Thanks so much mkuu, kiukwel ni funzo kubwa wamekupatia. yote sita nimeyachukuaUsitegemee ndugu
tafuta sana pesa, ikiwezekana andaa urithi/mali kwa ajili ya watoto wako kabla ujawapata na uwaandikishie kisheria, hii utakuja kuwanufaisha hata baada ya wew kutwaliwa ama kuepuka mizinguano na ndugu kwa kugombeana mali pale utwaliwapo ama mnapoachana na mke anapojarbu kufanya husda kwenye mali zako
penda kwa kiasii, usimuamin mtu yeyote, ikiwezekana hata wew usijiamini
ndoa si sehem ya kila mtu kuingia, ukiona hauna moyo wa kustahimil na uvumilivu ni bora ubaki single milele ama ukawe padri parokiani huko, kulko kuingia ktk tahasisi yenye mitihani migumu kila siku(ndoa)
waheshimu sana wale wanaokuwa nawe ktk shida, kaa mbali na ndugu wenye vijicho,husda, wivu, hawa hawakawii kukutoa msukule siku ukifanikiwa
ishi mbali na eneo ulilozaliwa na jitenge mbali na kila aina ya ndugu, punguza shobo kwa ndugu wasioeleweka, maana hawa ndio chanzo cha matatizo