gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Morning_star

    Akina dada, huu msemo huwa una maana gani? ....."we tu endelea kuchat na sim... minikisha lala sitaki usumbufu"

    Karibu kila siku 'mywangu' tukiwa kitandani unilalamikia ....."we tu, endelea kuchat na sim... minikisha lala sitaki usumbufu"
  2. Maleven

    Vitu gani ambavyo ni mtego?

    1. Ukiwa unaondoka ugenini wakakwambia mbona haraka, usiondoke kesho usubiri kesho kutwa n.k huo ni mtego. Ondoka, hapo wanajikosha tu. 2. Unaaga kwenda kazini, mpenzi wako anasema usiende mpunzike kidogo, huo ni mtego, ukibaki unajipunguzia credits. 3. Unaongea na mtu af anasema nikipata...
  3. sky soldier

    Pamoja na huo utu uzima wako, ni kitu gani bado unakiogopa

    Ni kitu gani unakiogopa tangu utotoni umeshindwa kuacha kukiogopa Najua kuna wengine mpaka wanafaika 30 bado wanaogopa sindano (manesi wana siri nyingi), siwezi kuwacheka maana tunatofautiana tu vitu vya kuogopa. Binafsi huyu mdudu wa kuitwa nyigu akiingia chumba nilichomo huwa nakosa amani...
  4. Protector

    Kwanini haya Magari aina hii Toyota Fielder sio maarufu sana yana tatizo gani?

    Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
  5. Nyamuma iliyobaki

    Baada kupiga show na mtoto wa kike ni ishara gani utaona ujue kweli umemfikisha kunakotakiwa

    Mara nyingi tunakutana na watoto wa kike majumbani mwetu au hata katika nyumba za kulala wageni hivi utajuaje kweli umemfikisha inavotakiwa
  6. KIXI

    CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

    Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
  7. pathfind

    Je, tamko la Rais ni sheria? Kama halijatekelezwa hatua gani huchukuliwa?

    Je, tamko la Rais ni sheria? Kama ni sheria au lazima litekelezwe? Ikitokea halijatekelezwa au kufanyika kama alivoagiza inakuwaje? Mimi ni mmoja kati ya wahanga waliokutana na tamko hilo halafu halikutekelezwa. Binafsi ilikuwa hivi; mimi nilikuwa mshiriki wa baadhi ujenzi miradi ya Jamhuri...
  8. Brain Kingdom

    Ukiwa na kiasi gani cha pesa kwenye wallet unakosa ujasiri wa kumtongoza mwanamke?

    Maisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano. Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga. Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet...
  9. Mwl.RCT

    Picha: Zaidi ya Maneno, zaidi ya Hisia. Je, unaushauri gani?

    = Chanzo: MMM (Mtandao X)
  10. matunduizi

    Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

    Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu. Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo. Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge...
  11. Mhafidhina07

    Leo nimekumbuka sana maisah ya chuo,kinachozunguka kichwani mwangu viongozi wa wanafunzi(CCM wings) wapo kwenye hali gani?

    Maisha ya chuo yanaraha na karaha zake bhana yani ni sawa pepo na dunia unaishi muda mchache maisha magumu then unaambiwa bata lipo peponi unaishi katika uzima wa milele,naamini kabisa kwa mliosoma DODOMA UNIVERSIT -UDOSO sio kitu kigeni yaani mashauzi mengi na hasa mawaziri wa fedha(wanajiona...
  12. Mung Chris

    Hii Ap ya voda ina kazi gani

    Sijaelewa hii ap ya voda je ni kuni track kuingilia mawasiliano yangu au nimeitoa haikubali naitoaje.
  13. Desierto

    Kuna kazi mtu akiipata lazima tu tabia itabadilika kwa asilimia kadhaa kuendana na mazingira

    Kuna kazi ukiipata hata kama uwe na roho nzuri kiasi gani itakubadilisha tu kwa asilimia kubwa ili uendane nayo Mfano: kazi ya utrafiki,ukondakta hasa kwa mikoa ya Arusha na dar,kukusanya ushuru, Hizo ni baadhi tu
  14. M

    Fursa gani ziko Turiani?

    Wadau salaamu! Noamba ushauri kuna fursa gani maeneo ya turiani (mvomero) hasa katiak upatikanaji wa mifugo hasa mbuzi, ngombe na nguruwe? Na pia fursa gani nyingine naweza kuwekeza huko na zikaniletea faida. Nimepata shamba huko na nahamia mwezi huu. Natakunguliza shukurani
  15. Issuna

    Watazamaji wa TV ni kipindi gani kizuri cha kupotezea muda?

    Ndugu Zangu nina miaka zaidi ya 10 sijaangalia serious TV SHOWS hata taarifa ya habari kutokana na ubize wa hapa na pale. Nimepata maswaibu yameniweka chini imebidi nianze angalia tv kupoteza Muda ila Wiki ya Pili sasa inaenda sioni program interesting. Natumia Ving'amuzi aina 3...
  16. R

    Ni Waziri gani wa fedha anaeongoza kwa kukopa Mashirika ya Kimataifa tangu tupate uhuru?

    Ninaomba kufahamu Waziri wa Fedha aliyewahi kukopa sana toka tupate uhuru. Tupate pia na historia ya Waziri wa Fedha aliyekopa kidogo sana. Tufahamu kwanini huyo aliyekopa sana alikubaliwa akaaminiwa akakopeshwa sana, na huyu aliyekopa kidogo alitumia mbinu zipo kuendesha serikali na miradi ya...
  17. B

    Nifanye biashara gani. Ushauri wenu unahitajika

    Wakuu poleni na majukumu. Nimeweka akiba yangu ambayo baada ya miezi miwili inaweza fikia milioni 20. Nifanye biashara gani kwa kipato hicho Ushauri wenu ni muhimu sana
  18. Miguel Alvarez

    MSAADA: Huu ni ugonjwa gani wa Kuku?

    Kama Kichwa Cha Habari kinavyojieleza...hapo juu Naomba msaada kujua huu ni ugonjwa gani wa kuku na unasababishwa na nini ?na Tiba yake ni nini? Ni kuku wa kienyeji Mwenye kujua Tiba yake ikiwa madawa ya madukani au mitishamba naomba anijuze Nimeambatanisha na picha 👇🏿👇🏿
  19. Miguel Alvarez

    Huu ni ugonjwa gani wa kuku?

    Habari za Majukumu wakuu.... Niko na shida na Kuku wangu wa kienyeji... Ni Siku ya pili kuku wangu hachangamki hata kula awezi kula vizuri Baada yakumchunguza nimekuja kugundua kinyesi chake si Cha kawaida .. nimejaribu kuambatanisha na picha hapo chini👇🏿👇🏿 Mwenye kujua ugonjwa na tiba ikiwa...
  20. GoldDhahabu

    Jinsi gani ya kuchukua sampuli ya udongo wa kupeleka maabara?

    Heshima zenu wakuu! Nataka nianze kuliandaa shamba jipya kwa ajili ya msimu wa kilimo mwaka huu. Kwa kuwa ni eneo ambalo halijawahi kulimwa, nimeona ni vizuri nikaupime kwanza udongo wake ili nijue afya yake. Ni jinsi gani ya kuchukua sampuli ya udongo? Je, nichukue wa juu kabisa au wa ndani...
Back
Top Bottom