HAMAS kuachia Warusi, hivi mnawashabikia huwa mnatumia vigezo gani, mjue kuna hadi Watanzania

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,671
48,445
Mnaokesha humu kushabikia HAMAS huwa mnatumia vigezo gani kando na dini, nini kingine kinachowapa hamasa ya kushabikia maovu yao, wameteka watu wa mataifa mbali mbali wasiohusiana na ugomvi wa Palestina, humo kuna hadi Watanzania.
=================

The Palestinian Hamas movement has received from the Russian Foreign Ministry a list of Russians who may be among the hostages, is looking for them and is ready to release them, Musa Abu Marzuk, a member of the Politburo and the head of Hamas's foreign relations department, told RIA Novosti.
"
“From the Russian side, through the Ministry of Foreign Affairs, we received a list of citizens who have dual citizenship. We are very attentive to this list and will process it carefully, because we look at Russia as our closest friend,” he said.
 
Mnaokesha humu kushabikia HAMAS huwa mnatumia vigezo gani kando za dini, nini kingine kinachowapa hamasa ya kushabikia maovu yao, wameteka watu wa mataifa mbali mbali wasiohusiana na ugomvi wa Palestina, humo kuna hadi Watanzania.

Wavaa kobazi vs Wagalatia keyboard worriers wanakuja, wapokee kishingo upande.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
mwarab haelewi lugha yoyote nyengine ila apelekewe motoo...bila kuteketeaa atajilipua lipua ovyo hovyoo ...idf kazi iendelee
20231029_041708.jpg
 
Mnaokesha humu kushabikia HAMAS huwa mnatumia vigezo gani kando za dini, nini kingine kinachowapa hamasa ya kushabikia maovu yao, wameteka watu wa mataifa mbali mbali wasiohusiana na ugomvi wa Palestina, humo kuna hadi Watanzania.
=================

The Palestinian Hamas movement has received from the Russian Foreign Ministry a list of Russians who may be among the hostages, is looking for them and is ready to release them, Musa Abu Marzuk, a member of the Politburo and the head of Hamas's foreign relations department, told RIA Novosti.
"
“From the Russian side, through the Ministry of Foreign Affairs, we received a list of citizens who have dual citizenship. We are very attentive to this list and will process it carefully, because we look at Russia as our closest friend,” he said.

Kuna ubaya gani mtu kupatana na mtu mmoja na kuwa na uadui na wengine? MBONA Marekan anapatana na urusi, anachukia wa Arabu na wa Russia?
 
Kwa hiyo hao mateka wa mataifa mengine wakiwemo Watanzania watawasaidia nini hao magaidi ya dini yenu?
 
kuna video zmejaa mitandaoni hao vijana wa kitanganyika wakiingiliwa kinyumee🍆💉🔥🔥wanapelekewa motoo na hao mapalestina mazee dah ...video zipoo kulee telegram hatuwezi zileta humuu....dunia inashaagaaa aisee dahh
 
kuna video zmejaa mitandaoni hao vijana wa kitanganyika wakiingiliwa kinyumee🍆💉🔥🔥wanapelekewa motoo na hao mapalestina mazee dah ...video zipoo kulee telegram hatuwezi zileta humuu....dunia inashaagaaa....mitanzania inyanyashiska hukoo huku ikiuza bandarii...dp hoyeee😅
Sidhani kama ni kweli katika hili. Kitakuwa ni kitu cha ajabu kama wanafanyiwa hivyo huku Serikali ipo kimya. Utakuwa ni ubaya wa ajabu kufanywa humu duniani. Watanzania waliotekwa si wawili wale vijana toka SUA? Kwahiyo HAMAS wanawalawiti wanaume wenzao? Uongo huo.
 
propaganda za kijinga tu, kwani weusi ndiyo hao watz peke yao? Mawazo maovu ya kipuuzi yamewajaa watz hawawazi vitu vingine zaidi ya ngono.
 
Ni watu wangapi watakaofufuliwa waishi mbinguni?​

Biblia inaonyesha kwamba watu 144,000 watafufuliwa waishi mbinguni. (Ufunuo 7:4)
Mtoa maada umo ktk kundi hili?
We brother bwana. Ebu endelea kutuhabarisha kuhusu vita vya Mashariki ya kati. Hapo pamesema watakao fufuliwa? Pia mistari mingine inasemaje?

