Ulifanya kosa gani mpaka ukapewa suspension shuleni?

mike2k

JF-Expert Member
May 12, 2016
1,458
3,127
Siku hiyo kulikua na wageni shuleni japo sikumbuki ni nani alikuja nikatumwa na mwalimu kupeleka mifuko ya kutunzia mahindi kwa mwalimu aliekua akiishi mbali kidogo na shule nikasingizia tumbo linauma lakini nikalazimishwa kupeleka nikajawa na hasira wakati naondoka nikawaza nifanyeje ili nimkomoe huyu mwalimu?

Kuna nyumba za walimu zilikuwa tayari zimekamilika wanajiaandaa kuhamia nikajisemea kimoyomoyo (kwa dharau nakunya kwenye hili jengo) ni moja wapo ya zile nyumba zilizo kamilika nikaingia ndani nikatafuta chumba chenye giza nikanya humo ndani nikamaliza sasa wakati najiandaa kutoka nje nikasikia sauti za watu kama wanakuja vile nikatembea harakaharaka mda huo nikiwa nafunga mkanda wakati nafika sebleni nikakutana na kundi la watu wenye vitambi na suti zao wakiwa na baadhi ya walimu wa shuleni kwetu akiwemo na yule mwalimu alienituma kumbe ni wale wageni walikuja kukagua yale majengo yaliyokamilika yule mwalimu akaniuliza unafanya nini humu ndani nikakosa majibu akanambia nisubiri hapo nje wale watu kuingia nilikotoka wakakutana na mzigo wa hatari walichoulizana sikujua tena safari ya kupeleka mifuko ikaishia hapo nikaletewa wanafunzi wanne wakubwa ili wanilinde nikawa chini ya ulinzi mpaka wageni walipoondoka mda huo nilikuwa nimefungwa mikono kwa nyuma ili nisikimbie wageni walipoondoka mda kidogo kengele ikagongwa wanafunzi wote wakawekwa assemble nikaletwa mbele ya wanafunzi woote nikasomewa mashitaka yangu mbele ya shule nzima nikashikwa miguu na mikono nikaning'inizwa nikala fimbo zisizo na idadi kisha nikaambiwa nisafishe matundu 10 ya choo peke yangu na maji yalikua ya shida kweli mm nikakaa huko chooni toka saa6 mchana mpaka saa 10 jioni bila kusafisha hata tundu1 nikamtuma rafiki yangu akaniletea daftari zangu nikapita hukohuko nikaenda nyumbani kesho yake sikwenda shule siku iliofuata nikaenda ilipofika mda nikaletwa mbele ya wanafunzi woote nikasomewa mashitaka yangu mbele ya shule nzima nikashikwa miguu na mikono nikaning'inizwa nikala fimbo zisizo na idadi kisha nikaambiwa nisafishe matundu 10 ya choo peke yangu na maji yalikua ya shida kweli mm nikakaa huko chooni hadi jion bila kufanya usafi wowote nikamtuma rafiki yangu john akaniletea bag nikaenda home kesho yake sikwenda shule after two days nikaenda nikijua wamesahau ilipofika mda wa kuingia darasani kengele ikagongwa tukafolenishwa mwalimu akaja mbele akatoa maelekezo ya kila siku aliponiona akanita nipite mbele mimi nikachomoka mbio nikafukuzwa na shule nzima aseee hizo mbio sijui nilizitoa wapi siku hiyo nilikimbia zaidi ya mwizi nipofika mbali nikaokota mawe nikaendelea kukimbia nyuma yangu waliokuwa bado wananifukuza walikua watatu nikasimama gafla mmoja aliekua mbele akanikaribia nikampiga jiwe la kichwa nikaendelea kukimbia sikuona mtu tena nyuma yangu kumbe yule niliempiga jiwe aliumia sana hadi kudondoka chini baada ya kutokwa na damu nyingi lakini sikuweza kujua kilichoendelea kwa mda huo nilienda mbali na maeneo yale nikakaa hadi mda wa kutawanyika mchana kwenda kula nikaenda nyumbani sikurudi shule mchana daaaah,

Jioni wanafunzi wenzangu ambao ni majirani wakaleta habari hadi home asubuhi nikamundishwa kupelekwa shuleni kufika shuleni walimu wakanikataa nikarudishwa nyumbani wazazi wakabembeleza lakini wapi nikakaa nyumbani wiki2 ndipo nikaruhusiwa kurudi shule hapo ilikua 2004 shule ya msingi.
 
