gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Kuna utaratibu gani wakufatwa ili kesi kuendeshwa live?

    Naomba niulize, kuna vigezo gani au taratibu gani za kufatwa ili kesi kuendeshwa live? Kama zipo ni kwanini Chadema wasipeleke maombi hayo ili kuonesha live uendeshaji wa kesi ya Mbowe ili umma uweze kufatilia?
  2. K

    Mada za BBC na picha zao zina malengo gani?

    Natumia laini ya Voda, mara zote lazima ni Google kuingia kwenye mtandao fulani. Sasa, Mimi binafsi, huwa nakerwa na mtindo huu ambao BBC wameanzisha, nadhani kwa kushirikiana na Vodacom. Mada iliyohewani hivi sasa ni: "Nilijiuza Kimwili Kukidhi Kiu Yangu ya Mihadarati" imeambatana na picha ya...
  3. figganigga

    James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Salaam Wakuu, Leo nimepita maeneo ya Mahakama ya Kisutu, Nikakuta Mkurugenzi wa kampuni ya VIP na mmiliki mwenza wa zamani wa IPTL, James Rugemalira anatabasamu akiwa na ndugu zake wakipeana hugs na kuchumiana. Inaashilia kuna dalili nzuri leo Mzee wa Henken akaliona jua. Langu Dua. James...
  4. Christopher Cyrilo

    Serikali ina matumizi gani na wanafunzi walionaliza kidato cha 4 kabla ya 2020?

    BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) NA MKANGANYIKO WA UDAHILI WA WANAFUNZI WA MKUPUO WA MACHI, 2021. JE, WATENDAJI WAKE WANAPINGANA NA MAONO YA RAIS WA NCHI ? Kwako Waziri Pro. Joyce Ndalichako! Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge...
  5. N

    Kuna uhusiano gani kati ya kuwasili kwa aliens duniani na machafuko ya siku za mwisho

    Kuna movie inayoitwa 'hornet' nimetoka kuicheki hapa karibuni, na pia niliona imerushwa kwenye channel ya maisha magic bongo ya dstv hapa juzi usiku ikiwa imewekewa script za kiswahili. Hii movie inaonekana imetolewa na serikali ya marekani na katika maelezo yake ya awali inaonekana ni...
  6. sky soldier

    Mambo gani ya fedheha umewahi kufanya kwasababu ya kufulia (kukosa Hela)?

    Pesa ni muhimu aisee, pesa hainunui Kila kitu ila inakamilisha mambo mengi sana, ikose ujue namaanisha nini. Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa sina pesa nlikuwa nashindia kiazi utamu kilichochomwa, nashushia maji ya bombani, hicho kiazi ndio msosi wa siku nzima. Nimewahi kukaa na chaja ya...
  7. K

    Kuna uhusiano gani kati ya uwepo wa jeshi la Rwanda Msumbiji na ziara za Mabeyo Rwanda

    Najaribu kuunga dots kuwa huenda baada ya Kagame kupeleka wajeda wake kule Msumbiji ndio chanzo cha ziara ya siku kadhaa ya bwana Mabeyo pale Kigali Mods tafadhali msiufute huu uzi maana hauna maudhui yoyote mabaya
  8. K

    Wife alikuwa na maana gani hapa wakuu?

    Habari wakuu? Last weekend nimemuaga wife kuwa nakwenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man. U, cha kushangaza wife akanijibu uwasalimie wahudumu (bar maids) wa hiyo bar. Nimemtafakari sana kutaka kujua hilo jibu lake lilikuwa na ujumbe gani kwangu ila sijapata majibu. Kwa wazoefu wa haya...
  9. M

    Je ni kibali gani natakiwa kuwa nacho kuagiza vyakula nje ya nchi

    Msaada wadau.nipo mbioni kiagiza bidhaa za chakula..raw material za kupikia vyakula hivi natakiwa kuwa nakibali kipi?.asanteni
  10. J

    Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia. Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
  11. M

    Ni Vigezo gani Mtumishi was Umma anaweza kuhama au kuhamishwa kabla hajakamilisha miaka mitatu kituo kimoja!?

    Nafahamu kuwa ili Mtumisshi awez2 kihama kituo chake Cha kazi no sharti awe amekaa.k2a.mida usiopunguaa miaka 3,vinginevyo mwajiri ndiye amhamishe! Je Standing Order inasemaje iwapo Mtumishi ana matatizo ya kifamilia ambayo no Genuine mfano ...kuumwa,kuuguliwa nk !
  12. Ngengemkenilomolomo

    Kuna jambo gani katika noti za Tsh 500? Mbona watu wapo radhi kuzinunua kwa gharama kubwa?

    Wakuu habari za muda na wakati huu, Kwa sasa kumekua na wimbi la watu wanaotafuta noti za shilingi 500 zile za zaman mpk wanadiriki kutoa dau nono kwa yeyote aliyenazo, unakuta mtu anatoa mpk 30,000 kwa ajili ya noti moja ya 500. Je, kuna kitu gan cha special kias kwamba mpaka mtu anatoa kias...
  13. eugenp

    Hivi FINCA wanatoaga majibu ya Usaili baada ya muda gani?

    Nmefanya Usaili Finca J4 ila mpaka Leo siku ya 5 naona Kimya au ndio ule msemo wa ukiona manyoya ujue kashaliwa😂😂😂 Ila nilifanya vizuri nina uhakika Labda kama kuna mtu yoyote anaefahamu recruitment process yao huwa inachukua muda gani?
  14. C

    Ni simu gani yenye sifa hizi?

    Habari, ningependa kujua model ya simu ambayo inaweza ku-record video zenye quality nzuri. - preferably those with video stabilizer (stabilization) Brands: Xiaomi, Oppo, One Plus, etc. Sorry, iphone is not my preferred brand. Your help pls.
  15. Kilenzi _Jr

    Wakati gani wa kuachana na Mahusiano yanayokuweka roho juu?

    Kuachana na mpenzi uliyetumai atakuwa mwenza wa maisha siyo jambo rahisi. Lakini vipi mahusiano yanapopitia mawimbi yasiyo na mwisho. Dharau, vipigo, kuvunjiana heshima au hata usaliti. Bila shaka ni sharti kuwe na mstari mwekundu kwenye mahusiano. Ama sivyo?
  16. darcity

    Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
  17. billcrammer

    Ivi wife material yafaa awee na umbo la aina gani..

    1)Mwenye msabwanda alafu awe medium kiwango 2)mwenye mwili ndogo ana mbsabwanda la kichizii na awe medium 3)mfupi mnono Wakuu wapi ndo sure bet
  18. K

    Kuna uhusiano gani kati ya Polepole na bwana Biden?

    Jaribu kukaa utulie uangalie picha za bwana Polepole na za rais wa America bwana Joe Biden halafu utaamini maneno yangu kuwa hawa binadamu wenzetu wamefanana sana Pia angalia namna wanavyoongea na namana wanavyotazama lazima tu utakubaliana na maneno yangu Kingine angalia hata makalio yao ni...
  19. YEHODAYA

    Soko la pamoja la Afrika ni nini?

    Jamani tufafanulieni Soko la pamoja la Africa ni kitu gani
  20. Lycaon pictus

    Kwa wataalamu, hivi mtu anaweza okoa pesa kiasi gani akiezeka kwa msouth badala ya kigae?

    Tofauti ya bajeti kwa anayeezeka kwa msouth na anayeezeka kwa vigae ni pesa ngapi?
Back
Top Bottom