingia nchi za ulaya na malekani. Wakuu eeeh kubeba box ndio kazi gani au ya aina gani. wakuu fungueni code.
  11. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na...
  12. 2019

    JamiiForums Tanzania Rais gani aliwahi kukubalika akiwa madarakani Tanzania?

    Baada ya vyama vingi 1995 mpaka 2005 Mkapa alipondwa sana,ooh katili, fisadi n.k akatoka. Watu wakasema bora Mwinyi tu mzee wa ruksa. 2005-2015 Kikwete kasi mpya nguvu mpya ari mpya, rais kijana,mcheshi lakini alikumbatia wezi, majambazi mafisadi tuhuma zote ziliibukia kwake. Akatoka akapondwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea AFCON nchini Cameroon, Waafrika tuna laana gani?

    Utaratibu mzima wa uandaaji wa mashindano ni hovyo (muingiliano wa ratiba na ligi kubwa duniani, mpangilio wa taratibu za msingi, usalama wa watazamaji n.k) Ubora duni wa waamuzi Pira bovu linaloonyweshwa na timu zetu (achana na ngozi nyeupe i.e waarabu) tena wachezaji zaidi ya 90% wanacheza...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI. - Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan. - RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wiki ya sheria Tanzania: Je, Ibara hii ya Katiba inahitaji Elimu kubwa kiasi gani kuielewa?

    IBARA YA 149 (1) c YA KATIBA YA TANZANIA; Mtu yeyote mwenye dhamana ya kazi yoyote iliyoanzishwa na katiba hii. " ... Ataweza kujiuzulu kwa kutoa taarifa iliyoandikwa na kutiliwa sahihi kwa mkono wake, kwa kufuata masharti yafuatayo:- C) Iwapo mtu huyo Ni SPIKA au NAIBU SPIKA wa Bunge, basi...
  16. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Sisi wenye GPA chini ya < 2.8 tunatumia njia gani kupata scholarships za nje ya nchi

    Habarini ndugu zangu, mwenye kujua au mwenye ushuhuda wa uwezekano wa kupata scholarships kusoma nje ya nchi kwa sisi wenye GPA chini ya 2.8, mfano mimi nina GPA ya 2.6 level ya degree, je nawezaje kupata scholarships niweze kusoma Postgraduate degree (Masters). KARIBUNI KWA MSAADA
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ukristo unahubiri upendo, je huu ni upendo wa aina gani? Au huu ni Ukristo wa aina gani?

    Mafundisho ya dini ya Kikristo yamejikita zaidi kwenye upendo, kwani ndio amri iliyo kuu kama tulivyo agizwa na Bwana wetu Yesu Kristo. Miongoni mwa mistari inayo onyesha kiwango cha hali ya juu cha upendo ni ule unaosema tusamehe saba mara sabini. Pia upo ule mstari unaosema ukipigwa shavu la...
  18. The Transporter

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu anaweza kusoma kozi gani ngazi ya certificate?

    Ufaulu wa huu huyu binadamu anaweza kusoma ngazi ipi ngazi ya certificate:- B/math F Geo. F Hist. D Civics. D Kiswa. D Engl. D Litera. D.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani ya maslahi kati ya muhasibu mwenye CPA na asiye na CPA?

    Wizarani na halmashauri muhasibu mwenye degree huanza na TGS D, 7.1k Je, ukiwa na CPA kuna chochote kinaongezeka?
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni aibu gani uliipata kwenye Interview yako ya Kwanza? Mimi yangu hii

    AIBU NILIYOIPATA KWENYE INTERVIEW YANGU YA KWANZA. Anaandika Robert Heriel. Simulizi hii ni ya kweli, nimekumbuka tukio hili nikabaki nacheka Sana, naomba nishiriki pamoja nanyi huenda kuna atakayepata somo. Baada ya kumaliza elimu ya Chuo kikuu nikaamua kuwa fundi cherehani, nikiwa nashona...
Back
Top Bottom