CHADEMA mmepoteza matumaini ya kisiasa mnahaha kama mbweha msituni, hamjui mtaji gani wa kisiasa utawatoa. Mmebaki kuomba dua la kuku.

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.

Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.

Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.
 
Mmebaki kudandia hoka ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.
Hasta kung'oka Kwa Mzee wa galilaya sema ilikuwa Dua la kuku ma halikumpata mwewe,🏃.
 
Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.

Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.

Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.
Yaani Chadema pamoja na kupoteza huo mtaji wa kisiasa bado unawazungumzia na kuwataja bdala ya kuwataja chauma. Kweli Chadema wamewashika mbupu akina ndugai
 
Ni kweli. Tumewaachia TLP, UDP, TADEA, ACT, CUF na NCCR wenye matumaini makubwa.

Na CCM matumaini yao makubwa ni haya hapa:

1641926501846.png

Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.

Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.

Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.
 
Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.

Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.

Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.
Ndugaiiiìiiiiiii in Somebody's voice
 
Sio lazima kuanzisha Uzi,kama huna la maana kuwa msomaji tu!
Nyuzi za huyu jamaa siku hizi kachanganyikiwa. Baada ya mabosi wake Makonda, Bashiru, polepole na Ndugai kupigwa nyundo kichogoni kapoteza akili
 
Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.

Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.

Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.
We si ndio ufurahie wanavyoteseka sasa mbona unaumia kuteseka kwao.
 
Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi.

Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya kuteua na kuchagua spika.

Kesi ya ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake itawapa mtaji na kupata huruma ya kisiasa kwa wananchi? Tumieni akili.
Idugunde tuma namba yako nikuwekee hela ya mkate mkuu. Unaowaongelea wala hawajazungumza kokote kutafuta huruma kisiasa. Sasa unataka wasimtetee Mbowe? Idugunde bhana.
 
Back
Top Bottom