gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya Printing?

    Naombeni msaada wa mawazo. Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya PRINTING? Katika maeneo niliotaja BANANA KITUNDA AIRPOT GONGOLAMBOTO GOMZ
  2. JamiiForums Tanzania Msiba gani ulikugusa sana kati ya Mafisango, Kanumba na Magufuli?

    Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao. Mafisango alikuwa gwiji wa soka, Kanumba ni manju wa maigizo na Magufuli rais wa nchi.
  3. JamiiForums Tanzania Ni nani au kampuni gani iliyotengeneza App ya Cheka Plus? Ya wale jamaa wa Cheka Tu?

    Kwema bandugu? Hata sina maneno mengi kwenye hili... Kama title inanyojieleza naomba kufahamishwa ni nani au akina nani? Waliotengeneza App ya Cheka Plus? Natanguliza shukurani.
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    TeamJf, Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA! Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU bright sana. Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up)...
  5. JamiiForums Tanzania Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

    Brothers niaje kaka zangu leo ngoja niwape ka challenge, ni maneno gani ukiambiwa na mwanamke unahisi ni uongo? Kwa mfano mi demu aisee akinambia eti "upo peke yako" yaani hapo ndo nazidi kupata mashaka nahisi nasaidiwa😀😀 Au akinambia nakupenda ndiyo siaminigi kabisaa naona kama anataka...
  6. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani za kusoma sheria na kufaulu katika Chuo Kikuu Huria

    Natumaini ni buheri wa afya ndugu zangu katika jukwaa la elimu. Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utunzaji wa Kumbumbu, Nyaraka na usimamizi wa Taarifa katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania. Baada ya kumaliza kozi tajwa binafsi nimekuwa nikivutiwa na masomo ya sheria kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Neno Amirati lililotaka kuwa mbadala wa Amiri Jeshi Mkuu Asili yake wapi?

    Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5. Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
  8. JamiiForums Tanzania Unahisi huyu mwamba ametamka maneno gani?

  9. R

    JamiiForums Tanzania Ni viongozi gani waliaminiwa na JPM na ndani ya miaka mitatu tayari wamemsaliti kwa kauli na matendo?

    Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake. Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki. Kiongozi mmoja wapo aliyewahi...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri na msaada; Je asomee kitu gani? Ana D kwa masomo yote kasoro Math's F na Kiswahili C

    Binti ana Four ya 28 (arts pure) sasa anataka kujua anachoweza kusomea >>>Ameambiwa aingie humu achague kozi zinazoendana na ufaulu wake>>> NIT DIT NACTE
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo gani hutumika na viongozi wa kitaifa kutoa pole kwa familia iliyoondokewa na mpendwa wao?

    Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya kijamii anapaswa kuzingatia vigezo gani? Je, anapotumia barua rasmi ya Ikulu kutoa pole utumia...
  12. JamiiForums Tanzania Ni dawa gani ya kupaka(Tube)inayosaidia kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo hutengeneza utando mweupe.

    Habarini jamani.. Naomba kufahamishwa tube nzuri (dawa ya kupaka) usoni ambayo inaweza kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo yanapelekea kutengeneza utando(ugaliugali) mweupe kwa ndani. Kama umewahi kukutanana hizi chunusi/mashimo mwenzangu ulipona kwa dawa gani..?
  13. JamiiForums Tanzania Meli ya misaada kutoka Spain imetia nanga Gaza. Sasa bandari anayojenga Marekani ina haja gani?

    Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na Mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo. Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka nchini Spain na kwa muda mfupi kufika eneo hilo bila usumbufu. Katika hali hiyo ile nia ya Marekani...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho hauna na wala hakikusumbui kichwa?

    Mimi binafsi sina IPhone na wala sijali kabisa, vipi wewe?
  15. JamiiForums Tanzania Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

    Nilienda sehemu moja ugenini, kama ilivyo ada ugenini hata ukae siku mbili Lazima ujibane usiende chooni hovyo hovyo, siku ya tatu nikaona hali sio poa acha niende chooni kufanya harakati muhimu. Cha kushangaza nikakuta choo cha kukaa, sijawai kukitumia before, nikapiga mahesabu maana...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ally Gugu Katibu Mkuu WMNN ni nani na ana uzoefu gani katika medali za siasa na mipango ya uchaguzi?

    Nimpongeze Karibu Mkuu aliyetanguliwa wa Wizara ya Mambo ya Ndani mdogo wetu Gaspar Mamuya kwa utumishi wa kukumbukwa katika wizara hiyo. Huyu Bwana niliwahi kukutana naye kwenye mgogoro flani wa taasisi za dini, alitoa ushauri kama mzazi na hakuwa na majivuno. Pamoja na hayo wizara ilitulia...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Pump Gani naweza kufunga kumwaga maji mita 600 hadi 1000 kutika chanzo cha maji?

    Wadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au unavyoona inafaa
  18. G

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliopata ubaba kabla ya ndoa, ilikuwaje, ulichukua maaamuzi gani, ndie uliemuoa?

    Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu. Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere. nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Wana JF ningependa tulikunjue hili jamvi pamoja ase! Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?
  20. JamiiForums Tanzania Sababu gani inafanya mji Gairo kuwa na matuta mengi Barabarani

    Habari wadau, Naomba kufahamu sababu inayofanya mji wa Gairo kuwekwa matuta mengi kuliko mji wowote Tanzania. Matuta yanaanzia pale unaingia mjini mpaka unapoumalza mji zaidi ya km 10.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…