Ni swali gani mwanamke akiuliza unapomtongoza utamueshimu

Martyr 360

JF-Expert Member
Aug 13, 2015
434
655
Wanawake wengi unapowatongoza huwa wana tabia ya kuuliza vimaswali wanapokaribia kukubali, haijalishi umri wao maswali mengi huwa NI ya kijinga na yanapelekeaga wanaume wengi kuwachukulia powaa Sana.

Je ni maswali ambayo mwanamke anapokaribia kukubali akikuliza mwanaume UTAMUESHIMU sana
 
Endapo akaniuliza hivi
Hapa ulipo sio pabaya ila unatamani kufika wapi , hapa najua nshapata mtu mwenye future

Ikiwa Mwanamke anaelewa kuwa mimi nikipata na yeye amepata Basi hawezi kuniomba hela za kunikomoa wakati anajua kuwa Mimi lengo nitoke hatua hii ya kuitwa Dr PhD hadi Prof.
 
Wanawake wengi unapowatongoza huwa wana tabia ya kuuliza vimaswali wanapokaribia kukubali, haijalishi umri wao maswali mengi huwa NI ya kijinga na yanapelekeaga wanaume wengi kuwachukulia powaa Sana.

Je ni maswali ambayo mwanamke anapokaribia kukubali akikuliza mwanaume UTAMUESHIMU sana
Akiniuliza, tena kwa kiingereza, What is the meaning of existance?
 
Back
Top Bottom