Basi gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita?

Mkanaani

Senior Member
Jul 31, 2021
178
535
Habari zenu,

Naombeni msaada ni bus gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita, achana na haya yanayotokea Dar kwenda Geita.

Asanteni.
 
Dodoma is overrated, cheki mpaka basi la kwenda geita ambapo ni karibu hakuna wakati hapa Dar mabasi yapo ya kutosha hata Mimi ambae sijawahi fika geita nalijua basi la geita
 
Dodoma is overrated, cheki mpaka basi la kwenda geita ambapo ni karibu hakuna wakati hapa Dar mabasi yapo ya kutosha hata Mimi ambae sijawahi fika geita nalijua basi la geita
Tatizo ni la Dodoma au Geita? Mikoa Mingi tuu Hakuna mfano Sumbawanga -Dodoma hakuna basi.
 
Back
Top Bottom