gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Kinywaji gani ukipendacho zaidi

    Hebu share hapa kinywaji chako ukipendeleacho zaidi na kwa nini unakipenda. Anza Mshana Jr
  2. N

    Kwa wale wa mikoani, ukija Dar ni sehemu gani piga ua lazima uende?

    Baada ya Mfumo kunitenga na jiji la ndoto zangu nikawa Sina namna zaidi ya kukubali. Ila huwa napambana isipite miezi miwili sijakanyaga town na kila napofika aisee vijiwe vyangu vya faida ni:- 1. Tabata Magengeni 2. Kimara Korogwe-Tabata Kimanga 3. Tabata kimanga-Ubungo Riverside via...
  3. Hali gani ulikuwa nayo siku chache baada ya kununua gari lako la kwanza?

    Naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili. Mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu. Kiukweli nimeteseka sana mauzauza si mauzauza, sijui ni kuweweseka, yaani kila nikilala naota mara gari limeibiwa, mara naota wezi wanaiba...
  4. Unahitaji kiasi gani cha pesa kuweza kuishi miaka 10 bila kufanya kazi ya kuingiza kipato?

    Miaka kumi ina miezi 120! Say: 3,000,000×120? = 360,000,000
  5. Nina dogo amemaliza Form Four, nimpeleke shule/chuo gani?

    Wakuu, Naombeni ushauri. Nina dogo amemaliza form four, je nimpeleke shule/kozi gani kwa ajili ya future yenye uhakika? Ana division 1 ya 10 NB: uwezo wa kumsomesha chochote popote upo.
  6. Kipindi unasoma ulikuwa unalipenda na kulichukia somo gani?

    Habari zenu wakuu, Naamini sisi wote humu tumepitia hatua ya kwenda shule kukuza ufahamu na maarifa yetu kwenye maisha. Kwa upande wangu, mimi binafsi nilikuwa nalipenda somo la Hesabu, na nilikuwa silipendi somo la Kiswahili. Vipi wewe Mkuu wangu, ulikuwa unalipenda somo gani na...
  7. Wanafunzi 56,149 Wamepata Disivion 0 Kidato cha 4, zaidi ya Laki 2 wamepata Division 4

    Licha ya Takwimu za Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha 4 zilizotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuonesha Watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu Mtihani huo, Watahiniwa 56,149 (10.64%) wamefeli kwa kupata Daraja 0. Pia, Jumla ya Watahiniwa 274,001 (51.94%) wamepata Daraja la 4 ikiwa ni...
  8. Shule gani nzuri ya kwenda form 1?

    Mambo vipi wakuu? Mwaka huu mambo yakienda sawa nitamaliza darasa la 7. Ni shule gani nzuri mnanishauri kwenda nikasome sekondari? Iwe na sifa zifuatazo: -Chakula kizuri (muhimu sana) -Mazingira (library, computer room etc.) -Inafaulisha. NB; nataka shule mixer sio boys 2 men.
  9. Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

    Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela. Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza. Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima? Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani...
  10. Wasabato majibu mnara wa freemason kwenye kaburi la nabii wenu Bi Hellen G White una maana Gani?

    Hili ni kaburi la Bi Hellen G White lina mnara wa Obelisk.Ukiona mnara wowote round about unamaanisha kiungo cha uzazi Cha kiume Cha Nimrodi. Nimrod mtoto wa haramu ndie aliyejenga mnara WA babel kisha Mungu akawachanganyia lugha wakasambaa duniani. Baada ya Nimrodi kuuwawa kwa kukatwa katwa...
  11. Hivi kikawaida sijui hapa tuchukue hatua gani dhidi ya huyu mchungaji...

    Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja. Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea. Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana). Jana wakiwa...
  12. Unamshauri kitu gani huyu kijana mbishi?

    Kila siku Mjanja M1 nawaambia Single Mothers wana changamoto lakini hamtaki kunielewa. Unamshauri nini huyu kijana anaetaka ubaba usio wa kwake?
  13. M

    Umepata funzo gani kutoka kwenye madeni?

    Kwa upande wangu madeni yamenifanya niwe na discipline ya hali ya juu, yaani extremely discipline kwenye pesa. Pia yamenifanya akili iwe active kwenye kufikiri mipango na yamezidi kunipa courage na ujasiri wa kutafuta zaidi, hakika madeni au kudaiwa kuna raha yake.
  14. C

    Unadhani ni nchi gani jirani imepandikiza kikamilifu majasusi wake mahiri maeneo / idara nyeti za Tanzania?

    1. Malawi 2. Zambia 3. Congo DR 4. Kenya 5. Burundi 6. Uganda 7. Rwanda atokayo member mmoja maarufu jamiiforums ambaye kwa bahati mbaya jina lake kwa sasa ameir seif wete paje kidagaa ( cognizant ) mimi nimelisahau? 8. South Sudan 9. Msumbiji
  15. Ni kitu gani kinakumalizia pesa lakini haukiachi kwasababu kinakupa furaha?

    Ni kitu gani kinakumalizia pesa mara kwa mara lakini haukiachi kwasababu kinakupa furaha?
  16. Taa hii chumbani huwa na kazi gani?

    Wajuzi wa mambo mtu akiweka taa ya rangi kama hii huwa anaitumia kwa kazi gani?
  17. N

    Hii herufi X ina nguvu gani za Siri?

    Ukiitizama kwa undani ina mambo mengi sana. 1.AXE 2.twitter X 3.1Xbet Yaani kifupi herufi X ina ujinga ujinga mwingi japo ndo tunaishi nao.
  18. H

    Kuna shida gani kwenye viwanda vya karatasi, bei ya ream iko juu sana, tsh 15,000/=

    Wadau salaam. Serikali ijaribu kutupa jicho huko kwenye viwanda hivi. Karatasi zinatumika sana mashuleni na hasa mwanzo wa mwaka.Wanafunzi wanaagiziwa kupeleka karatasi shuleni kwa ajili ya kuchapisha mitihani yao. Miaka ya nyuma kidogo bei ya ream ilikuwa tsh 3500 hadi 5000,lkn ghafla...
  19. Wadau tusaidiane, mbinu gani nitumie kuisahau timu ya taifa?

    Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
  20. G

    Nina kopi moja tu ya picha private, video private, pdf za mali, vyeti, leseni, n.k. njia gani nzuri ya kufanya backups mpya kila wiki bila bando?

    Nimejikuta nina hofu ya kupoteza data zangu hasa baada ya matukio kadhaa ya kupoteza flash, kuibiwa simu, n.k. Data zilizokuwemo humo zilipotea moja kwa moja, ni kumbukumbu za muhimu siwezi kuja kuzipata tena. Najua kuna online back ups lakini hizi kila mwezi inabidi ulipie na pia unahitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…