gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Maslahi gani Washitakiwa kunyimwa Haki?

    Jambo la kupongezwa kuona mawakili wa utetezi wakipambana vilivyo kuona haki za washitakiwa haziporwi. Hata hivyo inashangaza ni kwa motisha gani upande wa mashtaka kupambana kikuku kuona ikiwezekana washitakiwa hawapati haki zao. Faulo za upande wa mashtaka ziko nyingi na ziko wazi: 1...
  2. Miguel Alvarez

    JamiiForums Tanzania Ni msanii gani wa HIPHOP ni mkali wa Storytelling song

    Natumaini wote ni wazima humu jamvini poleni na majukumu pia..! Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mm ni mpenzi sana wa Ngoma za Hiphop leo na taka tushare pamoja kuhusu Rappers wa kibongo hata huko majuu(ulaya) je ni msanii gani ni best kwa Storytelling song kwa mimi msanii wa kibongo...
  3. demigod

    JamiiForums Tanzania Hii Post ya Khalid Aucho Ina Maana Gani?

    Baada ya kuwasili uwanja wa taifa wa jijini Dar es salaam. Mjuba alizuiwa na waandishi waliojitambulisha kuwa ni wa habari. Na mara moja wakaanza kumuuliza kuhusu tetesi za kujiunga simba kama ziko katika mpango wake. Aucho akawapa jawabu na akaenda zake. Baada ya lisaa baadae akaingia twitter...
  4. Copolla

    JamiiForums Tanzania Ni Psychological Effects gani anapata kijana mdogo akifanya mapenzi na mtu mzima?

    Habari. Naomba mnisaidie kunijuza kuhusu psychological effects (madhara ya kisaikolojia) anayoyapata mtoto wa kiume au wakike akiwa na tabia ya kupenda kufanya mapenzi na watu wazima. Yaani waliomzidi umri sana mfano kama utofauti wa miaka 10 na kuendelea.
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Leo nimeota nacheza Mpira namba 11 ambapo mimi nachezea mguu wa kulia. Hii ina maana gani?

    Habarini wakuu, Leo nimeota ndoto ya ajabu, naiita ya ajabu kwasababu ni mambo ambayo sipendi kuyafanya kwasasa japo nilikua nikifanya zamani. Nimeota nacheza mpira namba 11 ambapo mimi nachezea mguu wa kulia. Japo mara ya mwisho kucheza mpira ni miaka kumi iliyopita. Ndoto ilianza hivi...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wazee wetu walipambana na mbu namna gani?

    Eti wakuu, wazee wetu na nyumba zao za udongo na miti walipambana vipi na mdudu mbu? Sidhani kama walilala wakidungwa usiku kucha, lazima walikuwa na namna. Walitumia mbinu gani?
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hii ni biashara ya familia au utemi?

    Nineajiriwa kwenye shirika moja la serikali ambalo tunahudumia wafanya biashara kadha na kadha, nipp lwenye kitengo cha accounts kwa hio wengi wao najua hali zao kwenye faida, madeni, sales, n.k. Katika moja wapo ya wafanya biashara kuna mfanya biashara kiukweli yupo fresh, si haba, nje ya...
  8. Gushleviv

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alama hii ina maana gani?

    Nimekutana na hiyo alama maeneo ya Mataa ya Kipawa karibu na uwanja wa Ndege, je ina maana gani?
  9. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya gani tukifanya siasa za kuvumiliana pasi na kuumizana?

    Kwanini CCM hutumia gharama za aina yeyote ili tu kubakia madarakani kipi wanahofia endapo watapatikana wengine kuongoza nchini? Yanini tunakubali kujiandalia kisasi cha haja kwa mambo ambayo yanaepukika jsmani? Kwani leo akitawala CCM na kesho NCCR keshokutwa Chadema kuna ubaya gani? Hivi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sixtus Mapunda ana cheo gani CCM?

