Nataka nirudishe rangi ya ngozi yangu lotion au mafuta gani yananifaa

Kama una mwenza wako mwambie awe anakutolea manii upake usoni. Ni swala la muda mchache tu utakuwa kama Beyonce.

Ila hii inafanya kazi kwa wanawake tu, kama dume haifai, maana kuna midume inapenda kuwa kama dada zao, hawakawii kwenda kupiga puchu wapate mbegu za kujipaka.

Kila la heri.
 
We changia tu huyu nimemtag kwasababu ni mbobezi kwa haya mambo anaweza kuongeza kitu
Kuna jamaa ni mtanzania mjasiliamali alishinda tuzo Rwanda hivi karibuni, anatangaza biashara yake ya sabuni na mafuta anayotengeneza mwenyewe, muda mwingi anasafiri na Abood kati ya Mailimoja na Kongowe, nimesahau jina lake, ila nimeamini utendaji wa hizo bidhaa nimezitumia nimeona matokeo ya alichokielezea kabla sijatumia
 
So ungenisaidia sasa hapo
 
Back
Top Bottom