Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,621
2,015
1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya miezi 6 au mwaka hivi anakuja kama mbwa aliyemwona chatu, mpole mnyenyekevu yaani yuko tayari kwa lolote. Bado natafuta huu ugonjwa unaitwaje eti. Maana naona hii tabia inazidi kushika kasi.

2. Mwanamke ambaye unamtokea anakukataa kwa mbwembwe zote. Alafu unamwona shosti yake anakutaka, mkaanzisha mahusiano yenu wawili. Sasa yule wa kwanza akishajua basi anaanza timbwili. Kwani wee mdada si ulinikataa? Unataka na wengine wanikatae? acheni wivu wa kijinga. Ukisema wa nini mwenzako anasema atampata lini.
 
Bahati mbaya sijakutana na wa hivi.
Naomba ujue huyu anayejileta, mambo yamemharikia anatafuta pa kuegemea.
Nasema; ogopa mwanamke aliyeumizwa na akajileta, hapo huna lako akotulia anamrudia bwanake.
Sometimes hata mambo hayakuharibika ,we haijakutokea mtaani unatoswa na madem kibao ngoja wasikie umempata dem mpya hapo hapo wanaanza kukutafuta.

Au anakukataa mazima week ijayo akuone umesimama na mwanamke mara anaanza msg ooh kumbe una mwanamke ulikuwa unataka unichezee tu
 
Sometimes hata mambo hayakuharibika ,we haijakutokea mtaani unatoswa na madem kibao ngoja wasikie umempata dem mpya hapo hapo wanaanza kukutafuta.

Au anakukataa mazima week ijayo akuone umesimama na mwanamke mara anaanza msg ooh kumbe una mwanamke ulikuwa unataka unichezee tu
Kuna wakati wanaume hatujui hesabu za kutongoza.
Huwezi pewa namba ghafla unaanza kutongoza.
Hesabu zangu huwa ni ngumu kufeli.
Sitongozi hovyo, najenga mazingira tu.
Ndege atanasa mwenyewe.
Tatizo tunajifanya madume ya mbwa kula kila mwanamke hee
 
Kama nilikua nukusubili uje mara nyingine ndio nikukubalie harafu wewe ghafla tu unaenda KWA shoga yangu una uhakika nimekukataa kweli? Mseleleko
Kumbe kuna kukataliwa ili uje mara nyingine..?🤣🤣🤣 Kwahiyo kwa kifupi unapenda usumbufu yaani ile njoo kesho njoo kesho na wakati kumbe unataka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom