Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,900 Jan 23, 2024 #1 Kila siku Mjanja M1 nawaambia Single Mothers wana changamoto lakini hamtaki kunielewa. Unamshauri nini huyu kijana anaetaka ubaba usio wa kwake?
Kila siku Mjanja M1 nawaambia Single Mothers wana changamoto lakini hamtaki kunielewa. Unamshauri nini huyu kijana anaetaka ubaba usio wa kwake?
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 4,655 Reaction score 12,018 Jan 23, 2024 #2 Hilo jipu limekaa pabaya
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,885 Reaction score 8,482 Jan 23, 2024 #3 Kwisha habari yake Mpuuzi huyo.
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,769 Reaction score 54,906 Jan 23, 2024 #4 Baba wa kambo anajipa umuhimu kwa watoto wasio wake
mutu murefu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 1,037 Reaction score 2,737 Jan 23, 2024 #5 Huyu kwenye vikao vyetu huwa anadoji