gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa professional wa Auto diagnostics na Immobilizer system, ni chuo gani naweza somea?

    Habari waku, mimi ni kijana nnayejihusisha na ufundi wa magari kwa muda wa miaka miwili na nusu sasa, napatikana Arusha mjini. Katika shughuli zangu nilifanikiwa kununua Mashine yangu ya diagnosis kutoka China Aina ya Launch X431 V+ na nikaanza kazi ya diagnosis kama extra coz bado nipo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mikutano Miwili Mikubwa ya China: Ina umuhimu gani kwa jamii ya kimataifa?

    Mikutano Miwili mikubwa nchini China, ambayo ni Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC) na Mkutano wa Bunge la Umma la China (NPC), inatarajiwa kuanza katika wiki ya kwanza ya mwezi Machi hapa Beijing katika Ukumbi wa Mikutano. Mikutano hii imekuwa ikifuatiliwa sana na...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mswaki wako hutumika kwa muda gani mpaka ununue mpya ?

    Kuwa muwazi, mara ya mwisho kubaili mswaki ilikuwa lini, ilikuwa ni muda gani umepita kabla ya kununua mswaki mwengine. Binafsi mimi kama mimi kwa asili yangu nilikuwa natumia mswaki hata miezi minne ama mitano, kwa sasa nasaidiwa na mke wangu anabadilisha kila mwezi, bila hivyo ningeendelea...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

    Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia 🇷🇺 nchini Ukraine 🇺🇦. Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa...
  5. Faana

    JamiiForums Tanzania Hawa ni Wadudu Gani

    Kama wanavyoonekana, kwa mbali utadhani ni mdudu mmoja ila kwa karibu utaona ni mnyororo wa ukoo Wana mchango gani katika kustawisha ekolojia na wana madhara gani katika ustawi wetu
  6. Mai-Ndombe

    JamiiForums Tanzania TV gani nzuri kwa budget ya 400k?

    Nataka ninunue TV nzuri,budget yangu ni 400000. Naomba ushauri.
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

    Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine. Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea? Au...
  8. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Vitu gani unapendelea zaidi kwenye simu

    Kutokana na watu wengi wanatumia smartphone kwa matumizi yao ya kila siku.Matumizi hayo yanaweza kuwa kibiashara, kielimu, ajira n.k. Katika ichi yetu kuna watimiaji wa smartphone kutoka kampuni mbalimbali, na simu izo huwa na vitu vina fanana na vingine kutofautiana. Bila kusahau Tanzania kuna...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Makonda na Ndugai wako chimbo gani?

    Viongozi waandamizi hawa katika Mihimili ya Utendaji na Bunge id est Makonda na Ndugai wako Oldonyo gani kusikoweza kufika mkono wa serikali? Tundu alikwepa Mahakama hadi Wakili akajiondoa na hadi Mahakama ikafuta shauri je, Makonda naye anaweza kufanikiwa kukwepa Mahakama kwa njia hiyo ya...
  10. Mwasapile

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa madaktari wa Tanzania umeshuka, tatizo ni nini?

    Hivi madaktari wa siku hizi wana shida gani! mbona kama ni hawajui kitu tena!? Yaani siku hizi ukienda hospitali utapata tiba ya haraka kama unaumwa magonjwa yaliozoeleka kama malaria,typhoid, u.t.i nk lakini kama unaumwa kitu ambacho hakijazoeleka unaweza ukafia hapo wanakuangalia. Yaani...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kuuza mbuzi viwandani. Ni viwanda gani wanalipa vizuri?

    Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje? Naomba muongozo
  12. Ibrason

    JamiiForums Tanzania Una mapendekezo gani juu ya biashara ya maharage kwa sasa hapa Tanzania?

    Nina mtaji wa tani zaidi ya 15 za maharage kutoka mkoani Songwe (maharage ya njano) na ninahitaji kupata soko la uhakika hapa jijini Dar es salaam, kama unadetails za biashara hii ninaomba tushare tafadhari, asante.
  13. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Uwanja mkubwa wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma upo katika hatua gani?

    Moja kwa moja.. Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama ushrikiano wa serikali ya JMT na Morocco huku serikali ya Morocco ikiahidi kutoa fungu kusaidia ujenzi...
  14. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Uzalendo una tofauti gani na ubinafsi?

    Uzalendo ni nini? Ubinafsi ni nini? Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake? #Maelezo ya screenshot ni wikipedia
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Umewahi kula kitu gani ambacho hukuwahi kufikiria pale njaa ilipokukamata kisawa sawa

    Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa chuoni hela yangu ya matumizi kwa mwezi ndani ya siku 10 hivi, nlimpigia simu mhusika aliekuwa akinutumia pesa jibu nlilopewa ni "mbona mapema sana subiri mwisho wa mwezi". Hapo tayari nlikuwa na madeni kadhaa yani kukopa ilikuwa tabu. Basi ikifika mchana nlikuwa...
  16. Snoop Dogg

    JamiiForums Tanzania Vibarua kwenye Miradi mikubwa ya ujenzi wanalipwa kiasi gani?

    Wakuu, Nahitaji kujua vibarua kwenye Miradi mikubwa ya serikali hasahasa Mradi wa Umeme, Mradi wa daraja la Magufuli pamoja na Mradi wa Reli wanalipwa kiasi gani na vigezo vyao vya kuajili ni Vipi?
  17. MR KADIDY

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa aina gani anafaa kuwa naye kwenye mahusiano?

    Habari JF Mimi ni kijana wa miaka 25 naishi morogoro na najitegemea nilikuwa naomba ushauri juu ya mwanamke wa aina gani naweza kuwa nae akanipa furaha na hata kufika malengo yetu. Ahsanteni sana 🙏
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mageti ya Hospitali yana ulazima gani kulindwa na makampuni ya ulinzi?

    Nimepita katika hospitali kadhaa katika pilika zangu za utafutaji rizki. Nimeona katika mageti mengi ya hospitali za wilaya, mikoa, hasa zile za rufaa za mikoa, vituo vya afya pia, kunakuwa na maaskari ama wawili ama mmoja magetini ambaye yeye kazi yake ni kuuliza unayo barakoa? Wengi wao...
  19. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

    Habarini wadau. Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandamwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hili la Mugalu kutolipwa fedha zake za tuzo lina ukweli gani wadau? Bodi ya Ligi ina cha kujibu

    Asubuhi ya leo nimeamka na taarifa niliyoikuta mitandaoni kuwa Bodi ya Ligi inayosimamia Ligi Kuu kwamba haijamlipa mshambuliaji wa Simba, Chriss Mugalu fedha zake za Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Ligi Kuu. Nimejaribu kupekenyua sijajua hasa ni ipi inayozungumzia lakini niliyoiona labda ni...
Back
Top Bottom