Mimi nilipewa nikiwa form 4 nikakaa nyumbani nikarudi siku ya mtihani wa mwisho.

1.Kosa lilikuwa ni kuvaa sketi fupi.
2. viatu ambavyo havina kamba.
3. Sikuchomeka shati.
4. Nilijiremba.
Wakaniambia nivue viatu niwape nikawapa, wakaenda kunisimamia ninawe uso, nikanawa, halafu wakataka nikavue sketi niwape na mimi sikupeleka. Hili ndio lilikuwa kosa.
 
Nakumbuka alikua mwalimu wa field nikamshika shika matako, aisee nilichezea mboko 6 za nguvu.

Barua kurudi nyumbani, kumtaka mwalimu kimapenzi.

-tulitoka kwenda mjini kwenye show ya msanii mmoja, katika show nikakutana na discipline master nikamnunulia na bia. Ahahah j3 nikaitwa ofisini kujibu mashitaka ya kulala nje ya shule.
 
Dah,umenikumbusha mbalii.
Nilipendwa na mtoto wa headmaster wetu,binti sijui kilimvutia nini kwangu kwakweli maana kamenisumbua sana,nimekula Chocolate balaa, biscuit naletewa Yale makopo,mpaka na msosi wa nyumbani kwao najilia kama boss.
Chakula cha shule nilikisahau kwa muda,mtoto alikolea na mimi akawa haambiwi asikii. Kulikuwa na kiongozi wa chakula anamuelewa sanaa binti,na amewekeza pocket money yake kwa binti,Ila mchuchu hajamuelewa mwamba hata kidogo.
Jamaa katuma sana zawadii, nyingine zinarudishwa lakini mwamba anakomaa tu,ikabidi jamaa aanze kuchunguza nani anamzidi kete kwa binti?
Kwenye fukunyua fukunya yake akazipata kuwa binti anamuelewa sana flanii mpaka zawadii anampelekea,na msosi wa nyumbani analetewa,weeeh!!
Balaa lilianzia hapo,ubaya sikuwa na status yoyote school,nikaanza kupewa vikesi vya ajabu ajabu, wakati huo sijashtukia mchongo kwamba kuna mtu anateseka na mimi.
Siku hiyo tulipewa kazi ya kupakua magunia ya mahindi kutoa stoo tupeleke mashineni,na nilipewa kazi ya kusimamia Ile shughuli.
Jioni nashangaa nafuatwa prepo na kiranja mkuu,unahitajika office ya mwalimu wa nidhamu. Tukaongozana,mara anauliza lile gunia uliloiba umelificha wapi,nikabaki mdomo wazi,kuiba gunia tenaa?
Kufika mwalimu akanimbia nina kesi ya wizi inanikabili,kama sitaki matatizo nihakikishe gunia linapatikana. Nikamwambia sina la kujitetea maana sijaiba,nasubiri hukumu,akang'aka balaa kumbe we kiburiii,badala uombe msamahaa unajifanya mjuaji,nikamwambia ticha sijawahi kuiba na sitarajii kuwa mwizi, kwahiyo usinilazimishe kuomba msamaha kwa jambo ambalo sijatenda,akanifukuza ofisini kwake akanimbia tutaona Kesho na ujuaji wako.
Mzuka wa kusoma ukakata,nikawaza hii imekuwajee,mimi huyuhuyuuu niibe gunia nalitoaje nje wakati shule inauzio?

HUKUMU.
Asubuhi kumekucha,ikapigwa kengele,tukakusanyika wote. Nikaitwa mbele na kusomewa hukumu yangu,kwamba mimi ni mwizi nimeiba gunia kwa kushilikiana na mpeshi,hivyo nikafurushwa wiki mbili nirudi na mzazi na mpishi akaachishwa kazi.
Kilichomkuta jamaa baada ya kujua katengeneza mchongo,hata sahau maishaa.
Ila mtoto wa headmaster sitamsahau,ilinipa ufalme kwenye milki ya Baba yake.
 
Jamaa kilimkuta nini mkuu? Kwanini mpishi alipewa adhabu wakati hakuwa na msala wowote.
 
