Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
3,352
5,250
Habari ya asubuhi waungwana.

Ninapenda kumnunulia mchumba wangu wa kike zawadi kidogo kwa kutambua thamani yake kwangu, kwa uwezo wangu mdogo wa bajeti ya kuanzia shilingi 10,000 --- 50,000 ningependa kununua zawadi ya thamani hiyo.

Nitashukuru kupata mapendekezo ya aina nzuri ya zawadi kutoka kwenu wana jamvi, nafahamu wengi wameshawahi kulifanya hili, eidha kwa kupokea kutoka kwa wachumba au kumpatia mchumba wako na akafurahi.

Asanteni, Karibuni!
 
Jumatatu asubuhi hii unawaza mapenzi.. Kweli umependa mkuu.

5000 or 10000, tafuta kitu kitachoishi muda mrefu kama nguo simple simple au accessories kama bracelets au hereni maana zipo za bei hiyo, nzuri tu.

Pia thamani ya kitu ni kutokana na hisia za mtu juu yako. Kama hupendwi hata ujihangaishe vipi ataona haujafanya kitu so, kama una uhakika yupo sawa na wewe. Chochote utachompelekea atakifurahia based na uwezo wako wa kipato.
 
Zawadi ni lugha tamu katika mahusiano, yawe ya kimapenzi ama mahusiano ya kirafiki na ndugu zetu… mapokeo yake uwa ni extraa kuzidi na kumpa mtu hela leo, kesho kaimaliza kufix michangamoto yake.

Ila zawadi itaishi muda mrefu… kama ni mtu wa shukrani, atafurahi sana.

Kwa hiyo budget.. waweza pata skin jeans kama ni mvaaji, ka perfume.. unaweka ktk gift bag unampa
 
Habari ya asubuhi waungwana.

Ninapenda kumnunulia mchumba wangu wa kike zawadi kidogo kwa kutambua thamani yake kwangu, kwa uwezo wangu mdogo wa bajeti ya kuanzia shilingi 10,000 --- 50,000 ningependa kununua zawadi ya thamani hiyo.

Nitashukuru kupata mapendekezo ya aina nzuri ya zawadi kutoka kwenu wana jamvi, nafahamu wengi wameshawahi kulifanya hili, eidha kwa kupokea kutoka kwa wachumba au kumpatia mchumba wako na akafurahi.

Asanteni, Karibuni!
Uko Mkoa gani kwanza?
Sorry!!!
 
Asante mkuu, perfume gani inaweza kuwa nzuri? Sifahamu perfume anayoitumia
 
Habari ya asubuhi waungwana.

Ninapenda kumnunulia mchumba wangu wa kike zawadi kidogo kwa kutambua thamani yake kwangu, kwa uwezo wangu mdogo wa bajeti ya kuanzia shilingi 10,000 --- 50,000 ningependa kununua zawadi ya thamani hiyo.

Nitashukuru kupata mapendekezo ya aina nzuri ya zawadi kutoka kwenu wana jamvi, nafahamu wengi wameshawahi kulifanya hili, eidha kwa kupokea kutoka kwa wachumba au kumpatia mchumba wako na akafurahi.

Asanteni, Karibuni!
Dolido itamfaa. Bei utapewa maelekezo na watumiaji
 
Back
Top Bottom