gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Je utanunua Mkoa gani iwapo Tanzania itauzwa kwa Mnada?

    Tuchukulie kampuni ya McHugh & Co ya London UK wamepewa deal na Bunge la Tanzania waiuze Tanzania yote.......wauze mkoa kwa mkoa hadi nchi yote iishe. Je wewe kama una hela ungenunua mkoa upi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania World Vision kuna tatizo gani, mbona wanatangaza kazi zilezile kila wakati?

    Hawa watu kila week lazima nikutane na matangazo yao ya kazi. Huwa wana matatizo gani mpaka kutangaza kazi kila week na tena unakuta ni zile zile tu?
  3. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Siku nikikamata mchawi na mwizi, bora nimuache mwizi

    Leo wakati nadamka asubuhi, mishale ya saa 12 nikasikia kelele uko mtaa wa pili, sijui mchawi kanasa Kijana nikajitusua kwenda kushuhudia maana sikuwahi kushuhudia mchawi kunasa naskia fununu tu mbalimbali Wakati nikielekea nilikuwa na dada mmoja, ambaye tuko naye nyumba moja yule dada matusi...
  4. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Dereva Gani ana makosa hapa?

  5. T

    JamiiForums Tanzania Paving blocks zimefubaa mno. Je, nitumie rangi gani ziwe mpya?

    Wakuu naombeni ushauri wenu nitumie mbinnu gani zirud kuwa mpya?
  6. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Wasanii Wanatumia Program Gani Kuweka Wimbo Unaimba Huku Kama CD Inazunguka na Equalizer Zinapanda na Kushuka Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka. Huwa wanatumia program gani wadau? Na pia je, huwa ni kwa kutumia simu, computer...
  7. Morogoro kaskazini

    JamiiForums Tanzania Msaada:ni app gani inatumikaga kudukua website

    Jamani kama kichwa cha habari kivyo jieleza
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Utumishi wa Umma Kampasi ya Chato kipo eneo gani huko wilaya ya Chato?

    Mwenye uelewa kilipo chuo tajwa hapo juu tafadhali . Pia mwenye kufahamu aina ya kozi zitolewazo na chuo hicho na gharama za masomo. Niwatakie Xmas Njema
  9. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kimaisha Kati ya krismas ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita?

    Kwanza nawatakia sikukuu njema wakristo na watanzania wote kwa ujumla .kuelekea kuadhimisha sherehe ye krismas hapo kesho,Kuna tofauti gani unayoiona Kati ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita kiuchumi nk.tupe mtazamo wako ulivyo hapo ulipo.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwa mshambuliaji aina ya Kibu Denis unaonyesha kwasababu gani Simba wanapata tabu kupata matokeo.

    Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani huyu Meya wa Manispaa ya Moshi hapa alikuwa anawalenga hasa 'Wageni Wasafiri' kutoka Mkoa gani?

    "Tafadhali mnaotoka Mikoa iliyozoea Uchafu na haina Ustaarabu wa Usafi na Mazingira muwapo hapa Moshi katika Sikukuu hizi za mwisho wa mwaka zingatieni Usafi mlioukuta na kwa wale watakaokaodi na Kuchafua Jiji letu wanaweza Kujikuta January 2022 wanaianzia wakiwa Jela" amesema Meya wa Manispaa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    Ulivyoagiza gari yako ufunguo wa akiba..uliukuta sehemu gani? Njooni tupeane maujanja. Kuna gari moja niliiagiza ufunguo wa spare niliukuta ndani ya Manual book ya gari. Kwenye gari nyingine baada ya kutafuta sana.. nilikuja kuukuta kwenye hivi vidroo vidogo dogo ambavyo vipi kwenye dashboard...
  13. luangalila

    JamiiForums Tanzania Je, ni rangi gani nzuri ya kupaka kati ya hizi?

    Wadau kwemaa! Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka naomba kuuliza je NI rangi gani nzuri ambayo haipauki unapo paka ktk kuta za nyumba yako Coral Plastcon Billion Binafsi hi billion sioni Kama no nzuri milipakaa ktk Fisher body aiseee hata miezi Saba haina Lin ishaanza kubabuka. Wadau naomba...
  14. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Fahamu makundi ya tabia za wanadamu

    Hello.. Lately I’ve been writing random topics centered on personality traits, this Topic will be serving as a sequel of those Topic. Will focus on other perspective of personalities Personalities ni nini? Kwanza kabisa hakuna definition maalumu ya personality hivyo basi ma Guru wa saikolojia...
  15. Pinkman

    JamiiForums Tanzania Ni jibu gani zuri kwa mtu anayekutumia msg ya kukuacha kwa dharau?

    Wakuu kwema? Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini. Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba misamaha ya kijinga akijidai hataki kukuacha na anaumia moyoni. Hawa watu wa namna hii ni majibu gani...
  16. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Sura yako inafanana na mnyama gani?

    Niaje wadau wa JF Niko na mdau mmoja hapa anadai binadamu tuna sura za aina mbili, sura ya mbwa au sura ya paka. Sura ya mbwa anamanisha ni kwa wale wenye sura ndefu hivi. Sura ya paka anamaanisha ni kwa wale wenye sura za duara. Nikamuhoji mbona kuna jamaa falani ana kimdomo kama cha samaki...
  17. Midnight

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani Dar es salaam watu hawaruhusiwi kupiga picha au kurekodi video?

    Rejea: Kichwa cha habali swali hapo juu. Binafsi nimeona katazo kwenye vivuko vya kigamboni. Ijapokuwa sijui Ni kwanini watu haturuhusiwi kupiga hata picha za mnato mule. Sasa ningependa sana tufahamishane na maeneo mengine yasiyo ruhusiwa kabisa kufanya shughuli hizo kabla na wengine...
  18. Mbute na chai

    JamiiForums Tanzania Ukisikia komando unafikiri ni mwanajeshi wa namna gani!?

    Habari wanajamii. Nimeona ni shiriki pamoja nanyi kuhusu maana halisi ya neno komando (Commando) na namna linavyotumika jeshini.. Neno komando lilitumika na utawala wa kiholanzi (dutch cape colony) katika nchi ambayo sasa huitwa Afrika ya Kusini. Kulianzishwa vikundi vya kaburu (boers) ambavyo...
  19. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Aibu/shida gani ulikutana nayo stendi au kwenye basi

    Nakumbuka mwaka jana 2020 , mwanzoni Nlikuwa nmeenda kwenye project moja songea sasa wakati narudi sister akinipa kazi nirudi na beki tatu mmoja ambaye tayari sister alishamalizana na wazazi wake ilikuwa ni mimi tu kumchukua na kumfikisha mahali husika (DSM) Sasa kufika Njombe pale saa 4...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

    Ufunuo 13:2 BHN Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu DANIELI 7 Wanyama wanne wakubwa 1Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni...
Back
Top Bottom