Sawa, leo hoja yetu ni kuwa yupo wapi allah mungu wa kikuresh awaokoe waarabu wanaoteseka dunia nzima?
 
propaganda za kijinga tu, kwani weusi ndiyo hao watz peke yao? Mawazo maovu ya kipuuzi yamewajaa watz hawawazi vitu vingine zaidi ya ngono.
Ila ni kweli wanawafanyia hivyo hao weusi? Kama ni kweli ni unyama wa hali ya juu na tunaungana na Israel katika kutoa kipigo kwa hao wapuuzi. Hii imenisikitisha sana kama ni kweli, ni bora wangewaua tu kuliko kuwafanyia hivyo.
 
Jihadists sio watu wale watafurahi kwa warussia kuachiliwa huru japo sio wa imani yao ili mradi ni watu wa mtume Putin lakini hao watanzania wenzao hata wakiuawa kwao ni ibada imetimia. Very hopeless people.
 
Mnaokesha humu kushabikia HAMAS huwa mnatumia vigezo gani kando na dini, nini kingine kinachowapa hamasa ya kushabikia maovu yao, wameteka watu wa mataifa mbali mbali wasiohusiana na ugomvi wa Palestina, humo kuna hadi Watanzania.
Tusamehe tu Ndugu yangu, tuna matatizo mahali
 
Mnaokesha humu kushabikia HAMAS huwa mnatumia vigezo gani kando na dini, nini kingine kinachowapa hamasa ya kushabikia maovu yao, wameteka watu wa mataifa mbali mbali wasiohusiana na ugomvi wa Palestina, humo kuna hadi Watanzania.
=================

The Palestinian Hamas movement has received from the Russian Foreign Ministry a list of Russians who may be among the hostages, is looking for them and is ready to release them, Musa Abu Marzuk, a member of the Politburo and the head of Hamas's foreign relations department, told RIA Novosti.
"
“From the Russian side, through the Ministry of Foreign Affairs, we received a list of citizens who have dual citizenship. We are very attentive to this list and will process it carefully, because we look at Russia as our closest friend,” he said.
Israel na wao waachie mateka wa kipalestine waliowafunga huko kwao sio unakzi ya kujaza seva tu hapa
 
Vipi na wewe unaemuabudu binaadamu mwenzio anae toa mashuzi na kunya! Eti "bwana yeshu"
Pumbav kabisa
Kwa hiyo mudi sio binadamu??........ila kumbe ndio maana hata watu mnyaazi mnapenda ngono sana .......hivi unajua jamaa alioa kitoto cha miaka 9..............sasa sijui alisikia utamu gani......maana miaka hiyo kwa kunuka vikojoleo
 
kuna video zmejaa mitandaoni hao vijana wa kitanganyika wakiingiliwa kinyumee🍆💉🔥🔥wanapelekewa motoo na hao mapalestina mazee dah ...video zipoo kulee telegram hatuwezi zileta humuu....dunia inashaagaaa aisee dahh
Moto tena. Weka jina la Channel
 
Hakuna anae shabikia ila ukweli lazima usemwe na uwekwe wazi.
Wapalestina ni watu wanaonyanyasika na kuwekewa apartheid kwenye ardhi yao
sasa wewe mkenya akili kisoda sijui kwa nini hauelewi?
 
Ila ni kweli wanawafanyia hivyo hao weusi? Kama ni kweli ni unyama wa hali ya juu na tunaungana na Israel katika kutoa kipigo kwa hao wapuuzi. Hii imenisikitisha sana kama ni kweli, ni bora wangewaua tu kuliko kuwafanyia hivyo.
Hzo video anazosema kaziona watu wakifanyiwa hiyo michezo mwambie akutumie PM au akuambie source ukazicheki....kama atashindwa ni uzushi kama uzushi mwingine....tuliambiwa watoto wamekatwa vichwa na mkuu wa taifa kubwa kabisa Duniani lakini msemaji wa Ikulu yao akaja kukanusha kuwa siyo taarifa sahihi....sasa kama wamezoea kusema uongo hawashindwi kusema lolote ili kufanikisha Adhma yao....tena hyu Mkenya anayehangaika kila siku kutuletea habari za kizushi hmu ndani mtu kama una akili timamu ni kumpuuza tu...kule Ukraine alilisha watu matango pori kwlikwli sasahv kahamia huku....hatusikii tena akija na habari jamaa wamekomboa maeneo....
 
Back
Top Bottom