Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara kwa mara.
Sasa kuna maswali yafuatayo:
Kwa kuzingatia lugha ni kwamba kazi hiyo si zaidi ya moja...
Habari zenu wakuu,
Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT.
Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa
Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za...
Nataka kupata msaada ni namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja anayofanyia kazi hadi idara nyingine?
Mfano mtumishi wa Idara ya mahakama kuhamia idara ya ardhi. Au ardhi kuhamia mahakama.
Msaada kwenye tuta.
Hello watanzania wenzangu!
Ebana kabla ya kwenda kwenye point naomba nidiklee interest kuwa mimi nimeoa,nina mtoto mmoja and I am responsible father for 100%.
Sasa bana, mimi ni mzee wa tungi ingawa sio wale wa kunywa hadi kubebwa,na nakunywa bia tu sio hizi double kick.
So last weekend wife...
Maana miaka ya 1800 Sultani alianzisha kilimo cha karafuu Zanzibar. Biashara hii na ile ya utumwa ilikuwa ya pesa nyingi. Mwishowe akaamua yeye mwenyewe kuhamia Zanzibar.
Hapo waarabu kibao kutoka Oman wakahama naye. Wakaanzisha mashamba ya karafuu na kuweka watumwa kibao kufanya kazi. Hata...
Nawasalimu wanajamvi
kama heading inavosema nikitumia dawa zenye content gani sitakiwi kabisa kupiga pombe? Maana kwenye muvi sometimes tunaona wazungu wanakunywa baadhi ya dawa wanasukumia la pombe tena pombe kali (Najua wanaigiza)
Tukija kwenye uhalisia Nyie wataalamu mliotumia muda wenu...
Habari wakuu,
Binafsi kila nikipokea muamala, muda si mrefu unaingia ujumbe wa mtandao husika wa kunitaka nicheze kamari. utaona ghafla '' Ndugu mwenye namba 0713 xxxxxx, ushaandaliwa TZS 800,000,000 jaribu leo. Na jumbe nyingi mfano wa hizi.
Je, ni ujumbe gani hauupendi kabisa utumiwe kwenye...
Heshima kwenu wakuu...?
Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu.
Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu.
Natanguliza shukran...
Miaka ya nyuma taifa hili lilishuhudia majaji ambao walijitoa mhanga kutoa haki kadri ya sheria. Walitoa haki bila upendeleo, chuki wala kuogopa mamlaka zilizowazunguka. Walijulikana kama Bold spirits Judges.
Si wengi ingawa si hawa peke yao: Justice James Mwalusanya, Justice Mwesiumo, Justice...
Mbona kama ni wazi kabisa wanaCHADEMA wamekuwa subject wa manyanyaso nchi hii? Tatizo ni nini? Hawa wanaCHADEMA wana ubaya gani? Mbona mie mwenyewe wanangu ni wanaCHADEMA na sigombani nao pamoja na UCCM wangu? Tatizo liko wapi? Mbona tunajitengenezea mazingira mabaya hivi? Kwa nini inakuwa...
Wana msemo wao wanasema "eyes wide shut"; ni "wide" (wazi) lakini hapohapo "shut" (yamefungwa)
Yaani wanadai tuko "macho kodo lakini hatuoni"
Na ndio maana wanatuita "sheeple" au kondoo;
na pia "goyim".
Ukiweza, tafadhali tazama scene hii mojawapo kwenye drama ya Utopia,
inayoitwa "Utopia...
Nakusalimuni wakuu.
Binafsi nina ndoto za muda mrefu sana za kufungua Biashara ya kuuza dawa za binaadamu yani Pharmacy kwa rejareja hapa jijini Dar es salam.
Naomba maoni yenu wakuu, ni kiasi gani nahitajika niwe nazo ili niweze kufungua na kuanza hii Biashara. kwa maana ile starting point...
Habari za wikiendi..
Kama nilivyouliza hapo juu ni jina lipi la hadithi,kitabu au novel huwa linakuvutia sana au unalipenda.
Mimi napenda sana
Why men love bitches.
Manipulated man.
Tutarudi na roho zetu.
Tai kwenye mzoga.
Zubaa uzikwe.
Ongezea na zako zingine
Kuna Rafiki yangu flan amenipigia simu kutoka Botswana anahitaji Sufi au sufu lile zao linalofanana na pamba.
Kiufupi ameniambia anahitaji tone 60 kwa awamu hii ya kwanza then awamu ya pili atahitaji tone 140 december mwaka huu.
Tone 1 anainunua kwa Tshs 600,000
na haijalishi upo mkoa gani...
Wadau,
Mwenye softcopy ya mwongozo wa utendaji kazi katika jeshi la polisi (Police General Order) naomba anisaidie kuiweka hapa au anitumie kwenye email theweeknd9911@gmail.com
Asante.
====
Police General Orders (PGO) ni nini?
Ni kanuni za mwongozo wa utendaji kazi wa Jeshi na Polisi. Ofisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.