Nliiba posibo za 4m6 za mtoto wa HEADMASTER nikahisiwa tu nikapigwa miezi4 nijarudishwa siku ya pepa

Alikua na posibo za PCB kazitoa ILBORU anakataa ku-share
Tukamnyoosha
 
Boyfriend wangu aliniandikia barua kwa box la shuleni. Nilivyoitwa jina la barua marafiki zangu wakanipigia makofi nikienda kuipokea. Mwalimu wa zamu akaamuru barua ifunguliwe na kusomwa mbele ya wanafunzi imagine assembly, nikagoma. Alipotaka kunichapa nikamkatalia.

Nikapewa barua ya suspension wiki mbili na kurudi na mzazi. Nikaenda kwa mshua na barua akasoma kosa ni utovu wa nidhamu. Mzee akaniamuru nikae home nipumzike. Nikakaa siku 3 home ya 4 mshua akaenda kuwasha moto shuleni. Ilikua hectic kesi mpaka kwa afisa elimu nikaambiwa nirudi shuleni haraka. Walimu waliniogopa kama ukoma.

Nilikua so proud na baba angu japo home niliipata fresh ila shuleni alikua mtetezi wangu
 
Nikiwa form 1 mwezi February tar 18 nikapewa sunsper kwa kosa ambalo lilikuwa la kugushi st pio mwezi mzima watu zaid ya 15
Na wengine kama 8 wakambiwa mpaka siku ya necta kwa wale wa form 4

Na wengine mpaka bodi ikae
Na haikuwahi kaa mpaka kesho nasikia

Ishu ilikuwa masuala ya kimichezo ambapo sisi ka st pio ilikuwa twende kukipiga na shule na city Dodoma
Ghafla mkurugenzi akazuia ambaye alikuwa ni paroko kibaigwa

Wanafunzi wanzisha vurugu wakharibu sana miundo mbinu ya shule umeme katakata zile cut out iba

Usiku mawe juu ya nyumba za Walimu
Na kuna mmoja alipigwa

Wakati haya yote yakiendelea muda wa msosi jion ukawa mgomo

Kuna mwl mmoja Pamoja na patron akaja akachukua wanafunzi kama wanne hivi mi nikiwamo tukapakue chakula ili waandike ambao watakuwa wamegoma ijulikane, kweli wakala wachache sana na baadaye sisi tukiwa tumesimamiwa tukapakua tukala

Bwana bwana ulikuwa msala Kwetu ghafla tukawa tunawindwa

Mimi nikatumia mbinu za kivita kutoroka eneo la shule mpaka siku ya pili

Badaye siku chache mbele majina yakasomwa mara papu Jina langu hilo
Nikaondoka Ila nikaendelea kuwaza sana nimefanya vurugu gani?
Yule mwl mmoja namchukia mpaka Leo

Mwl mahonge fala sana aliongea unafiki sana kwa mshua kisa wanajuana fala sana
 
Nakumbuka enzi Za sekondari, tulikuwa tunavusha chipsi kupitia fensi ya shule

Chakula kilo kuwa kibaya sana na hakina ladha, basi, ukitembelewa na mzazi Au mlezi zawadi kubwa ni kuachiwa vihela

Sasa mimi Nilikuwa na visenti vyangu kadhaa ambavyo Nilikuwa navificha kwenye boksa (wizi ili kuwa mwingi) basi chipsi kila siku tukitoka prepo Ndio ilikuwa jadi yangu

Mkuu a chipsi alikuwa anafanya shughuli zake karibu na shule ila kwakuwa Nilikuwa na mawasiliano yake basi kama kawaida ananiletea kupitia fensi ya shule ambayo ilikatwa kiustadi (na mimi)

Kila usiku wana wanajaa kwenye kitanda changu kuomba walau kipande tu cha chipsi wabadili ladha

To make long story short, nilikorofishana na kiranja ambaye alikuwa anamtaka manzi wangu hivyo akanichoma kwa Patron ambaye alipeleka kesi kwa Headmaster Mika pig wa wiki 3 na pesa ya marekebisho ya fensi nije na mzazi.

Ni kuwa form 5 nilikutwa namkiss mtoto wa kike baada ya masomo kuisha (ilikuwa shule ya kidini) class nikapigwa suspension
 
Hahaaaa sitaki kukumbuka hata ....., nilikutwa na sigara embassy pakti nne, mizinga miwili ya konyagi, lotion, chocolate na biscuit pakti tano! Hapo ilikuwa siku ya kuwasili shule baada ya likizo fupi ya Xmas form five hiyo, boarding fulani hivi huko Mkuranga. Yaani ni story ndefu ngoja niishie tu hapa.
 
