Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,939
4,117
Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa

Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani?

Hata hivyo, naweza sema, UN ndio wanaowajua vema hawa Mayahudi, nguvu yao kijeshi, umhimu wao kwenye umoja wa Mataifa kwamba wao ni kina nani na wanamadhara gani katika karne hii ya 21, kura zaidi ya 72% zimeonyesha kupinga uvamizi wa Israel huko Gaza

Matokeo yake ndio kwaanza, vijamaa vinaendelea na mauwaji ya khalaiki huko Gaza

Wafanya kazi wa umoja wa mataifa wanauwawa, wanahabari wanachinjwa, watoto wadogo pia ukiachia mbali magaidi ya hamasi yanavyokufa kama kumbi kumbi

Nchi za Kiarabu bila shaka nao wanawajua vema hao Mayahudi, hakuna nchi inayopiga yowe juu ya mayahudi hayo ya Kiisrael

Israeli ni kina nani?

Nguvu yao, umhimu katika umoja wa mataifa ni kina nani haswaa?
 
Sisi wa swahili tuendelee kuamini israel ni taifa teule la Mungu tuishi humo mengine hatujui
F9iF7a6XEAACXNX.jpeg
 
Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa

Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani?

Hata hivyo, naweza sema, UN ndio wanaowajua vema hawa Mayahudi, nguvu yao kijeshi, umhimu wao kwenye umoja wa Mataifa kwamba wao ni kina nani na wanamadhara gani katika karne hii ya 21, kura zaidi ya 72% zimeonyesha kupinga uvamizi wa Israel huko Gaza

Matokeo yake ndio kwaanza, vijamaa vinaendelea na mauwaji ya khalaiki huko Gaza

Wafanya kazi wa umoja wa mataifa wanauwawa, wanahabari wanachinjwa, watoto wadogo pia ukiachia mbali magaidi ya hamasi yanavyokufa kama kumbi kumbi

Nchi za Kiarabu bila shaka nao wanawajua vema hao Mayahudi, hakuna nchi inayopiga yowe juu ya mayahudi hayo ya Kiisrael

Israeli ni kina nani?

Nguvu yao, umhimu katika umoja wa mataifa ni kina nani haswaa?
Uzi wako umekaa kipopoma kweli, yani UN, USA,na ISRAEL hujui kua ni mtu mmoja, jaribu kufatilia matatizo ya nchi yako au sogea apo Congo utupe update achana na hao jamaa
 
Mkuu hakuna cha Wayahudi wala nn hiyo UN ipo kwa ajili ya vinchi masikini tu lakini kwa mataifa makubwa ni mbwa koko fulani tu ambaye kazi yake ni kubweka.

Urusi aliivamia Ukraine lakini hiyo UN iliishia kubweka na kutoa matamko tu.

Saudia arabia iliuwa maelfu ya watu nchini Yemen na hiyo UN haikufanya kitu.

Serikali ya Syria iliuwa watu zaidi ya 300,000 wakati inapambana na uasi lakini hiyo UN haikudhubutu kunyanyua mdomo kwa sababu Syria ilikuwa inakingiwa kifua na Urusi.

Marekani hiyo ndo usiseme hata kusema.
 
Israel ni marekani
80% ya matajiri wa makampuni makubwa duniani ni wayahudi wamewekeza Kila kona ya Dunia
Hauwezi kuwa CANDIDATE wa uraisi marekani
Bila mkono au NGUVU ya matajiri wa kiyahudi
Kwan wao ndo wanaoshika NGUVU ya kiuchumi kwa kumiliki hisa nyingi katika makampuni makubwa marekani
Even kampuni kubwa 2 duniani zenye mkwanja mrefu wanazimiliki wao
Kwa yoyote anayependa kuendelea kuwa na UCHUMI imala katika nchi yake hawezi kumess nao
 
