Nakuuliza hapa hapa, unakumbuka ukweli gani?Labda Swai lingekua “ni ukweli gani unaukumbuka??”
Politics ni chumvi towards a certain direction ya nchi…
Politics ni Kama nyimbo wanazoimba and wakulima wakiwa shambani, au wanajeshi wakiwa vitani….
Ndio maana if we want to develop, lazima tuweke siasa pembeni
Mwanasiasa mmoja alisema nitawajengea daraja...watu wakashangaa....wakamwambia hapa hakuna mto...mwanasiasa akasema na mto nitawaletea!🙂View attachment 2939564
Wakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa
Je, Uongo gani unaukumbuka kutoka kwa Wanasiasa kwenye Chaguzi zilizopita?
Huyo muheshimiwa yuko humu...ni cha P, Siku hiyo alikuwa ameutwika bara baraMbona kama unatupiga hii, hebu tuambie ni wapi huko?
Eti Tanzania ni dona-kandli!Nikajua wehu wapo wengi duniani.Wakati wa Kampeni cha Uchaguzi, baadhi ya Wagombea hutumia mbinu za kuzusha Uongo kwa kuwadanganya Wananchi ili kuongeza Ushawishi wa Kuchaguliwa