Tuliiba Mbuzi wa F6 Combeninga (HKL+HGL+HGK) Hawa ndio walikuwa mabingwa kwenye Football+Basketball tukaenda uza Kijiji Cha mbali kidogo na shule!!

Wakajua ni sisi japo uhakika hawana ikabida tupigwe Pend tu Hadi NECTA F6 imebaki miezi Miwili tufanye!!
 
Nikiwa form 1 mwezi February tar 18 nikapewa sunsper kwa kosa ambalo lilikuwa la kugushi st pio mwezi mzima watu zaid ya 15
Na wengine kama 8 wakambiwa mpaka siku ya necta kwa wale wa form 4

Na wengine mpaka bodi ikae
Na haikuwahi kaa mpaka kesho nasikia

Ishu ilikuwa masuala ya kimichezo ambapo sisi ka st pio ilikuwa twende kukipiga na shule na city Dodoma
Ghafla mkurugenzi akazuia ambaye alikuwa ni paroko kibaigwa

Wanafunzi wanzisha vurugu wakharibu sana miundo mbinu ya shule umeme katakata zile cut out iba

Usiku mawe juu ya nyumba za Walimu
Na kuna mmoja alipigwa

Wakati haya yote yakiendelea muda wa msosi jion ukawa mgomo

Kuna mwl mmoja Pamoja na patron akaja akachukua wanafunzi kama wanne hivi mi nikiwamo tukapakue chakula ili waandike ambao watakuwa wamegoma ijulikane, kweli wakala wachache sana na baadaye sisi tukiwa tumesimamiwa tukapakua tukala

Bwana bwana ulikuwa msala Kwetu ghafla tukawa tunawindwa

Mimi nikatumia mbinu za kivita kutoroka eneo la shule mpaka siku ya pili

Badaye siku chache mbele majina yakasomwa mara papu Jina langu hilo
Nikaondoka Ila nikaendelea kuwaza sana nimefanya vurugu gani?
Yule mwl mmoja namchukia mpaka Leo

Mwl mahonge fala sana aliongea unafiki sana kwa mshua kisa wanajuana fala sana
Kuna mwalimu wa Chemistry aliwahi kunifundisha Seminari anaitwa Mahonge
 
nilimpiga ngwala monitor kwa ukuda nikasimamishwa shule wiki mbili na viboko juu....
 
Nikiwa form 1 mwezi February tar 18 nikapewa sunsper kwa kosa ambalo lilikuwa la kugushi st pio mwezi mzima watu zaid ya 15
Na wengine kama 8 wakambiwa mpaka siku ya necta kwa wale wa form 4

Na wengine mpaka bodi ikae
Na haikuwahi kaa mpaka kesho nasikia

Ishu ilikuwa masuala ya kimichezo ambapo sisi ka st pio ilikuwa twende kukipiga na shule na city Dodoma
Ghafla mkurugenzi akazuia ambaye alikuwa ni paroko kibaigwa

Wanafunzi wanzisha vurugu wakharibu sana miundo mbinu ya shule umeme katakata zile cut out iba

Usiku mawe juu ya nyumba za Walimu
Na kuna mmoja alipigwa

Wakati haya yote yakiendelea muda wa msosi jion ukawa mgomo

Kuna mwl mmoja Pamoja na patron akaja akachukua wanafunzi kama wanne hivi mi nikiwamo tukapakue chakula ili waandike ambao watakuwa wamegoma ijulikane, kweli wakala wachache sana na baadaye sisi tukiwa tumesimamiwa tukapakua tukala

Bwana bwana ulikuwa msala Kwetu ghafla tukawa tunawindwa

Mimi nikatumia mbinu za kivita kutoroka eneo la shule mpaka siku ya pili

Badaye siku chache mbele majina yakasomwa mara papu Jina langu hilo
Nikaondoka Ila nikaendelea kuwaza sana nimefanya vurugu gani?
Yule mwl mmoja namchukia mpaka Leo

Mwl mahonge fala sana aliongea unafiki sana kwa mshua kisa wanajuana fala sana
 
Siku hiyo kulikua na wageni shuleni japo sikumbuki ni nani alikuja nikatumwa na mwalimu kupeleka mifuko ya kutunzia mahindi kwa mwalimu aliekua akiishi mbali kidogo na shule nikasingizia tumbo linauma lakini nikalazimishwa kupeleka nikajawa na hasira wakati naondoka nikawaza nifanyeje ili nimkomoe huyu mwalimu?