UN na mataifa ya kiharabu ni wanafiki wote, IDF walishasema mateka wakiachiwa na wao wanasitisha mashambulizi huko gaza, lkini hakuna nchi inayolaani uvamizi wa magaidi huko Israel wala kutaka mateka kuachiwa huru ila wanataka uvamizi kusitishwa! Swali la msingi, hamas ni serikali ya kigaidi, iliyovamia Israel na kuteka watu na kuua raia wasio kuwa na hatia, na tunaposema serikali ya hamas maanke ni kuanzia watendaji wa vijiji, watumishi wa umma, polisi, na kilq mfanyakqzi wa hamas, hivyo huwezi kutenganisha magaidi na watoto, watu wazimq, wamama, madokta nk! Na magaidi hao hawapo sehemu maalum wamejificha humo humo, wana watoto, wanakula na wake zao, wanafanyq shughuli pamoja, OK hao UN waseme hao magaidi wako wapi basi ili IDF Ipeleke mashambulizi yake huko!! Dawa pekee mm naona ni umoja wa mataifa pamoja na raia wa Hamas kupigq kilele mateka wa kiyahudi kuqchiwq huru, au kusaidia upatikanaji wao, baada ya hapo ndo wapige kilele za vita kusitishwa, vingine hayo matamko ya udini, ni chura kumpigia kilele ngombe akijua atamzuia kunywa maji , kitu ambacho hakiwezekani
 
Israel ni marekani
80% ya matajiri wa makampuni makubwa duniani ni wayahudi wamewekeza Kila kona ya Dunia
Hauwezi kuwa CANDIDATE wa uraisi marekani
Bila mkono au NGUVU ya matajiri wa kiyahudi
Kwan wao ndo wanaoshika NGUVU ya kiuchumi kwa kumiliki hisa nyingi katika makampuni makubwa marekani
Even kampuni kubwa 2 duniani zenye mkwanja mrefu wanazimiliki wao
Kwa yoyote anayependa kuendelea kuwa na UCHUMI imala katika nchi yake hawezi kumess nao
Aiseee!!
 
Uzi wako umekaa kipopoma kweli, yani UN, USA,na ISRAEL hujui kua ni mtu mmoja, jaribu kufatilia matatizo ya nchi yako au sogea apo Congo utupe update achana na hao jamaa
Lakini hili ni jukwaa la masuala ya kimataifa na kila mtu ana uhuru wa kuazisha mada yoyote aipendayo.Msaidie wewe kwa kutuletea hayo ya Congo,yeye ameamua kuleta hii mada na hajakosea.
 
Israel ni marekani
80% ya matajiri wa makampuni makubwa duniani ni wayahudi wamewekeza Kila kona ya Dunia
Hauwezi kuwa CANDIDATE wa uraisi marekani
Bila mkono au NGUVU ya matajiri wa kiyahudi
Kwan wao ndo wanaoshika NGUVU ya kiuchumi kwa kumiliki hisa nyingi katika makampuni makubwa marekani
Even kampuni kubwa 2 duniani zenye mkwanja mrefu wanazimiliki wao
Kwa yoyote anayependa kuendelea kuwa na UCHUMI imala katika nchi yake hawezi kumess nao
Aloo🙊
 
sasa inakuwaje Israel hata kwenye mataifa 20 yenye nguvu kubwa ya kiuchumi duniani haipo?
 
Ni swali ambalo kila mwenye akili timamu atajiuliza. Actually children are dying, innocent women are dying lakini
Mastaa wakubwa huko ulaya na marekani ambao ni mabingwa wa kuonesha sympathy kwenye matukio kama haya,wote wamepiga kimya as if nothing happens.
Ukithubutu kuwakosoa kama huko ulaya,unaliwa kichwa chap.
Marekani inawatumikia kama watoto wao, actually marekani ni kama ipo controlled na hawa watu.

Who are these guys???
 
Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa

Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani?

Hata hivyo, naweza sema, UN ndio wanaowajua vema hawa Mayahudi, nguvu yao kijeshi, umhimu wao kwenye umoja wa Mataifa kwamba wao ni kina nani na wanamadhara gani katika karne hii ya 21, kura zaidi ya 72% zimeonyesha kupinga uvamizi wa Israel huko Gaza

Matokeo yake ndio kwaanza, vijamaa vinaendelea na mauwaji ya khalaiki huko Gaza

Wafanya kazi wa umoja wa mataifa wanauwawa, wanahabari wanachinjwa, watoto wadogo pia ukiachia mbali magaidi ya hamasi yanavyokufa kama kumbi kumbi

Nchi za Kiarabu bila shaka nao wanawajua vema hao Mayahudi, hakuna nchi inayopiga yowe juu ya mayahudi hayo ya Kiisrael

Israeli ni kina nani?

Nguvu yao, umhimu katika umoja wa mataifa ni kina nani haswaa?
umoja wa mataifa ni wapumbav wanawambia Israel isitishe kushambulia ila wanawaacha hamas waendelee kushambulia Israel , Wewe kama Muisrael ungefuata maagizo ya hivyo?
 
Back
Top Bottom