    Nilikuwa clubhouse na nimevutiwa sana na jinsi Sixtus Mapunda alivyoweza kujibu maswali mbalimbali kuhusu siasa na CCM. Very composed, well informed na hata akitetea uongo anautetea kisayansi zaidi. Abdul Nondo amejaribu kumtikisa lakini wapi na mwishowe nilifurahishwa na msimamo wake kuhusu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mbona kelele zinazidi kuna shida gani!?

    Nimekaa na kutafakari sana bila majibu, hasa kuhusiana na namna malalamiko yanazidi kuongezeka mitandaoni. Ukiyasikiliza kwa makini hayo malalamiko lazima yakuchanganye. Wapo wanaoona Hali ni shwari na wanaona tunaelekea kuzuri. Wengine wanaona tumepotea na tunazidi kupotea hivyo tunahitaji...
  12. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inafaa kufanywa na mtoto mdogo?

    Likizo inayokuja nataka kufanya kitu tofauti kwa watoto wangu. Pamoja na kujisomea nyumbani ila nitaweka nguvu kuwafundisha biashara kwa vitendo. Nataka niwafungulie biashara ya kufanya kila mtu na yake na wapo wawili. Nitawakopesha mtaji na nitawadai wakimaliza likizo faida yao itanunulia...
  13. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Board ya Tanesco iliyojaa wafanyabiashara ina maoni gani?

    Januari aliteua board iliyojaa watu wenye sifa mfu na wizi na hata kuwahi kushitakiwa kwa kuiibia Tanesco. Mara tu, Paa! Yamekuja haya ya kusingizia ukame. Lakini, yametanguliwa na taarifa kwamba Tanesco inafanya matengezo ya mitambo. Haieleweki taarifa halisi ya tatizo la umeme ni nini? Je...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Movie gani hii ya bongo? 😂

  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Kama uzalishaji umeme umepungua kwa 21%, je, maji yamepungua kiasi gani?

    Kama Tanzania inazalisha umeme kwa 65% gesi na kwa 35% maji, hivyo jumla ni 100%. Na ghalfla Tanesco akasema uzalishaji umeme umepungua kwa 21% kutokana na kupungua kwa kiwango cha maji; Je, maji kwenye mabwawa yamepungua kwa asilimia ngapi? Nitatoa jibu baadae kidogo TANESCO...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni mji gani mkubwa hapa Tanzania una bwawa kubwa kwaajili ya maji yake?

    Kwenye miji mikubwa maji ya uhakika huwa ni kuwa na bwawa (reservoir). Sasa kwa hapa Tanzania, ukiachana labda na Moro, ni mji gani mkubwa wenye reservoir kubwa ya maji? Je, Dodoma wana bwawa kwaajili ya matumizi yao ya maji?
  17. Labani og

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mtanzania na mdau wa soka ungepata nafasi ya kumshauri kocha wa simba Pablo Franco ungempa ushauri gani

    Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende kwenye ubora kwa ngazi ya vilabu ili kuwatoa kimaso maso watanzania. Kwa mfano SIMBA walifanya...
  18. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Huyu Brigedia Warioba aliyeteuliwa na Rais Kenyatta ana uhusiano gani na Jaji Warioba?

    Raisi Kenyatta wa Kenya amemteua mtu anaeitwa Bridgedia General John Kibaso Warioba kuwa mkuu wa jeshi la Magereza la kenya. Je, kuna uhusiano wowote kati ya huyo Bridgedia Warioba na jaji warioba wa Tanzania?
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinafanya makabila mengi Tanzania kutokuwa na utamaduni wa kurudi kwao?

    Nazungumzia kurudi kama kabila ka ilivyo kwa lile kabila ambalo sina hata haja ya kuliweka hapa, Nadhani mnalijua nyomi lao hao wanaorudi ikifika December. Huko wanakofikia ndio kwao, ndio chimbuko lao, ndiko vizazi hadi vizazi vimezaliana mpaka kuja kwa hapa duniani, Kwenu ni sehemu ambayo...
  20. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

    Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan, Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu...
Back
Top Bottom