Kuna nyumba za walimu zilikuwa tayari zimekamilika wanajiaandaa kuhamia nikajisemea kimoyomoyo (kwa dharau nakunya kwenye hili jengo) ni moja wapo ya zile nyumba zilizo kamilika nikaingia ndani nikatafuta chumba chenye giza nikanya humo ndani nikamaliza sasa wakati najiandaa kutoka nje nikasikia sauti za watu kama wanakuja vile nikatembea harakaharaka mda huo nikiwa nafunga mkanda wakati nafika sebleni nikakutana na kundi la watu wenye vitambi na suti zao wakiwa na baadhi ya walimu wa shuleni kwetu akiwemo na yule mwalimu alienituma kumbe ni wale wageni walikuja kukagua yale majengo yaliyokamilika yule mwalimu akaniuliza unafanya nini humu ndani nikakosa majibu akanambia nisubiri hapo nje wale watu kuingia nilikotoka wakakutana na mzigo wa hatari walichoulizana sikujua tena safari ya kupeleka mifuko ikaishia hapo nikaletewa wanafunzi wanne wakubwa ili wanilinde nikawa chini ya ulinzi mpaka wageni walipoondoka mda huo nilikuwa nimefungwa mikono kwa nyuma ili nisikimbie wageni walipoondoka mda kidogo kengele ikagongwa wanafunzi wote wakawekwa assemble nikaletwa mbele ya wanafunzi woote nikasomewa mashitaka yangu mbele ya shule nzima nikashikwa miguu na mikono nikaning'inizwa nikala fimbo zisizo na idadi kisha nikaambiwa nisafishe matundu 10 ya choo peke yangu na maji yalikua ya shida kweli mm nikakaa huko chooni toka saa6 mchana mpaka saa 10 jioni bila kusafisha hata tundu1 nikamtuma rafiki yangu akaniletea daftari zangu nikapita hukohuko nikaenda nyumbani kesho yake sikwenda shule siku iliofuata nikaenda ilipofika mda nikaletwa mbele ya wanafunzi woote nikasomewa mashitaka yangu mbele ya shule nzima nikashikwa miguu na mikono nikaning'inizwa nikala fimbo zisizo na idadi kisha nikaambiwa nisafishe matundu 10 ya choo peke yangu na maji yalikua ya shida kweli mm nikakaa huko chooni hadi jion bila kufanya usafi wowote nikamtuma rafiki yangu john akaniletea bag nikaenda home kesho yake sikwenda shule after two days nikaenda nikijua wamesahau ilipofika mda wa kuingia darasani kengele ikagongwa tukafolenishwa mwalimu akaja mbele akatoa maelekezo ya kila siku aliponiona akanita nipite mbele mimi nikachomoka mbio nikafukuzwa na shule nzima aseee hizo mbio sijui nilizitoa wapi siku hiyo nilikimbia zaidi ya mwizi nipofika mbali nikaokota mawe nikaendelea kukimbia nyuma yangu waliokuwa bado wananifukuza walikua watatu nikasimama gafla mmoja aliekua mbele akanikaribia nikampiga jiwe la kichwa nikaendelea kukimbia sikuona mtu tena nyuma yangu kumbe yule niliempiga jiwe aliumia sana hadi kudondoka chini baada ya kutokwa na damu nyingi lakini sikuweza kujua kilichoendelea kwa mda huo nilienda mbali na maeneo yale nikakaa hadi mda wa kutawanyika mchana kwenda kula nikaenda nyumbani sikurudi shule mchana daaaah,

Jioni wanafunzi wenzangu ambao ni majirani wakaleta habari hadi home asubuhi nikamundishwa kupelekwa shuleni kufika shuleni walimu wakanikataa nikarudishwa nyumbani wazazi wakabembeleza lakini wapi nikakaa nyumbani wiki2 ndipo nikaruhusiwa kurudi shule hapo ilikua 2004 shule ya msingi.
Nakumbuka nilimpiga mwalimu mmoja anaitwa Kabuje pale Meta secondary ili nifukuzwe shule, mwalimu Kabuje akaamua yaishie palepale.
 
Rafiki yangu alipewa suspension alikuwa akiona hamna mtu kwenye dinning hall anabeba cd yake ya x kwenda kucheki kwenye tv ya shule,

Tabia ikawa mazoea, siku akadakwa live, alipewa suspension wiki 2.
 
Back
Top Bottom