Aliyemuumba ndiye aliyesema tuishi naye kwa akili, huyu kiumbe ni wa aina gani?

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Salamu ni chanzo cha umasikini,huwezi elewa hili hadi uwe na Akili timamu!

Wakati nikiwa mdogo nilidhani nyoka ndiye kiumbe hatari kuliko vyote duniani,lakini kumbe nilikuwa sijafahamu ilikuwa ni akili ya kitoto tu!.

Nilipokuwa mtu mzima nimekuja kugundua kiumbe aitwaye "Mwanamke" ndiye kiumbe wa hatari ulimwenguni kuliko viumbe wote aliowaumba Mungu!.

Aliyemuumba yeye mwenyewe anabaki kumshangaa tu,hadi kutupa maagizo wanaume ya kwamba "Muishi na huyo kiumbe kwa akili",Kwa maana hiyo Pasipo kutumia akili unaweza kujikuta unaumia vibaya mno na kupelekea kifo!.

Mwanamke ndiye kiumbe asiyejua ametoka wapi,anaenda wapi na anaenda kufanya nini!

Mwanamke ndiye kiumbe asiyekuwa na huruma kuliko viumbe wote!

mwanamke ndiye kiumbe asiyejua ni kitu gani anataka na kwa wakati gani!.

Mwanamke ndiye kiumbe anayemshangaa mwanamke mwenzie!

Mwanamke ndiye kiumbe anayedanganyika kuliko viumbe vyote ulimwenguni!

Mwanamke ndiye kiumbe asiyesikia japo anayo masikio!

Mwanamke ndiye kiumbe mwenye tamaa kuliko kiumbe yeyote ulimwenguni( Hata fisi haoni ndani)

Mwanamke ndiye kiumbe hatari kuliko viumbe vyote ulimwenguni japo hana sumu!

Mwanamke ndiye kiumbe asiyeeleweka mithiri ya kinyonga (Japo kinyonga huwa anaeleweka)

Mwanamke ndiye kiumbe asiyeona japo anayo macho!

Mwanamke ndiye kiumbe Muongo kuliko viumbe wote!

Mwanamke ndiye kiumbe pekee ulimwenguni anayetaka kila kitu kwa wakati mmoja!

Huyu kiumbe ni kiumbe wa aina gani?,Hadi aliyemuumba amemnyooshea mikono aisee ni hatari mnoo!
 
Umekula?
 
Mungu ndie aliye tuagiza tuishinao kwa akili, right...🤔
Na tena Mungu hawezi kukupa mzigo ama jaribu ama mtihani ambao hauwezi ukaushinda, right...🤔
Sasa inapo tokea mwanaume akalalamika kwamba amemshindwa mwanamke kama huko daslam manvyo wakimbia wanawake.... je hapo utakua umetumia akili ya kuishi nae huyu kiumbe kama kusudi la Mungu...??
Nimejikuta nawaza kwa sauti tu...🤗
 
Na siku ukijua wanataka nini...ndio mwisho wa maisha yako yaan unakufa hapo hapo...."FEAR WOMEN"
 
Nakazia hapa kwa @ one b , lakini natambua bila kupinga kuwa wametutoa mbali hawa Mama zetu, wengine ni dada zetu, wadogo zetu na shangazi zetu na bibi zetu, na kuishi nao kwa akili wakiwa wenza kuna manufaa kwetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom